Karma Sio Mchezo!, Hatimaye 'Wasiojulikana' Hawa!, Waanza Kutajana!. Asiyejulikana Mmoja Awataja Wenzake!. Do We Have, a Hopeless Police Force?

Karma Sio Mchezo!, Hatimaye 'Wasiojulikana' Hawa!, Waanza Kutajana!. Asiyejulikana Mmoja Awataja Wenzake!. Do We Have, a Hopeless Police Force?

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
53,857
Reaction score
121,995
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na Kwa Maslahi ya Taifa,
Leo Kwa Maslahi ya Taifa ni uwezo wa Jeshi letu la polisi ku deal na hawa watu wanaitwa *wasiojulikana", maana sasa ni kama wanaanza kutajana kiaina!.
Screen Shot 2022-05-02 at 12.37.48 PM.png
Screen Shot 2022-05-02 at 12.38.11 PM.png

Naomba kuanza bandiko hili Kwa msisitizo, nimeuliza swali, " Do we have a Hopeless Police Force?. Sijasema "We have a Hopeless Police Force!". Nimeanza na angalizo hilo, maana kule nyuma niliwahi kuuliza "Jee Bunge Letu Linajipendekeza Kwa Serikali?", niliitwa mpaka Dodoma na kuhojiwa na Kamati ya Bunge Kwa tuhuma kuwa eti nimetoa statement ya kulikashifu na kulidhalilisha Bunge la JMT kwa kutoa statement ya kusema "Bunge Linajipendekeza Kwa Serikali!", nikawaambia sikutoa statement, bali niliuliza swali," Jee Bunge Linajipendekeza Kwa Serikali?, na alama ya kuuliza, Ila mbunge aliyenituhumu bungeni, yeye hakuiona hiyo alama ya kuuliza, na Kwa vile sifa za Mbunge wa Bunge la JMT ni pamoja na kujua kusoma na kuandika, hivyo mtu yoyote aliyemaliza darasa la 7, lazima ana uwezo wa kusoma nakuandika, hivyo uwezo huo wakusoma ni pamoja na uwezo wa kuiona alama ya kuuliza!. Vitu vidogo vidogo kama hivi, vinatusababishia wana jamii kuhoji viwango vya elimu vya baadhi ya wabunge wetu, huenda viko chini ya kiwango cha darasa la 7!, kwasababu waheshimiwa wabunge wetu wa Darasa la 7, kama Kibajaji na Musukuma wanatoa hoja za maana kama watu wa Ph.D,
Mbunge kama huyu, ukiwaita baadhi ya wabunge wetu ni vilaza, utakuwa umewakosea?

Kwa muda mrefu taifa letu limekuwa likisumbuliwa na kuhangaika na kundi la watu wanaitwa "wasiojulikana", wanaofanya vitendo viovu ikiwa ni pamoja na utekaji, utesaji, na mauaji, na miili kutoonekana, na mingingine kuiweka miili kwenye viroba, na kuitupa mtoni, ziwani au baharini, baadhi ya miili iliyofungwa vibaya, huibuka juu ya maji na kuonekana ikiwa imefungwa kwenye viroba.

Miongoni vya watu waliofanyiwa uhalifu huo ni pamoja na kiongozi wa mgomo wa madaktari, Dr. Ulimboka, Mhariri wa Gazeti la Mtanzania, Absolom Kibanda, Mwandishi wa habari wa Mwananchi, Azory Gwanda, mwana JF maarufu Ben Saanane, na wengine wengi. Vitendo hivi vilifika peak, pale Mnadhimu Mkuu wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni, Mhe. Tundu Lissu aliposhambuliwa kwa kumiminiwa marisasi ya kutosha, mchana kweupe akiwa katika makazi rasmi ya Wabunge, yenye ulinzi imara 24/7 jijini Dodoma.

Hakuna mtu yoyote aliyewahi kushukiwa, kukamatwa au kuhojiwa kutokana na matukio hayo, wala jeshi letu makini na adilifu la polisi, halikuwahi kutoa taarifa yoyote ya uchunguzi wa matukio hayo.

Hali hiyo ilipelekea huku kwenye mitandao ya kijamii, baadhi ya watu na taasisi fulani fulani kuanza kunyoosheana vidole, kwa kuwataja baadhi ya watu na baadhi ya Taasisi.

