n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,349
- 7,000
Huu mstari umeandikwa wapi, au umejisemea tu 😁😁.Kitabu kitakatifu Biblia, wala Rushwa ni vipofu na dhambi hiyo itawaenea Wana wao Kizazi hata Kizazi.
Hangaya kila siku ni kulalamika tu, kwani hajui humo kwenye CCM kuna majizi na yasiyo hofu hata hiko kiama.Wao ni kuchumia tumbo tu, kama yeye msafi ajiwajibishe kama anaweza. Kwani aliyewaambia wajipimie nani?.