Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi naiamini pia lakini ni kwa upande wangu tu ndo inalipa ila kwa niliowatenda hakuna kituI believe in karma, mimi ukinitendea ubaya then nikaumia nikikukomalia kimoyomoyo hakika haipiti miezi 6 lazima baya likupate hadi likuharibie maisha... Ndio maana najitahid sana kuwakwepa watu wasiniumize moyo
Aah!ndo maana nasoma alama za nyakat mapema..nkiona haelewek nakata mirija ya hudumaUnaweza kumuhudumia cha uwezo wako lakini bado atakupiga chini na utaumia sana tu
Nilishawahi kuletewa kadi ya harusi na demu niliemtongoza sana na akanipiga chini vibaya sana ile kinundaMe mbona nililetewa hata kadi ya ndoa kabisa, hivi can you imagen umempata demu ametoka kijijini na nimchafu ukamg'alisha naada ya kuwaka na shepu kuja kwa pesa yako harafu anapata Bwana anamng'oa na ndoa Juu, Then anakuletea kadi ya harusi ukashuhudia anavyofunga ndoa, Hivi ni maumivu kiasi gani,
Hauko peke yako mkuu, Tangia hapo me itanichukua miaka mingi kuja kumwamini mwanamke,
sawaIshanikuta sana tu mkuu