Karma is Real na ipo Kweli. Everything Happens for a Reason. Wasaidizi wa Rais Samia mna wajibu wa kumsaidia Rais na Serikali yake Kuepuka Bad Karma!

Ukisoma laws of nature hii kitu ni real imewekwa ili kuibalance Dunia spiritual ina apply kwa wote haijalishi wewe ni farao au mzibua vyoo.
Thus unaona wazungu wanatoa sana misaaada Africa sio kwamba wanatupenda au hawana shida na pesa wanafanya hivyo ili kuneutralize karma kutokana na matendo yao mabaya waliyoyafanya Africa zama za utumwa na ukoloni bila kufanya hivyo nchi za ulaya zisingetawalika na kuwa na utulivu kwa sababu ya nguvu ya damu na malipizi.
 
Kwa hiyo unataka kusema Magufuli alifariki kwa sababu alikuwa mtenda maovu?

Kwani watenda mema hawafi wakiwa na umri kama wa Magufuli?

Halafu kwa nini katika Kila andiko lako lazima unamtaja Magufuli?

Au kwa sababu ulibanwa makende enzi za utawala wake?

Je unauhakika kuwa Magufuli ndiye aliyekubana makende?

Nieleweshe hapo kwanza kabla sijakutwanga maswali mengine 😎

Ole wako ukimbie Uzi!.

Cc Mbaga Jr
Inasikitisha sana mkuu
 
Ndugu yangu Lucas Mwashambwa tumbo joto. Kadi yake ya Chama haikai mfukoni inachomoka chomoka!

Bi Mdashi akitwaliwa sijui atabadilisha ID?? au atatoroka JF?

Luca alivyo Bumunda atakuja na uzi unaosema: "HAKIKA BI MDASHI ANAUPIGA MWINGI MBINGUNI, MALAIKA WAMPOKEA HUKU WAKIGARAGARA NA KUBUBUJIKWA NA MACHOZI. MABAWA YAO YALOWANA KWA FURAHA".

Kumbe Bi Mdashi yupo motoni amekabwa roba na majinamizi anakula kizigo cha adhabu kali.

Cc: Tlaatlaah chiembe ChoiceVariable Lamomy secretarybird Extrovert Nyani Ngabu DR Mambo Jambo
 
Wanabodi

leo asubuhi nimesoma post ya mwana jf huyu,nikaguswa,kuzungumzia hiki kitu kinachoitwa karma。Karma ni what goes around,comes around!The Power of Karma- Ndio hukumu pekee ya haki kamili hapa Duniani. Unahukumiwa kwa matendo yako!

Hii karma is real na ipo kweli!,everything happens for a reason!, japo hakuna ajuaye kwanini yule alitwaliwa, lakini there was a reasons,kuna sababu fulani, sisi wa jicho la tatu,tuliziona,tukazisema, tukaziandika, tukapuuzwa, akatwaliwa!。

Kwa vile hakuna ajuaye sababu haswa ni nini zilizopelekea yeye kutwaliwa, lakini a bad karma inaweza kuwa imechangia!。

Sasa tunapoanza kuona zile sababu za bad karma kama za wakati ule,zinaanza kujirudia wakati huu, hatuwezi kunyamaza,

Wasaidizi wa Rais Samia,
mnawajibu wa kumsaidia Rais Samia na serikali yake kuepuka mambo yanayoweza kusababisha a bad karma!。

Kwa upande wangu,mambo yanayosababisha a bad karma kwa Rais wa JMT, ni mambo mawili
1. Vitendo viovu vya kusabasha watu waumie,walie na wavuje machozi,jasho na damu za Watanania,
2. Ukosekanaji wa haki ndani ya JMT,zikiwemo haki jinai,haki siasa,haki katiba,haki sheria,na haki uchaguzi kwa kutofanya uchaguzi huru na wa haki,bao la mkono na figisu figisu

Hapa naweka baadhi ya matukio ya bad karma ya awamu iliyopita,nikionyesha nilishauri nini awamu ile,na nimeshauri nini awamu hii。
Enzi ya JPM Ombi Maalum, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2020, Uendeshwe kwa Ceteris Peribus, Sio Kwa Mutatis Mutandis. Tutabarikiwa!

Awamu ya SSH Pre GE2025 - Baada ya Mtu Kusema Ukweli Kuhusu Uchaguzi Kuendeshwa kwa Mutatis Mutandis, Tunaomba Uchaguzi Mkuu wa 2025 Uendeshwe kwa Ceteris Peribus!

Hitimisho
Tukiweza kuepuka bad karma,tuepuke,tusiipe karma sababu!

