Forrest Gump
JF-Expert Member
- Jul 2, 2021
- 797
- 2,314
Makebo ametukana watu sana humu bila aibu kwa muda mrefu sasa hivi mpila umemrudia yeye ili aone jinsi alivyotesa wengine.
Ufafanuzi, mpira umemrudia kivipi?..sasa hivi mpila umemrudia yeye ili aone jinsi alivyotesa wengine.
ChaiPumba tupu
Angalia matumizi yako ww kwa siku then fanya kwa mwezi.Hivi mshahara mzuri wa kujikimu mahitaji yako kwa bongo kila mwezi inatakiwa kuwa shilingi ngapi?
Makebo ametukana watu sana humu bila aibu kwa muda mrefu sasa hivi mpila umemrudia yeye ili aone jinsi alivyotesa wengine.
Milion 5 hivi minimum.Hivi mshahara mzuri wa kujikimu mahitaji yako kwa bongo kila mwezi inatakiwa kuwa shilingi ngapi?
anzisha mkuu afu unitag tulianzishe maana kweli unakuta mada ni ya kushauriana lakin lazma ukutane na mitusiNatamani lianzishwe jukwaa la ugomvi yaani ukiwa na dukuduku na mtu mnaomba kwa mods halafu mnapelekwa mgombane kwa maneno kwanza
Kama hamtotosheka mnachukuliwa kila mtu avae mask usoni mnaenda kupigana wewe
Halafu baada ya hapo mnarudishwa home kila mtu akiwa na heshima kwa mwenzake
Laki 4 tu zinatoshaMilion 5 hivi minimum.
Makebo ametukana watu sana humu bila aibu kwa muda mrefu sasa hivi mpila umemrudia yeye ili aone jinsi alivyotesa wengine.
secretarybirdNdo kaja na ID mpya ya Kraang ambayo maana yake ni Tako ambalo hakina muundo ulioonyoka linakuwa na mabunye mabunye