Karma is Real na ipo Kweli. Everything Happens for a Reason. Wasaidizi wa Rais Samia mna wajibu wa kumsaidia Rais na Serikali yake Kuepuka Bad Karma!

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
59,804
Reaction score
134,593
Wanabodi

leo asubuhi nimesoma post ya mwana jf huyu,Josephat Gwajima ni mtumishi wa Yesu Kristo. Nguvu na uwezo wa Kristo umo ndani yake, ndiyo maana polisi awakumkamata nikaguswa!na kuamua kuzungumzia tena hiki kitu kinachoitwa karma。Karma ni what goes around,comes around!The Power of Karma- Ndio hukumu pekee ya haki kamili hapa Duniani. Unahukumiwa kwa matendo yako!

Hii karma is real na ipo kweli!,everything happens for a reason!, japo hakuna ajuaye kwanini yule alitwaliwa, lakini there was a reasons,kuna sababu fulani, sisi wa jicho la tatu,tuliziona,tukazisema, tukaziandika, tukapuuzwa, akatwaliwa!。Japo hakuna ajuaye sababu za kutwaliwa kaka, isipokuwa Mungu, kuna watu saw it coming, wakasema, wakapuuzwa, akatwaliwa. Dada ukisikia usipuuze hili

Kwa vile hakuna ajuaye sababu haswa ni nini zilizopelekea yeye kutwaliwa,urais ni kibali ili ufanye mambo kwa namna ya kumpendeza aliyekupa kibali,ukifanya vinginevyo,kibali chako kinafutwa!sababu za kufutwa kibali ni bad karma inaweza kuwa imechangia!。Magufuli alikuwa na kibali kikafutwa! Rais ni kibali, anajitambua? Je, tumsaidie atimize matakwa ya kibali chake ili kisifutwe, au tumuachie mwenyewe?

Sasa tunapoanza kuona zile sababu za bad karma kama za wakati ule,zinaanza kujirudia wakati huu, hatuwezi kunyamaza,

Wasaidizi wa JPM walimuogopa wakashindwa kumsaidia kuepuka bad karma Wasaidizi wa Magufuli walimuogopa hadi kushindwa kumsaidia, Je Wasaidizi wa Samia wanamsaidia kwa kumweleza ukweli au nao wanamuogopa? Tumsaidie au..?
Wasaidizi wa Rais Samia,
mnawajibu wa kumsaidia Rais Samia na serikali yake kuepuka mambo yanayoweza kusababisha a bad karma!。

Kwa upande wangu,mambo yanayosababisha a bad karma kwa Rais wa JMT, ni mambo mawili
1. Vitendo viovu vya kusabasha watu waumie,walie na wavuje machozi,jasho na damu za Watanzania。
2. Ukosekanaji wa haki ndani ya JMT,zikiwemo haki jinai,haki siasa,haki katiba,haki sheria,na haki uchaguzi kwa kutofanya uchaguzi huru na wa haki,bao la mkono na figisu figisu na udhalimu Elections 2015 - Kama hii ni kweli, then serikali yetu ni serikali dhalimu na haramu? Hukumu ya karma ijuu yake!

Hapa naweka baadhi ya matukio ya bad karma ya awamu iliyopita,nikionyesha nilishauri nini awamu ile,na nimeshauri nini awamu hii。
Enzi ya JPM Ombi Maalum, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2020, Uendeshwe kwa Ceteris Peribus, Sio Kwa Mutatis Mutandis. Tutabarikiwa!

Awamu ya SSH Pre GE2025 - Baada ya Mtu Kusema Ukweli Kuhusu Uchaguzi Kuendeshwa kwa Mutatis Mutandis, Tunaomba Uchaguzi Mkuu wa 2025 Uendeshwe kwa Ceteris Peribus!

Kabla ya uchaguzi wa serikali, 2024,nikamsisitizia mtu wetu Pre GE2025 - LGE2024 - Ombi Maalum, Kwa Mtu Maalum Achana na Hizi Mutatis Mutandis Kwenye Chaguzi za SM2024 & U/Mkuu2025, Tumia Ceteris Peribus, Utabarikiwa, Tutabarikiwa!

Ushauri huu,ulipuuzwa, tukafanya uchaguzi wa serikali za mitaa kwa mutatis mutandis zile zile kama za 2019, na sasa zimebaki siku 30 za mwisho kabla ya Bunge kuvunjwa,https://www.jamiiforums.com/threads...r-tufanye-tu-illegal-elections.2346113/,hivyo tunakwenda kufanya tena uchaguzi mkuu wa 2025 kwa mutatis mutandis zile zile za uchaguzi wa 2020!,tukipata matokeo kama ya 2020, pia tuwe tayari kuyapokea na yatokanayo !。

Hitimisho
Haya mabaya yote uanayotokea awamu hii ya Rais Samia,hakuna hata limoja Rais Samia analifanya yeye,ni wasaidizi wake,hivyo tumewasisitiza Wito Kwa Viongozi Wetu: Unapokosea, hata kwa kujikwaa tu ulimi, tujenge utamaduni wa kuwajibika ili kumuepushia Rais wetu kubeba mzigo wa karma na kwa vile Rais Samia ndie mwenye dhamana, Wanasheria Waelimisheni Viongozi Wetu Kitu Kinachoitwa "Vicarious Liability", Hata Kama Wewe Hujaua, Kama Muuaji ni Mtu Wako, Then Unawajibika Wewe
Tukiweza kuepuka bad karma,tuepuke,tusiipe karma sababu!

