Karma is real. Member huyu sasa anapata tamu ya chungu yake. Matusi hayajengi

Natamani lianzishwe jukwaa la ugomvi yaani ukiwa na dukuduku na mtu mnaomba kwa mods halafu mnapelekwa mgombane kwa maneno kwanza

Kama hamtotosheka mnachukuliwa kila mtu avae mask usoni mnaenda kupigana wewe

Halafu baada ya hapo mnarudishwa home kila mtu akiwa na heshima kwa mwenzake
 
anzisha mkuu afu unitag tulianzishe maana kweli unakuta mada ni ya kushauriana lakin lazma ukutane na mitusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…