Karim Mandonga mtu kazi, kesho sio mbali

huyu mandonga si ndiye yule bondia aliye tandikwa ngumi moja tuu (tena round ya kwanza) akaenda kuamkia hospitali?? sasa akae akijua kunyanyua vyuma na boxing ni vitu viwili tofauti, hiyo siku ni bora ambulance ikawa karibu karibu ili kuokoa Maisha yake!
 
Kimasihara mandonga amepata umaarufu kuliko yule aliyempiga
ameweza kujibrand
Mandonga amekuwa dili watu wengi wanataka kumsikia hawajali atashinda au atashindwa

Nampongeza kwa hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…