Karma inaniumiza sana mwenzenu

Karma inaniumiza sana mwenzenu

Kama huna ulilokosea karma haipo hapo...Huto tungine ni tumawazo twa uoga wa corona twakusumbua
 
Nenda ujatubu kwa Mungu na uache umbea fitna na uchonganishi Mungu atakusamehe
Nawasalimu kwa dhati wanajamii wenzangu.Mara zote nimekuwa nikijifunza kutoka kwa wanajamii wenzangu humu na hata juu ya hili ninaamini nitapata suluhisho lake humu .Nimekuwa mkimya kwa muda sasa kutokana na kupata sononeko kuu linalotokana na mashindano kati ya mwili na roho.
Ninaamini humu kuna wataalamu wa "karma"naombeni mnishauri nifanye nini maana ni kama nahisi kuna kitu nakosea na sijakifanya lakini bado kitu hicho ni muhimu nikifanye.
Natanguliza shukrani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Specialist wa masuala ya " karma" humu JF ni Pascal Mayalla. Ebu mtafute!
 
Kama huna ulilokosea karma haipo hapo...Huto tungine ni tumawazo twa uoga wa corona twakusumbua
Kukosea tena Mkuu....hivi kuna mtu ambaye hajawahi kabisa kukosea?..kukosea ni constant kama Pie =22/7 au 3.14 kwa binadamu.
 
Ndo maana nkakuambia jiulize kuna baya gani ulilitenda ambalo lina Ku hunt. Kama umesaau kaa chini sehemu tulivu anza kufikiria je ushawai ua majeruhi ili umpore simu, je ushamtibu mtu vibaya makusudi kisa unaliwai limchepuko huyo majeruhi akafa, je ushawai mgonga mtu njiani usiku kisha ukamtelekeza, je ushawai mtoa mtu kafara kwa mganga ukasingizia kapotea, je ushawai baka mtoto mdogo kisa tu bodaboda yako ipate wateja, je ushawai fanyiwa kinyume na maumbile ili tu urudi kazini. Tafuta kiini cha tatzo then utakua nusu umepona.

~haunt~
 
Hivi makosa kama kumteta mtu, kusema uongo kama niko njiani nisubiri kidogo kumbe uko mezani, kuiba penseli yaani haya madogo na hayajasababisha majanga makubwa zaidi ya usumbufu mdogo mdogo hayana karma?
 
Back
Top Bottom