Karma haijawahi kunitendea haki dhidi ya madem walionitenda

Karma haijawahi kunitendea haki dhidi ya madem walionitenda

Mm dem siwez mhudumia kilicho juu ya uwez wangu..na tena nikshakusoma kwamba muda wote unaweza kuwa Russia ndo kabxaa sihudumii tena
Unaweza kumuhudumia cha uwezo wako lakini bado atakupiga chini na utaumia sana tu
 
I believe in karma, mimi ukinitendea ubaya then nikaumia nikikukomalia kimoyomoyo hakika haipiti miezi 6 lazima baya likupate hadi likuharibie maisha... Ndio maana najitahid sana kuwakwepa watu wasiniumize moyo
Mi naiamini pia lakini ni kwa upande wangu tu ndo inalipa ila kwa niliowatenda hakuna kitu
 
Screenshot_20220725-184224.jpg


Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
muda bado as long as u still live karma bado haijaitika
sema huenda wew ndyo uliisha waumiza wengne huko nyuma
 
muda bado as long as u still live karma bado haijaitika
sema huenda wew ndyo uliisha waumiza wengne huko nyuma
Nimeumiza wachache sana nikilinganisha na walioniumiza
 
Me mbona nililetewa hata kadi ya ndoa kabisa, hivi can you imagen umempata demu ametoka kijijini na nimchafu ukamg'alisha naada ya kuwaka na shepu kuja kwa pesa yako harafu anapata Bwana anamng'oa na ndoa Juu, Then anakuletea kadi ya harusi ukashuhudia anavyofunga ndoa, Hivi ni maumivu kiasi gani,
Hauko peke yako mkuu, Tangia hapo me itanichukua miaka mingi kuja kumwamini mwanamke,
Nilishawahi kuletewa kadi ya harusi na demu niliemtongoza sana na akanipiga chini vibaya sana ile kinunda

alipoleta kadi alivyosepa tu nikaichana na kuitupa jalalani na kuendelea na maisha yangu.

nikajasikia hakufunga ndoa jamaa alitaka kumuoa kamzalisha na kumtapeli pakubwa sana na kumpiga chini akaenda oa mwanamke mwingine.

mpaka leo huyo dada yupo yupo singo maza anawasaidia wana utelezi
 
Back
Top Bottom