Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni dhaifuSamia ni mpole mno, yaani hata kufoka anajilazimisha tu, hapo anaongea wapigaji wanamng'ong'a tu. Alipaswa achukue hatua hapo hapo, report unayo mezani inaonesha watu wamepiga, halafu kirahisi tu unasema watupishe....[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kazi ipo
Atapigwa sana huyu bibi...Akiongea kwa uchungu kufuatia Ripoti ya CAG kuonyesha viongozi wanaiba bila uwoga, Rais Samia amewauliza Wanaiba Fedha za Umma ili ziwasaidie nini? Je, watazikwa nazo? Na siku ya hukumu Mbele ya Mungu wataosema nini?
Hili karipio limenifikirisha sana na kunirejesha kwenye Kitabu kitakatifu Biblia, wala Rushwa ni vipofu na dhambi hiyo itawaenea Wana wao Kizazi hata Kizazi.
Ramadan kareem!
Samia ni mpole mno, yaani hata kufoka anajilazimisha tu, hapo anaongea wapigaji wanamng'ong'a tu. Alipaswa achukue hatua hapo hapo, report unayo mezani inaonesha watu wamepiga, halafu kirahisi tu unasema watupishe....[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kazi ipo
Acha wapige hela ije mitaani... aendelee kufungua pochi lakeSamia ni mpole mno, yaani hata kufoka anajilazimisha tu, hapo anaongea wapigaji wanamng'ong'a tu. Alipaswa achukue hatua hapo hapo, report unayo mezani inaonesha watu wamepiga, halafu kirahisi tu unasema watupishe....[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kazi ipo
Watanzania hawaelewekiHalafu saiv wanalalamika kuibiwa[emoji23][emoji23][emoji23]si walijiita wacha Mungu hawatatumia lugha kali wala nguvu kubwa
Harafu anasema , na hili la wizi wa fedha za umma nendeni mkalitizame, ! Kweli?Samia ni mpole mno, yaani hata kufoka anajilazimisha tu, hapo anaongea wapigaji wanamng'ong'a tu. Alipaswa achukue hatua hapo hapo, report unayo mezani inaonesha watu wamepiga, halafu kirahisi tu unasema watupishe....[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kazi ipo
Kabisa mkuuMama anapigana vita na watu wa karibu yake na wanamjua wanacheka nae na kuna wengine ni marafiki zake. TRC ile inapigwa vita kila siku sababu kuna wabunge kibao wana malori ya mizigo na mabasi ya kubeba abiria lazima tu walichezee rafu lile shirika na tena wengine ndio wafadhili kwenye kampeni zao za siasa,TTCL lile shirika wakina Rostam na wabunge wake ndio walio liharibu tokea zamani nk.
Kwa hiyo bi mkubwa kama akitafakari wanao muhujumu ni watu anao wajua na wengine ni sehemu ya marafikizake ambao ni wanafiki wanamchekea huku wao wakiendesha mambo ya kwa maslahi yao.
Kwa hiyo watupishe waondoke na Yale mabilioni waliyoyaiba?Lakini si kasema watupishe,au!!?
analalamika au amepokea taarifa na kutoa maelekezo?Nchi ya walalamikaji. Mpaka mwenye mamlaka analalamika baada ya kuchukua hatua.
hahahahaha! Kwamba na yeye ana uchungu na pesa ya umma? Hata kuigiza kunamshinda
yaaani mbongo unamwambia maneno kama haya iseee hapo ni sawa na kuwapa ruhusa waendelee kuiba mbongo unatakiwa ule nae sambamba la sivyo unapigwa bonge la tukio linge na lingine na lingine tena.Akiongea kwa uchungu kufuatia Ripoti ya CAG kuonyesha viongozi wanaiba bila uwoga, Rais Samia amewauliza Wanaiba Fedha za Umma ili ziwasaidie nini? Je, watazikwa nazo? Na siku ya hukumu Mbele ya Mungu wataosema nini?
Hili karipio limenifikirisha sana na kunirejesha kwenye Kitabu kitakatifu Biblia, wala Rushwa ni vipofu na dhambi hiyo itawaenea Wana wao Kizazi hata Kizazi.
Ramadan kareem!
Inasikitisha Sana ndugu,kulindana lindana huku ndio kunatuponza watanzania.Rais anaanza kuleta habari za Mungu kwa majitu yaliyovuka level za ubinadamu na yamekuwa mashetani yasiyokuwa na huruma!!!Wakati mwingine nafikiri huyu mnayemuita raisi wenu ni myth, labda hata hayupo, siyo real, ha exist, labda mnachokiona ni fake, …
Alianzisha mahakama ya mafisadi mpaka anaondoka hakuna fisadi aliesimamishwa kizimbani zaidi ya preabagen na zikaenda china.[emoji23][emoji23]JPM
ALITHUBUTU, ALIWEZA,NA KUCHUKUA HATUA KWA WEZI NA MAJAMBAZI YA HIVI. AJABU ALIITWA DIKTETA!!! SASA FURAHIENI DEMOKRASIA YA MAMA YENU.
AMIRI JESHI NAYE ANALALAMIKA!!!
#UPIGAJI NA UENDELEE
WANASEMA BORA KUFANYA MAAMUZI YAKAWA MABAYAAlianzisha mahakama ya mafisadi mpaka anaondoka hakuna fisadi aliesimamishwa kizimbani zaidi ya preabagen na zikaenda china.[emoji23][emoji23]