Karipio la Rais Samia: Unaiba hela ya Umma ikusaidie nini? Utazikwa nayo? Utajibu nini Mbele ya Mungu?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Akiongea kwa uchungu kufuatia Ripoti ya CAG kuonyesha viongozi wanaiba bila uwoga, Rais Samia amewauliza Wanaiba Fedha za Umma ili ziwasaidie nini? Je, watazikwa nazo? Na siku ya hukumu Mbele ya Mungu wataosema nini?

Hili karipio limenifikirisha sana na kunirejesha kwenye Kitabu kitakatifu Biblia, wala Rushwa ni vipofu na dhambi hiyo itawaenea Wana wao Kizazi hata Kizazi.

Ramadan kareem!
 
Kama majitu malevi, mazinzi, matapeli unafikiria hata huyo Mungu wanamjua😂😂 wacha wapige mambo mengine bila ya imani ya kando huwezi kuzuia. Wewe unasema Mungu atahukumu je yeye anaamini hilo.

Ebu tufanyeni tathmini kwa nn China wanakuwa na hofu sana katika uwizi haswa viongozi wa umma ..wanachukuliwa utumishi ni kama devoted service na sio kimaslahi zaidi na pia uzalendo wanafundishwa tangu watoto.
 
Akiongea kwa uchungu kufuatia Ripoti ya CAG kuonyesha viongozi wanaiba bila uwoga, Rais Samia amewauliza Wanaiba Fedha za Umma ili ziwasaidie nini? Je watazikwa nazo? Na siku ya hukumu Mbele ya Mungu wataosema nini?!!!

Hili karipio limenifikirisha sana na kunirejesha kwenye Kitabu kitakatifu Biblia, wala Rushwa ni vipofu na dhambi hiyo itawaenea Wana wao Kizazi hata Kizazi

Ramadan kareem!
Sure kabisa, leo katika pita pita zangu nimefikiria makazi ya magorofa ya watanzania, ukijiuliza mtu anaiba ili ajenge ghorofa then akifa analiacha.
 
Akiongea kwa uchungu kufuatia Ripoti ya CAG kuonyesha viongozi wanaiba bila uwoga, Rais Samia amewauliza Wanaiba Fedha za Umma ili ziwasaidie nini? Je, watazikwa nazo? Na siku ya hukumu Mbele ya Mungu wataosema nini?

Hili karipio limenifikirisha sana na kunirejesha kwenye Kitabu kitakatifu Biblia, wala Rushwa ni vipofu na dhambi hiyo itawaenea Wana wao Kizazi hata Kizazi.

Ramadan kareem!
Nchi hii Ina fedha nyingi sana...
Muhimu ni kuitoa ccm madarakani.
Mpaka sasa imeshindwa kuendesha serikali!
 
Akiongea kwa uchungu kufuatia Ripoti ya CAG kuonyesha viongozi wanaiba bila uwoga, Rais Samia amewauliza Wanaiba Fedha za Umma ili ziwasaidie nini? Je, watazikwa nazo? Na siku ya hukumu Mbele ya Mungu wataosema nini?

Hili karipio limenifikirisha sana na kunirejesha kwenye Kitabu kitakatifu Biblia, wala Rushwa ni vipofu na dhambi hiyo itawaenea Wana wao Kizazi hata Kizazi.

Ramadan kareem!
Mama akianza kusema eti wale wanaoiba fedha za Umma Mungu atawaona, basi tumekwisha.
 
Akiongea kwa uchungu kufuatia Ripoti ya CAG kuonyesha viongozi wanaiba bila uwoga, Rais Samia amewauliza Wanaiba Fedha za Umma ili ziwasaidie nini? Je, watazikwa nazo? Na siku ya hukumu Mbele ya Mungu wataosema nini?

Hili karipio limenifikirisha sana na kunirejesha kwenye Kitabu kitakatifu Biblia, wala Rushwa ni vipofu na dhambi hiyo itawaenea Wana wao Kizazi hata Kizazi.

Ramadan kareem!

Rais Samia yuko soft sana.
Hilo sio karipio
 
Mama anapigana vita na watu wa karibu yake na wanamjua wanacheka nae na kuna wengine ni marafiki zake. TRC ile inapigwa vita kila siku sababu kuna wabunge kibao wana malori ya mizigo na mabasi ya kubeba abiria lazima tu walichezee rafu lile shirika na tena wengine ndio wafadhili kwenye kampeni zao za siasa,TTCL lile shirika wakina Rostam na wabunge wake ndio walio liharibu tokea zamani nk.

Kwa hiyo bi mkubwa kama akitafakari wanao muhujumu ni watu anao wajua na wengine ni sehemu ya marafikizake ambao ni wanafiki wanamchekea huku wao wakiendesha mambo ya kwa maslahi yao.
 
Akiongea kwa uchungu kufuatia Ripoti ya CAG kuonyesha viongozi wanaiba bila uwoga, Rais Samia amewauliza Wanaiba Fedha za Umma ili ziwasaidie nini? Je, watazikwa nazo? Na siku ya hukumu Mbele ya Mungu wataosema nini?

Hili karipio limenifikirisha sana na kunirejesha kwenye Kitabu kitakatifu Biblia, wala Rushwa ni vipofu na dhambi hiyo itawaenea Wana wao Kizazi hata Kizazi.

Ramadan kareem!
Ukiona hivyo jua hakuna usimamizi wa fedha za umma

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Akiongea kwa uchungu kufuatia Ripoti ya CAG kuonyesha viongozi wanaiba bila uwoga, Rais Samia amewauliza Wanaiba Fedha za Umma ili ziwasaidie nini? Je, watazikwa nazo? Na siku ya hukumu Mbele ya Mungu wataosema nini?

Hili karipio limenifikirisha sana na kunirejesha kwenye Kitabu kitakatifu Biblia, wala Rushwa ni vipofu na dhambi hiyo itawaenea Wana wao Kizazi hata Kizazi.

Ramadan kareem!
Samia ni mpole mno, yaani hata kufoka anajilazimisha tu, hapo anaongea wapigaji wanamng'ong'a tu. Alipaswa achukue hatua hapo hapo, report unayo mezani inaonesha watu wamepiga, halafu kirahisi tu unasema watupishe....[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kazi ipo
 
Back
Top Bottom