johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
wezi wamevunja kanuni zilizowekwa ndo maana wanaiba na hakuna kitu kibaya kinawatokea, endelea kusema hukumu ya Mungu wakati watu walishavuka mstari hawana cha kuogopa na wanapiga kweli kweli.Na siku ya hukumu Mbele ya Mungu wataosema nini?!!!
Sure kabisa, leo katika pita pita zangu nimefikiria makazi ya magorofa ya watanzania, ukijiuliza mtu anaiba ili ajenge ghorofa then akifa analiacha.Akiongea kwa uchungu kufuatia Ripoti ya CAG kuonyesha viongozi wanaiba bila uwoga, Rais Samia amewauliza Wanaiba Fedha za Umma ili ziwasaidie nini? Je watazikwa nazo? Na siku ya hukumu Mbele ya Mungu wataosema nini?!!!
Hili karipio limenifikirisha sana na kunirejesha kwenye Kitabu kitakatifu Biblia, wala Rushwa ni vipofu na dhambi hiyo itawaenea Wana wao Kizazi hata Kizazi
Ramadan kareem!
Nchi hii Ina fedha nyingi sana...Akiongea kwa uchungu kufuatia Ripoti ya CAG kuonyesha viongozi wanaiba bila uwoga, Rais Samia amewauliza Wanaiba Fedha za Umma ili ziwasaidie nini? Je, watazikwa nazo? Na siku ya hukumu Mbele ya Mungu wataosema nini?
Hili karipio limenifikirisha sana na kunirejesha kwenye Kitabu kitakatifu Biblia, wala Rushwa ni vipofu na dhambi hiyo itawaenea Wana wao Kizazi hata Kizazi.
Ramadan kareem!
Mama akianza kusema eti wale wanaoiba fedha za Umma Mungu atawaona, basi tumekwisha.Akiongea kwa uchungu kufuatia Ripoti ya CAG kuonyesha viongozi wanaiba bila uwoga, Rais Samia amewauliza Wanaiba Fedha za Umma ili ziwasaidie nini? Je, watazikwa nazo? Na siku ya hukumu Mbele ya Mungu wataosema nini?
Hili karipio limenifikirisha sana na kunirejesha kwenye Kitabu kitakatifu Biblia, wala Rushwa ni vipofu na dhambi hiyo itawaenea Wana wao Kizazi hata Kizazi.
Ramadan kareem!
Haa haa Leo nimepita nikaona ghorofa nikaambiwa la afande MurotoSure kabisa, leo katika pita pita zangu nimefikiria makazi ya magorofa ya watanzania, ukijiuliza mtu anaiba ili ajenge ghorofa then akifa analiacha.
Akiongea kwa uchungu kufuatia Ripoti ya CAG kuonyesha viongozi wanaiba bila uwoga, Rais Samia amewauliza Wanaiba Fedha za Umma ili ziwasaidie nini? Je, watazikwa nazo? Na siku ya hukumu Mbele ya Mungu wataosema nini?
Hili karipio limenifikirisha sana na kunirejesha kwenye Kitabu kitakatifu Biblia, wala Rushwa ni vipofu na dhambi hiyo itawaenea Wana wao Kizazi hata Kizazi.
Ramadan kareem!
Ukiona hivyo jua hakuna usimamizi wa fedha za ummaAkiongea kwa uchungu kufuatia Ripoti ya CAG kuonyesha viongozi wanaiba bila uwoga, Rais Samia amewauliza Wanaiba Fedha za Umma ili ziwasaidie nini? Je, watazikwa nazo? Na siku ya hukumu Mbele ya Mungu wataosema nini?
Hili karipio limenifikirisha sana na kunirejesha kwenye Kitabu kitakatifu Biblia, wala Rushwa ni vipofu na dhambi hiyo itawaenea Wana wao Kizazi hata Kizazi.
Ramadan kareem!
Samia ni mpole mno, yaani hata kufoka anajilazimisha tu, hapo anaongea wapigaji wanamng'ong'a tu. Alipaswa achukue hatua hapo hapo, report unayo mezani inaonesha watu wamepiga, halafu kirahisi tu unasema watupishe....[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kazi ipoAkiongea kwa uchungu kufuatia Ripoti ya CAG kuonyesha viongozi wanaiba bila uwoga, Rais Samia amewauliza Wanaiba Fedha za Umma ili ziwasaidie nini? Je, watazikwa nazo? Na siku ya hukumu Mbele ya Mungu wataosema nini?
Hili karipio limenifikirisha sana na kunirejesha kwenye Kitabu kitakatifu Biblia, wala Rushwa ni vipofu na dhambi hiyo itawaenea Wana wao Kizazi hata Kizazi.
Ramadan kareem!