Paskali
 
Wanabodi

leo asubuhi nimesoma post ya mwana jf huyu,nikaguswa,kuzungumzia hiki kitu kinachoitwa karma。Karma ni what goes around,comes around!

Hii karma is real na ipo kweli!,everything happens for a reason!, japo hakuna ajuaye kwanini yule alitwaliwa, lakini there was a reasons,kuna sababu fulani, sisi wa jicho la tatu,tuliziona,tukazisema, tukaziandika, tukapuuzwa, akatwaliwa!。

Kwa vile hakuna ajuaye sababu haswa ni nini zilizopelekea yeye kutwaliwa, lakini a bad karma inaweza kuwa imechangia!。

Sasa tunapoanza kuona zile sababu za bad karma kama za wakati ule,zinaanza kujirudia wakati huu, hatuwezi kunyamaza,

Wasaidizi wa Rais Samia,
mnawajibu wa kumsaidia Rais Samia na serikali yake kuepuka mambo yanayoweza kusababisha a bad karma!。

Kwa upande wangu,mambo yanayosababisha a bad karma kwa Rais wa JMT, ni mambo mawili
1. Vitendo viovu vya kusabasha watu waumie,walie na wavuje machozi,jasho na damu za Watanania,
2. Ukosekanaji wa haki ndani ya JMT,zikiwemo haki jinai,haki siasa,haki katiba,haki sheria,na haki uchaguzi kwa kutofanya uchaguzi huru na wa haki,bao la mkono na figisu figisu

Hitimisho
Tukiweza kuepuka bad karma,tuepuke,tusiipe karma sababu!

Paskali
Comrade Pascal Mayalla tatizo kwenye mfumo pia inaonekana hawamtaki kabisa kiasi kwamba hawampi ushauri sahihi. Wewe kwa mifumo iliyopo kipindi hiki cha uchaguzi hivi utaenda kufungia kanisa kweli????
 
Mwongozo ulishatoka
 
Nilisema sehemu

Wanabodi

leo asubuhi nimesoma post ya mwana jf huyu,nikaguswa,kuzungumzia hiki kitu kinachoitwa karma。Karma ni what goes around,comes around!The Power of Karma- Ndio hukumu pekee ya haki kamili hapa Duniani. Unahukumiwa kwa matendo yako!

Hii karma is real na ipo kweli!,everything happens for a reason!, japo hakuna ajuaye kwanini yule alitwaliwa, lakini there was a reasons,kuna sababu fulani, sisi wa jicho la tatu,tuliziona,tukazisema, tukaziandika, tukapuuzwa, akatwaliwa!。

Kwa vile hakuna ajuaye sababu haswa ni nini zilizopelekea yeye kutwaliwa, lakini a bad karma inaweza kuwa imechangia!。

Sasa tunapoanza kuona zile sababu za bad karma kama za wakati ule,zinaanza kujirudia wakati huu, hatuwezi kunyamaza,

Wasaidizi wa Rais Samia,
mnawajibu wa kumsaidia Rais Samia na serikali yake kuepuka mambo yanayoweza kusababisha a bad karma!。

Kwa upande wangu,mambo yanayosababisha a bad karma kwa Rais wa JMT, ni mambo mawili
1. Vitendo viovu vya kusabasha watu waumie,walie na wavuje machozi,jasho na damu za Watanania,
2. Ukosekanaji wa haki ndani ya JMT,zikiwemo haki jinai,haki siasa,haki katiba,haki sheria,na haki uchaguzi kwa kutofanya uchaguzi huru na wa haki,bao la mkono na figisu figisu

Hitimisho
Tukiweza kuepuka bad karma,tuepuke,tusiipe karma sababu!

Paskali
Wewe naye hueleweki sio moto sio baridi leo kule kesho huku ,simama kama wanaume ukibadilike utakuwa nguzo ya chumvi

USSR
 
Kwani hawajuwi?! Wanajuwa fika, ila uroho, madaraka ya kulevya, kujiamini, tamaa na roho mbaya zimewaziba macho na masikio, wanadhani wataishi milele!
Ipo siku tu watashangaa na kutokuamini kila jambo haliendi na hawana namna bali kusubiri hukumu toka kwa raia.
 
what goes around, comes around, hata yeye alikuwa upande ule kabla ya mapinduzi, safari za kuvuka mpaka hazikuisha lkn leo hii anazuia wengine wasivuke mpaka, labda kuna wanachokijua tusichokijua, kwani njia ni zile zile so it seems …
 
Wanabodi

leo asubuhi nimesoma post ya mwana jf huyu,nikaguswa,kuzungumzia hiki kitu kinachoitwa karma。Karma ni what goes around,comes around!The Power of Karma- Ndio hukumu pekee ya haki kamili hapa Duniani. Unahukumiwa kwa matendo yako!

