Karipio la Rais Samia: Unaiba hela ya Umma ikusaidie nini? Utazikwa nayo? Utajibu nini Mbele ya Mungu?

Anapoleta Mambo ya Mungu ndiyo huruma inamjia anapaswa kufuata Sheria kwakuwa hii siyo nchi ya dini , mwizi si wakucheka naye daima utakuja jikuta mweupe kisha yeye atakimbilia dirisha la toba. Mama amezungukwa na watu wa hovyo na vile hamna sijui wa kimshika sikio au ameona Bora liende , akumbuke fedheha itamfika yeye huko mbeleni hata akiwa mbele za haki.
 
Akiongea kwa uchungu kufuatia Ripoti ya CAG kuonyesha viongozi wanaiba bila uwoga, Rais Samia amewauliza Wanaiba Fedha za Umma ili ziwasaidie nini? Je, watazikwa nazo? Na siku ya hukumu Mbele ya Mungu wataosema nini?

Hili karipio limenifikirisha sana na kunirejesha kwenye Kitabu kitakatifu Biblia, wala Rushwa ni vipofu na dhambi hiyo itawaenea Wana wao Kizazi hata Kizazi.

Ramadan kareem!
Mtakoma...
 
Hivi unawezaje kumbembeleza mwizi?
Sijawahi kuona nchi yenye majizi kama hii na bado wanaambiwa wale kwa kwa urefu wa kamba
Umehalalisha wizi halafu unalalamika

Hakuna wa kuwawajibisha kwa sababu wanajuana wote

Hata mtangulizi wake alijaribu kidogo sana ingawa nae ndio alikuwa mzee wa 50%

Mtaendelea kuburuzwa mpaka kiama kinaingia maana mataifa mengine yanatupita

Shida hazitatuisha na tutaomba sana kamwe hatutaweza kujitegemea kwa sababu ukilema huu tunautaka wenyewe
 
Pvc Aluminium
Madirisha balcony milango partition
Tuone kupitia namba hii 0735432020
255713766100_status_c26ad1ea48bc490396c967df520489e2.jpg
 
Akiongea kwa uchungu kufuatia Ripoti ya CAG kuonyesha viongozi wanaiba bila uwoga, Rais Samia amewauliza Wanaiba Fedha za Umma ili ziwasaidie nini? Je, watazikwa nazo? Na siku ya hukumu Mbele ya Mungu wataosema nini?

Hili karipio limenifikirisha sana na kunirejesha kwenye Kitabu kitakatifu Biblia, wala Rushwa ni vipofu na dhambi hiyo itawaenea Wana wao Kizazi hata Kizazi.

Ramadan kareem!
Hili la Rais kulalamikia tu wabadhirifu wa mali za umma pasipo kutoa amri ya kutaka wachukuliwe hatua kali za kisheria haliingii akilini hata kidogo. Yeye ndiye Kiongozi Mkuu, na vyombo vyote vya dola vipo chini yake.

Atoe tu maelekezo ili wahusika wote wachukuliwe hatua kali zinazostahili. Wakuu wa vyombo vya dola wakati wowote ule, kwa mujibu wa katiba na viapo vyao huwa tayari kutekeleza maagizo yake.

Jambo lingine la kujiuliza, hivi nini majukumu ya TISS katika suala zima la usalama wa mali za umma. Mpaka hayo yote yanapotokea huwa wanakuwa wapi?

Majukumu yao ni "pre-emptive" ili kuepuka madudu yasitokee, ama ni kuwa "reactive" na kuruhusu yatokee ndipo waje baadaye kutoa ripoti zihusuzo ubadhirifu walioushuhudua ukitokea katika maeneo yao?
 
Acha kuhubiri dini mama
Afu zungumza Kiswahili fasaha , usichangane na kimombo
 
Akiongea kwa uchungu kufuatia Ripoti ya CAG kuonyesha viongozi wanaiba bila uwoga, Rais Samia amewauliza Wanaiba Fedha za Umma ili ziwasaidie nini? Je, watazikwa nazo? Na siku ya hukumu Mbele ya Mungu wataosema nini?

Hili karipio limenifikirisha sana na kunirejesha kwenye Kitabu kitakatifu Biblia, wala Rushwa ni vipofu na dhambi hiyo itawaenea Wana wao Kizazi hata Kizazi.

Ramadan kareem!
Watu hawaelewi wanapiga tuu
 
Naona Samia kageuka mchungaji/shee, hivyo ndivyo vyeo vyake Samia kwa upole na akili yake urais kwakwe ni cheo kikubwa mno sema nibahati ndio ilimbeba,Samia fanya kazi ya urais hayo mambo ya kwenda mbinguni wachie mashee na wachungaji,kama umeshindwa pisha wenye uwezo.
 
Back
Top Bottom