Paskali
Mayala maana yake njaa
 
Mkuu

Nakubaliana na wewe

Watu wengi hawaijui kanuni muhimu ya maisha

Maisha ni kama kioo, input is equal to aoutput

ukimtukana mtu na yeye atakutukana

Ukimsifia na yeye atakusifia
Ukitenda haki na wewe utatendewa
Ukimkumbuka mtu na yeye atakukumbuka
Ukirusha ngumi na wewe utarushiwa

Ukiwapenda watu na wao watakupenda

Yaani ni kama vile mtu anajitizama kwenye kioo na dunia inatoa majibu hivyo hivyo

Input wanayo weka kwenye kioo viongozi wetu aout put ni hiyo hiyo kwenye jamii
 
Karma haiwezi kutokea kwa Samia, itarudi kwa viongozi wa Chadema maana wanaongoza magenge ya kutekana ili kuzua taharuki ionekane ni serekali kwa nia ya kupata huruma ya wananchi
Uchunguzi ufanyike wakamatwe
 
Ndugu yangu Lucas Mwashambwa tumbo joto. Kadi yake ya Chama haikai mfukoni inachomoka chomoka!

Bi Mdashi akitwaliwa sijui atabadilisha ID?? au atatoroka JF?

Luca alivyo Bumunda atakuja na uzi unaosema: "HAKIKA BI MDASHI ANAUPIGA MWINGI MBINGUNI, MALAIKA WAMPOKEA HUKU WAKIGARAGARA NA KUBUBUJIKWA NA MACHOZI. MABAWA YAO YALOWANA KWA FURAHA".

Kumbe Bi Mdashi yupo motoni amekabwa roba na majinamizi anakula kizigo cha adhabu kali.

Cc: Tlaatlaah chiembe ChoiceVariable Lamomy secretarybird Extrovert Nyani Ngabu DR Mambo Jambo
Kwanza kabisa mungu atamsahau pale toharani yaani rumande ya mbinguni. Baadaye atatupwa jehenam kwa makosa anayoyatenda hapa duniani.
 
Comrade Pascal Mayalla tatizo kwenye mfumo pia inaonekana hawamtaki kabisa kiasi kwamba hawampi ushauri sahihi. Wewe kwa mifumo iliyopo kipindi hiki cha uchaguzi hivi utaenda kufungia kanisa kweli????
Wanakurupuka sana yaani ni juzi TU wakenya wamemchafua sana mitandaoni baada ya wanaharakati wao kufanyiwa vitendo viovu halijaisha hilo mara kufungia makanisa Tyr washatengeneza mpasuko,udini, chuki kwa wananchi vs serikali huku wakiifanya kauli mbiu ya no reform no election izidi kuwa na nguvu bila wao kujua
 
Wanabodi

leo asubuhi nimesoma post ya mwana jf huyu,nikaguswa,kuzungumzia hiki kitu kinachoitwa karma。Karma ni what goes around,comes around!The Power of Karma- Ndio hukumu pekee ya haki kamili hapa Duniani. Unahukumiwa kwa matendo yako!

Hii karma is real na ipo kweli!,everything happens for a reason!, japo hakuna ajuaye kwanini yule alitwaliwa, lakini there was a reasons,kuna sababu fulani, sisi wa jicho la tatu,tuliziona,tukazisema, tukaziandika, tukapuuzwa, akatwaliwa!。

Kwa vile hakuna ajuaye sababu haswa ni nini zilizopelekea yeye kutwaliwa, lakini a bad karma inaweza kuwa imechangia!。

Sasa tunapoanza kuona zile sababu za bad karma kama za wakati ule,zinaanza kujirudia wakati huu, hatuwezi kunyamaza,

Wasaidizi wa Rais Samia,
mnawajibu wa kumsaidia Rais Samia na serikali yake kuepuka mambo yanayoweza kusababisha a bad karma!。

Kwa upande wangu,mambo yanayosababisha a bad karma kwa Rais wa JMT, ni mambo mawili
1. Vitendo viovu vya kusabasha watu waumie,walie na wavuje machozi,jasho na damu za Watanania,
2. Ukosekanaji wa haki ndani ya JMT,zikiwemo haki jinai,haki siasa,haki katiba,haki sheria,na haki uchaguzi kwa kutofanya uchaguzi huru na wa haki,bao la mkono na figisu figisu

Hapa naweka baadhi ya matukio ya bad karma ya awamu iliyopita,nikionyesha nilishauri nini awamu ile,na nimeshauri nini awamu hii。
Enzi ya JPM Ombi Maalum, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2020, Uendeshwe kwa Ceteris Peribus, Sio Kwa Mutatis Mutandis. Tutabarikiwa!

