auferet dominus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 1,804
- 1,292
Karma ndo kitu gani? Anyone?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hah hah kile kisa ni noma
Aiseeh
Hahah I am humbled mkuu!Nimemaliza kusoma sasa, nilihitaji kusoma nikiwa nimetulia, mimi ni shabiki yako baada ya kuona uzi wako nikafungua nicoment wa kwanza hahaha
Tafadhali mpendwa, sema neno zaidi nami nitapona...
Mentor, you are a real Mentor of mine, nina mengi ya kujifunza kutoka kwakoHivi nikiwa Lindi si ndo yule jamaa mchimba chumvi aliniloga?
Ila mkuu tangu kipindi kile sijawahi kutembea na mke watu tena! Nilikoma...
Tafadhali mpendwa, sema neno zaidi nami nitapona...
Hahah I am humbled mkuu!
Natumai umejifunza jambo hapo...
Thank you so much. now my advice to everyone please do not believe this. it's wrong.Tumia hiyo definition ya urban dictionary hapo...ni rahisi kuelewa zaidi.View attachment 740953
Ya lara 1 unaisoma lakini?.At last...after a very long time we have a sensible story/thread.
Whats wrong? The definition or the whole karma thing?Thank you so much. now my advice to everyone please do not believe this. it's wrong.
thank you for asking. I meant the whole karma thing. it doesn't work. it's a no no.Whats wrong? The definition or the whole karma thing?
thank you for asking. I meant the whole karma thing. it doesn't work. it's a no no.
Kwa mara ya kwanza naomba niandike maelezo ya ziada;
- Kisa hiki ni kisa cha ukweli kabisa (wahusika wamebadilishwa kuficha uhalisia)
- hata mimi mwandishi bado nipo kwenye dilemma ya kujua nani hasa ahukumiwe (au ahukumiwe zaidi) na ndiyo maana nikafikiria kuweka poll hapo juu.
Zaidi sana, ni lengo la mimi kuelezea mkasa huu;
- HUKUMU: Kabla hujamchukia na kumhukumu mtu kwa alilokufanyia, jichunguze kama hukuwahi kufanya kama yeye. Haimaanishi kwa kila kosa basi tunastahili adhabu lakini itatufanya kuwa wapole wakati mwingine tunapofikiria kumuumiza mtu mwingine. Mara nyingi, hasa kwenye mahusiano (na hii imenikuta hivi karibuni) unamchukia mtu kwa kosa alilokufanyia. Unamtukana na kutumia maneno makali kuwa hakukupenda ndiyo maana akakufanyia A, B, C. lakini ukikaa kidogo ukafikiria 2012 huko Kidamali, utagundua nawe uliwahi kumfanyia mwingine sawa (au zaidi) ya yale uliyofanyiwa. Ila kwa kuwa sasa kibao kimegeuka kwako, huuoni uovu wako ila wa yule aliyekutenda sasa. BIN ADAMU!
- HISTORIA: Uliyoyafanya kwa kificho, yatadhihirishwa mwangani siku moja. Mara nyingi tunafanya mambo kwa kuamini hayatakuja kutuumbua mbeleni. Kuna nyakati tunafanikiwa. Lakini, amin nakuambia, ipo siku uovu unaoufanya ukijua ni uovu utakuja kuku-haunt.
- NAFASI: Unayo nafasi ya kurekebisha na kuanza upya. Zaidi sana, unayo nafasi sasa ya kutafakari na kuishi sawa. Mfalme Daudi kwenye aya niliyoandika, alijuta na kutubu (kwa bahati mbaya kwake dhambi yake ilisababisha kifo/vifo) lakini alirejeshewa baraka zake. Alirekebisha mwenendo wake na Mungu akamrejeshea ufalme wake. Kwa kiingereza kuna mahali imeandikwa, "God considered him, a man after God's own heart." Inawezekana kurekebisha, inawezekana kuanza upya kwa usahihi na inawezekana kutafakari sasa na kuepuka kufikia kwa Daudi na Mentor.
Wasalaam wapendwa,
Mentor.
Imewahi kukukuta ?KARMA