Mkuu nadhani unaelewa maana ya karma.
Kwani karma ni mpaka ufanye kitu kimoja ndiyo ikufuatilie?.
Hapana situmii kabisa hiyo kitumlaki mtoto = "mlakitimoto"
Mkuu nadhani unaelewa maana ya karma.
Kwani karma ni mpaka ufanye kitu kimoja ndiyo ikufuatilie?.
Uzi mzuri kweli ila naona umeishia katikati na kuacha maswali juu ya uwepo wa karma Mkuu.
Uzi mzuri kweli ila naona umeishia katikati na kuacha maswali juu ya uwepo wa karma Mkuu.
Nawasalimu kwa dhati wanajamii wenzangu.Mara zote nimekuwa nikijifunza kutoka kwa wanajamii wenzangu humu na hata juu ya hili ninaamini nitapata suluhisho lake humu .Nimekuwa mkimya kwa muda sasa kutokana na kupata sononeko kuu linalotokana na mashindano kati ya mwili na roho.
Ninaamini humu kuna wataalamu wa "karma"naombeni mnishauri nifanye nini maana ni kama nahisi kuna kitu nakosea na sijakifanya lakini bado kitu hicho ni muhimu nikifanye.
Natanguliza shukrani.
Specialist wa masuala ya " karma" humu JF ni Pascal Mayalla. Ebu mtafute!Nawasalimu kwa dhati wanajamii wenzangu.Mara zote nimekuwa nikijifunza kutoka kwa wanajamii wenzangu humu na hata juu ya hili ninaamini nitapata suluhisho lake humu .Nimekuwa mkimya kwa muda sasa kutokana na kupata sononeko kuu linalotokana na mashindano kati ya mwili na roho.
Ninaamini humu kuna wataalamu wa "karma"naombeni mnishauri nifanye nini maana ni kama nahisi kuna kitu nakosea na sijakifanya lakini bado kitu hicho ni muhimu nikifanye.
Natanguliza shukrani.
Kukosea tena Mkuu....hivi kuna mtu ambaye hajawahi kabisa kukosea?..kukosea ni constant kama Pie =22/7 au 3.14 kwa binadamu.Kama huna ulilokosea karma haipo hapo...Huto tungine ni tumawazo twa uoga wa corona twakusumbua
Ndo maana nkakuambia jiulize kuna baya gani ulilitenda ambalo lina Ku hunt. Kama umesaau kaa chini sehemu tulivu anza kufikiria je ushawai ua majeruhi ili umpore simu, je ushamtibu mtu vibaya makusudi kisa unaliwai limchepuko huyo majeruhi akafa, je ushawai mgonga mtu njiani usiku kisha ukamtelekeza, je ushawai mtoa mtu kafara kwa mganga ukasingizia kapotea, je ushawai baka mtoto mdogo kisa tu bodaboda yako ipate wateja, je ushawai fanyiwa kinyume na maumbile ili tu urudi kazini. Tafuta kiini cha tatzo then utakua nusu umepona.Kukosea tena Mkuu....hivi kuna mtu ambaye hajawahi kabisa kukosea?..kukosea ni constant kama Pie =22/7 au 3.14 kwa binadamu.
Hili ndilo la muhimuNinajisikia nafuu ninavyopata ushauri wenu, asanteni sana.
~haunt~Ndo maana nkakuambia jiulize kuna baya gani ulilitenda ambalo lina Ku hunt. Kama umesaau kaa chini sehemu tulivu anza kufikiria je ushawai ua majeruhi ili umpore simu, je ushamtibu mtu vibaya makusudi kisa unaliwai limchepuko huyo majeruhi akafa, je ushawai mgonga mtu njiani usiku kisha ukamtelekeza, je ushawai mtoa mtu kafara kwa mganga ukasingizia kapotea, je ushawai baka mtoto mdogo kisa tu bodaboda yako ipate wateja, je ushawai fanyiwa kinyume na maumbile ili tu urudi kazini. Tafuta kiini cha tatzo then utakua nusu umepona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi makosa kama kumteta mtu, kusema uongo kama niko njiani nisubiri kidogo kumbe uko mezani, kuiba penseli yaani haya madogo na hayajasababisha majanga makubwa zaidi ya usumbufu mdogo mdogo hayana karma?Ndo maana nkakuambia jiulize kuna baya gani ulilitenda ambalo lina Ku hunt. Kama umesaau kaa chini sehemu tulivu anza kufikiria je ushawai ua majeruhi ili umpore simu, je ushamtibu mtu vibaya makusudi kisa unaliwai limchepuko huyo majeruhi akafa, je ushawai mgonga mtu njiani usiku kisha ukamtelekeza, je ushawai mtoa mtu kafara kwa mganga ukasingizia kapotea, je ushawai baka mtoto mdogo kisa tu bodaboda yako ipate wateja, je ushawai fanyiwa kinyume na maumbile ili tu urudi kazini. Tafuta kiini cha tatzo then utakua nusu umepona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani Denvers Kwani umekuwa Padre kwenye sanduku la kitubio🤣🤣Lakini ndugu yetu umekosea nini.?
Kagoma bwana kusema unajua dhambi nazo kuna unazoweza kupata ujasiri kutaja nyingine HAPANA kubwaHapana mkuu natamani kujua landa naweza kupata cha kumshauri..
😂😂😂😂Wewe mlakimtoto ukiacha tu kula huyo mdudu mambo yatakunyookea vibaya mno.