Awamu ya SSH Pre GE2025 - Baada ya Mtu Kusema Ukweli Kuhusu Uchaguzi Kuendeshwa kwa Mutatis Mutandis, Tunaomba Uchaguzi Mkuu wa 2025 Uendeshwe kwa Ceteris Peribus!

Kabla ya uchaguzi wa serikali, 2024,nikamsisitizia mtu wetu Pre GE2025 - LGE2024 - Ombi Maalum, Kwa Mtu Maalum Achana na Hizi Mutatis Mutandis Kwenye Chaguzi za SM2024 & U/Mkuu2025, Tumia Ceteris Peribus, Utabarikiwa, Tutabarikiwa!

Hitimisho
Tukiweza kuepuka bad karma,tuepuke,tusiipe karma sababu!

Paskali
Nimekuwa nasubiri response yako kwenye mada yangu niliweka hapa wiki ilopita. Pascal Mayalla huu ni wakati wako wa kutoa neno wafikiraje mkutano wa Askofu Gwajima na waandishi wa habari?

Naona umerudi kivingine.

Mimi natambua kuwa wafahamu masuala mengi mazito ila usijitoe sana kwenye ukweli.

Simamia ukweli ukiwa ni mwandishi wa habari nguli hata kama mguu mwingine wakanyaga kuleee.
 
Comrade Pascal Mayalla tatizo kwenye mfumo pia inaonekana hawamtaki kabisa kiasi kwamba hawampi ushauri sahihi. Wewe kwa mifumo iliyopo kipindi hiki cha uchaguzi hivi utaenda kufungia kanisa kweli????
Sasa washauri wakina Steve Nyerere ndo anaitwa Mwashambwa unategemea nini maana ya washauri lazima wakwambie hata yale ambayo hupendi then wanakupa na Ushauri Sasa wewe uzugukwe na watu wanaimba sifa tu huwezi kutoboa
 
Wanabodi

leo asubuhi nimesoma post ya mwana jf huyu,nikaguswa,kuzungumzia hiki kitu kinachoitwa karma。Karma ni what goes around,comes around!The Power of Karma- Ndio hukumu pekee ya haki kamili hapa Duniani. Unahukumiwa kwa matendo yako!

Hii karma is real na ipo kweli!,everything happens for a reason!, japo hakuna ajuaye kwanini yule alitwaliwa, lakini there was a reasons,kuna sababu fulani, sisi wa jicho la tatu,tuliziona,tukazisema, tukaziandika, tukapuuzwa, akatwaliwa!。

Kwa vile hakuna ajuaye sababu haswa ni nini zilizopelekea yeye kutwaliwa, lakini a bad karma inaweza kuwa imechangia!。

Sasa tunapoanza kuona zile sababu za bad karma kama za wakati ule,zinaanza kujirudia wakati huu, hatuwezi kunyamaza,

Wasaidizi wa Rais Samia,
mnawajibu wa kumsaidia Rais Samia na serikali yake kuepuka mambo yanayoweza kusababisha a bad karma!。

Kwa upande wangu,mambo yanayosababisha a bad karma kwa Rais wa JMT, ni mambo mawili
1. Vitendo viovu vya kusabasha watu waumie,walie na wavuje machozi,jasho na damu za Watanania,
2. Ukosekanaji wa haki ndani ya JMT,zikiwemo haki jinai,haki siasa,haki katiba,haki sheria,na haki uchaguzi kwa kutofanya uchaguzi huru na wa haki,bao la mkono na figisu figisu

Hapa naweka baadhi ya matukio ya bad karma ya awamu iliyopita,nikionyesha nilishauri nini awamu ile,na nimeshauri nini awamu hii。
Enzi ya JPM Ombi Maalum, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2020, Uendeshwe kwa Ceteris Peribus, Sio Kwa Mutatis Mutandis. Tutabarikiwa!

Awamu ya SSH Pre GE2025 - Baada ya Mtu Kusema Ukweli Kuhusu Uchaguzi Kuendeshwa kwa Mutatis Mutandis, Tunaomba Uchaguzi Mkuu wa 2025 Uendeshwe kwa Ceteris Peribus!

Kabla ya uchaguzi wa serikali, 2024,nikamsisitizia mtu wetu Pre GE2025 - LGE2024 - Ombi Maalum, Kwa Mtu Maalum Achana na Hizi Mutatis Mutandis Kwenye Chaguzi za SM2024 & U/Mkuu2025, Tumia Ceteris Peribus, Utabarikiwa, Tutabarikiwa!

Hitimisho
Tukiweza kuepuka bad karma,tuepuke,tusiipe karma sababu!

Paskali
Mbona la karma hii hukuliongelea Mwangi na Atuhaire walivyo nyanyaswa, au wale wa Chadema kutupewa msituni Mabwepande na mengine mengi.
 
Back
Top Bottom