MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Sijarogwa bado.Pole mkuu
Wakiongozwa nawe pia Kinara Wao!!!Nchi imejaa mazuzu hii.
Rubbish!Very poor reasoning.1. Ukiona Siku yoyote unasifia mno Chakula na Mpenzi au Mkeo jua ameshakuroga.
2. Ukiona mkiwa Mapenzini halafu umemaliza Kupiga Mshindo Milionea ( yaani Umemkojolea ) na haraka sana anawahi kutaka Kukufuta tena kwa Kitambaa chake jua unaenda Kurogwa vibaya sana.
3. Ukiona Mpenzi/ Mkeo anakulazimisha sana uvae Nguo fulani jua alishaipeleka kwa 'Mtaalam' na ina Masharti hivyo analazimisha Uivae ili Dawa ikubali zaidi.
Karibuni nanyi mtaje mnazozijua.
Non sense ....Popoma katika ubora wako1. Ukiona Siku yoyote unasifia mno Chakula na Mpenzi au Mkeo jua ameshakuroga.
2. Ukiona mkiwa Mapenzini halafu umemaliza Kupiga Mshindo Milionea ( yaani Umemkojolea ) na haraka sana anawahi kutaka Kukufuta tena kwa Kitambaa chake jua unaenda Kurogwa vibaya sana.
3. Ukiona Mpenzi/ Mkeo anakulazimisha sana uvae Nguo fulani jua alishaipeleka kwa 'Mtaalam' na ina Masharti hivyo analazimisha Uivae ili Dawa ikubali zaidi.
Karibuni nanyi mtaje mnazozijua.
Jaribu kuniroga basi tuone inakuaje...Utarogwa mpaka uchineš
Sasa hivi unafungwa miguu na mabawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hilo ni limbwata la old version,
Watu wameshatoka huko, now limbwata new Version,
Hakuna kuchomoa wala kuruka.