johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #41
Ha
Hatari na nusu!Watu hawaelewi wanapiga tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari na nusu!Watu hawaelewi wanapiga tuu
Sanaa tuHajui matumizi ya pesa siyo! Zitawasaidia nini?
Wao wanaolipana mishahara na posho nene + pension nzito huwa wanazikwa nazo.
Watu hawaamini hata uwepo wa Mungu mwenyewe wewe unawaambia habari za hukumu?
NB:Kama mtumishi upo kwenye nafasi ya kupíga pesa,piga hasa maana hata ukistaafu serikali yako haikuthamini kiasi hata pension yako utaisotea kama hisani vile.
Hao upinzani wenyewe wapo ndani ya mfumo wa chama tawala.Bora uweke hakuna ili ccm hao nao wajipange!
Gari likianza kuzingua safarini Bora umetafute fundi... Ikibidi utafute plan B, C, D.
Tukijiendea hivi matatizo ya kimfumo yatakuwa magumu na yatatengeneza majizi kila kaya
Nchi hii Ina fedha nyingi sana...
Muhimu ni kuitoa ccm madarakani.
Mpaka sasa imeshindwa kuendesha serikali!
Tulikubaliana hatutaki nidhamu ya uoga jamaniKama majitu malevi, mazinzi, matapeli unafikiria hata huyo Mungu wanamjua[emoji23][emoji23] wacha wapige mambo mengine bila ya imani ya kando huwezi kuzuia. Wewe unasema Mungu atahukumu je yeye anaamini hilo.
Ebu tufanyeni tathmini kwa nn China wanakuwa na hofu sana katika uwizi haswa viongozi wa umma ..wanachukuliwa utumishi ni kama devoted service na sio kimaslahi zaidi na pia uzalendo wanafundishwa tangu watoto.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Imeisha hiyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nchi ya walalamikaji. Mpaka mwenye mamlaka analalamika baada ya kuchukua hatua.
China ukiwa mtumishi wa umma na wananchi wakibaini unawaibia fedha zao kuna mawili moja lazima litakupata: utanyongwa/kufungwa kwenye magereza ya mateso na serikali yenyewe au kuuwaawa kwa siri na wananchi wa kimkakati.. na hili ndilo litakalokuja kutokea TanzaniaKama majitu malevi, mazinzi, matapeli unafikiria hata huyo Mungu wanamjua😂😂 wacha wapige mambo mengine bila ya imani ya kando huwezi kuzuia. Wewe unasema Mungu atahukumu je yeye anaamini hilo.
Ebu tufanyeni tathmini kwa nn China wanakuwa na hofu sana katika uwizi haswa viongozi wa umma ..wanachukuliwa utumishi ni kama devoted service na sio kimaslahi zaidi na pia uzalendo wanafundishwa tangu watoto.
Ile kauli imenifikirisha sana...Unaleta habari za mungu kwani utumishi wa umma ni nyumba ya ibada,?
Ndo maana hata tukiwa na katiba nzuri vip kama nchi inaendeshwa kwa hisani tu amna litakalobadilikaHako kabibi kanatakiwa kutolewa madarakani, hakuna kiongozi pale.
Watu wanakula hela za wananchi unauliza kwa mungu watajibu nini?!!!!
Bure kabisa.
Mama akianza kusema eti wale wanaoiba fedha za Umma Mungu atawaona, basi tumekwisha.
Hehehehe! Ma-mafia hayajui habari za Mungu! Ukitumia hoja za Mungu yanabaki yanacheka, yanaiba na hela yanapeleka hukohuko kanisani au misikitini na viongozi wa dini wanazipokea kama sadaka!Kama majitu malevi, mazinzi, matapeli unafikiria hata huyo Mungu wanamjua[emoji23][emoji23] wacha wapige mambo mengine bila ya imani ya kando huwezi kuzuia. Wewe unasema Mungu atahukumu je yeye anaamini hilo.
Ebu tufanyeni tathmini kwa nn China wanakuwa na hofu sana katika uwizi haswa viongozi wa umma ..wanachukuliwa utumishi ni kama devoted service na sio kimaslahi zaidi na pia uzalendo wanafundishwa tangu watoto.
Akiongea kwa uchungu kufuatia Ripoti ya CAG kuonyesha viongozi wanaiba bila uwoga, Rais Samia amewauliza Wanaiba Fedha za Umma ili ziwasaidie nini? Je, watazikwa nazo? Na siku ya hukumu Mbele ya Mungu wataosema nini?
Hili karipio limenifikirisha sana na kunirejesha kwenye Kitabu kitakatifu Biblia, wala Rushwa ni vipofu na dhambi hiyo itawaenea Wana wao Kizazi hata Kizazi.
Ramadan kareem!
Amuulize JK kwanza.Akiongea kwa uchungu kufuatia Ripoti ya CAG kuonyesha viongozi wanaiba bila uwoga, Rais Samia amewauliza Wanaiba Fedha za Umma ili ziwasaidie nini? Je, watazikwa nazo? Na siku ya hukumu Mbele ya Mungu wataosema nini?
Hili karipio limenifikirisha sana na kunirejesha kwenye Kitabu kitakatifu Biblia, wala Rushwa ni vipofu na dhambi hiyo itawaenea Wana wao Kizazi hata Kizazi.
Ramadan kareem!
😂Hehehehe! Ma-mafia hayajui habari za Mungu! Ukitumia hoja za Mungu yanabaki yanacheka, yanaiba na hela yanapeleka hukohuko kanisani au misikitini na viongozi wa dini wanazipokea kama sadaka!