Hii karma is real na ipo kweli!,everything happens for a reason!, japo hakuna ajuaye kwanini yule alitwaliwa, lakini there was a reasons,kuna sababu fulani, sisi wa jicho la tatu,tuliziona,tukazisema, tukaziandika, tukapuuzwa, akatwaliwa!。

Kwa vile hakuna ajuaye sababu haswa ni nini zilizopelekea yeye kutwaliwa, lakini a bad karma inaweza kuwa imechangia!。

Sasa tunapoanza kuona zile sababu za bad karma kama za wakati ule,zinaanza kujirudia wakati huu, hatuwezi kunyamaza,

Wasaidizi wa Rais Samia,
mnawajibu wa kumsaidia Rais Samia na serikali yake kuepuka mambo yanayoweza kusababisha a bad karma!。

Kwa upande wangu,mambo yanayosababisha a bad karma kwa Rais wa JMT, ni mambo mawili
1. Vitendo viovu vya kusabasha watu waumie,walie na wavuje machozi,jasho na damu za Watanania,
2. Ukosekanaji wa haki ndani ya JMT,zikiwemo haki jinai,haki siasa,haki katiba,haki sheria,na haki uchaguzi kwa kutofanya uchaguzi huru na wa haki,bao la mkono na figisu figisu

Hitimisho
Tukiweza kuepuka bad karma,tuepuke,tusiipe karma sababu!

Paskali
ni vyema kuepukana na dhana potofu kama hizo. Wachache waliochoka amani, umoja na utulivu wa waTanzania washughulikiwe ipasavyo bila kujali mayowe au dhana potofu kama hizo. Ni dharau kuendekeza uchochezi na kukiuka sheria kwa makusudi 🐒
 
Wanabodi

leo asubuhi nimesoma post ya mwana jf huyu,nikaguswa,kuzungumzia hiki kitu kinachoitwa karma。Karma ni what goes around,comes around!The Power of Karma- Ndio hukumu pekee ya haki kamili hapa Duniani. Unahukumiwa kwa matendo yako!

Hii karma is real na ipo kweli!,everything happens for a reason!, japo hakuna ajuaye kwanini yule alitwaliwa, lakini there was a reasons,kuna sababu fulani, sisi wa jicho la tatu,tuliziona,tukazisema, tukaziandika, tukapuuzwa, akatwaliwa!。

Kwa vile hakuna ajuaye sababu haswa ni nini zilizopelekea yeye kutwaliwa, lakini a bad karma inaweza kuwa imechangia!。

Sasa tunapoanza kuona zile sababu za bad karma kama za wakati ule,zinaanza kujirudia wakati huu, hatuwezi kunyamaza,

Wasaidizi wa Rais Samia,
mnawajibu wa kumsaidia Rais Samia na serikali yake kuepuka mambo yanayoweza kusababisha a bad karma!。

Kwa upande wangu,mambo yanayosababisha a bad karma kwa Rais wa JMT, ni mambo mawili
1. Vitendo viovu vya kusabasha watu waumie,walie na wavuje machozi,jasho na damu za Watanania,
2. Ukosekanaji wa haki ndani ya JMT,zikiwemo haki jinai,haki siasa,haki katiba,haki sheria,na haki uchaguzi kwa kutofanya uchaguzi huru na wa haki,bao la mkono na figisu figisu

Hapa naweka baadhi ya matukio ya bad karma ya awamu iliyopita,nikionyesha nilishauri nini awamu ile,na nimeshauri nini awamu hii。
Enzi ya JPM Ombi Maalum, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2020, Uendeshwe kwa Ceteris Peribus, Sio Kwa Mutatis Mutandis. Tutabarikiwa!

Hitimisho
Tukiweza kuepuka bad karma,tuepuke,tusiipe karma sababu!

Paskali
Kama kawaida Yako mkuu Unang'ata na kupuliza
 
No REFORMS NO ELECTION
 
Kwa hiyo unataka kusema Magufuli alifariki kwa sababu alikuwa mtenda maovu?

Kwani watenda mema hawafi wakiwa na umri kama wa Magufuli?

Halafu kwa nini katika Kila andiko lako lazima unamtaja Magufuli?

Au kwa sababu ulibanwa makende enzi za utawala wake?

Je unauhakika kuwa Magufuli ndiye aliyekubana makende?

Nieleweshe hapo kwanza kabla sijakutwanga maswali mengine 😎

Ole wako ukimbie Uzi!.

Cc Mbaga Jr
 
Back
Top Bottom