Akiongea kwa uchungu kufuatia Ripoti ya CAG kuonyesha viongozi wanaiba bila uwoga, Rais Samia amewauliza Wanaiba Fedha za Umma ili ziwasaidie nini? Je, watazikwa nazo? Na siku ya hukumu Mbele ya Mungu wataosema nini?
Hili karipio limenifikirisha sana na kunirejesha kwenye Kitabu kitakatifu Biblia, wala Rushwa ni vipofu na dhambi hiyo itawaenea Wana wao Kizazi hata Kizazi.
Ramadan kareem!
Kwani wasioiba hizo mali hawatakufa?Hakimu wa haki ni Mungu
Sisi kama walokole tunasimama na kauli ya Mama.
Mungu atahukumu na watakufa wataziacha mali.
Hakika ,angekuwepo Leo tungeambiwa Mashirika ya Umma yanafanya kazi nzuri,ikiwemo ATC ,na yangetoa gawio Serikalini😌😌😌Wahenga walisema "..Ukicheka na NYANI, utavuna MABUA.."
JPM tutakukumbuka daima
Mtu akikudhulumu ht usipambane ili kurudisha haki yako, ww tulia tuu ukimuachia Mungu ili lile neno la kuangamia kwa kukosa maarifa litimieHakimu wa haki ni Mungu
Sisi kama walokole tunasimama na kauli ya Mama.
Mungu atahukumu na watakufa wataziacha mali.
Wamegeuza Katiba...maandishi yameangalia chini.Wanapiga tu bila kuangaliawezi wamevunja kanuni zilizowekwa ndo maana wanaiba na hakuna kitu kibaya kinawatokea, endelea kusema hukumu ya Mungu wakati watu walishavuka mstari hawana cha kuogopa na wanapiga kweli kweli.
Maelekezo yake yamekosa uzito wa kimamlaka kulinganisha ukubwa wa cheo chake na uzito wa taasisi unayokibeba cheo chake.......analalamika au amepokea taarifa na kutoa maelekezo?
Ni kituko sana na inashangazaNchi ya walalamikaji. Mpaka mwenye mamlaka analalamika baada ya kuchukua hatua.
Na ukiiba au ukila rushwa, sheria ni wanakutwanga risasi. Unafikiri wachina wamefikaje hapo? Hakuna mzaha kwenye mali ya umma. Wamagharibi wakawaita kila majina, ooh madikteta, waminyaji haki, waliziba masikio. Leo JPM ataendelea kukumbukwa.Kama majitu malevi, mazinzi, matapeli unafikiria hata huyo Mungu wanamjua[emoji23][emoji23] wacha wapige mambo mengine bila ya imani ya kando huwezi kuzuia. Wewe unasema Mungu atahukumu je yeye anaamini hilo.
Ebu tufanyeni tathmini kwa nn China wanakuwa na hofu sana katika uwizi haswa viongozi wa umma ..wanachukuliwa utumishi ni kama devoted service na sio kimaslahi zaidi na pia uzalendo wanafundishwa tangu watoto.
Ndo mambo aliyokuwa akipambana nayo Magu, baadhi ya viongozi waliozoea upigaji na wafanyabiashara wakamuona mbaya. Hii nchi kuna asilimia kiasi fulani ya biashara zinaenda kwa kulipa kodi kiujanja ujanja na udanganyifu. Malipo ya serikali ndo bei zinaongezwa sana bila kusahau wizi wa mali za chama. Ilibidi tu JPM aondoke. Leo hii kuna watu wanathubutu kusema "chama kimerudi kwa wenyewe" "msile sana" inafikirisha, sijui ili watu waendelee "kufanya walivyozoea" Kwamba yule msukuma alikuja "kuziba rizki zetu" Haya ndiyo matokeo, mengi yatajitokeza, bado sanaWawajibike na iwe fundisho kwa wengine. Mali zao zote zichunguzwe.
Maza anatuangusha sn hafai yaani aibu kuwa na mkuu wa nchi wa namna hii naameapa kulinda katiba ya nchi maanake ni maslahi ya kwa mali za umma, kama hawezi kulinda mali za umma hatufai hata kdgAkiongea kwa uchungu kufuatia Ripoti ya CAG kuonyesha viongozi wanaiba bila uwoga, Rais Samia amewauliza Wanaiba Fedha za Umma ili ziwasaidie nini? Je, watazikwa nazo? Na siku ya hukumu Mbele ya Mungu wataosema nini?
Hili karipio limenifikirisha sana na kunirejesha kwenye Kitabu kitakatifu Biblia, wala Rushwa ni vipofu na dhambi hiyo itawaenea Wana wao Kizazi hata Kizazi.
Ramadan kareem!
Hiyo kweli KABISAAAAA!!!Wakati mwingine nafikiri huyu mnayemuita raisi wenu ni myth, labda hata hayupo, siyo real, ha exist, labda mnachokiona ni fake, …