Taasisi ya kwanza kunyooshewa vidole ni Jeshi letu la polisi, lilishutumiwa kwa uzembe wa kushindwa kufanya chochote kuzuia matukio hayo na baada ya matukio kutofanya uchunguzi wowote na kama walifanya uchunguzi kimya kimya hawakutoa taarifa yoyote ya maendeleo ya uchunguzi.

Taasisi ya pili kunyooshewa kidole ni Idara yetu nyeti ya Usalama wa Taifa. Akina sisi tuliozaliwa kwenye familia za wana usalama wa Taifa Kwa Baba na Mama, tunaukumbuka uadilifu wa wazazi hivyo tukashauri, TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!

Ili tusizidi kunyoosheana vidole vya kushikana uchawi kutafutana mchawi, kwanza nijitolea kuwafungua macho watu kuhusu watu "wasiojulikana" na 'wasiojulikana', nikasema "wasiojulikana" waendelee kutafutwa, ipo siku watapatikana na watajulikana, Ila 'wasiojulikana', kamwe hawatajulikana Ila kitu kinachoitwa karma kuwashughulikia. Shambulio la Lissu: Wajue Wasiojulikana Watakaojulikana na 'Wasiojulikana' Ambao Kamwe, Hawatajulikana!.

Tena nikaomba Tuacheni ramli chonganishi: Tusihukumu tusije tukahukumiwa. Karma ndio pekee hutoa hukumu ya haki hapa duniani!

Kwa vile mimi sio polisi bali tasnia yetu ya habari, ni Mhimili wa Nne, usio rasmi ambao una baadhi ya waandishi wenye uwezo wa kuandika stori za uchunguzi, Investigative Journalism, hivyo tunaweza kusaidia, na mimi ni mmoja wa waandishi wa kundi hili, hivyo tukajitolea kuwapa polisi lead ya pakuanzia, Serious Media inaweza kuwabaini "wasiojulikana" Deo Masakilija

Kisha tukahamasishana WanaJF, Je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi?

Na kweli baada ya muda sii mrefu, karma ilianza Kula vichwa vya baadhi ya walionyooshewa vidole!, Ila hawajaisha.

Kuna baadhi ya vyama vya siasa kutokana na kauli za viongozi wake kuhamasisha vurugu, vilivyooshewa vidole. Video za kupanga utekaji zikanaswa na kupandishwa YouTube. Rwakatare Hawezi Kushitakiwa Kwa Ushahidi wa "You Tube!"

Baadhi ya viongozi wakashikwa na kushitakiwa, Ila DPP akaamua kufuta kesi.https://www.jamiiforums.com/threads/lwakatare-kufikishwa-mahakamani-kesho-au-kuachiwa-huru.419161/

Kwenye hizo tuhuma za vyama vya siasa kutishia amani, hatukunyamaza tulionya, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, Kufutwa Kwa Mujibu wa Katiba!... Endapo ...!

Na tukawaelimisha the consequences ya vitendo vya uhalifu wa vyama vyao.https://www.jamiiforums.com/threads/je-wajua-kuwa-hatma-ya-chadema-ipo-mikononi-kwa-lwakatare-baada-ya-chadema-kumwaga-ugali-lwaka-akiamua-kumwaga-mboga-chadema-kwishney.1729255/

Kiongozi yoyote wa chama chochote au taasisi yoyote anapopata tip yoyote kuhusu uhalifu wowote, anapaswa kuripoti polisi.

Kitendo cha kiongozi yoyote wa chama chochote kupokea taarifa yoyote ya uhalifu wa aina yoyote na kuinyamazia, kiongozi hiyo ni mashirika wa uhalifu!

Kama amepokea taarifa ya mipango ya uhalifu kabla haujatendeka na kuunyamazia bila kuuripoti, kiongozi ni mhalifu aitwae accessories before the fact.

Na kama kiongozi yoyote amepokea taarifa yoyote ya uhalifu wowote ulikwisha tendeka, na akaunyamazia, kiongozi huyu ni mhalifu aitwae accessories after the facts.

Sasa baadhi ya wasiojulikana hawa wameanza kutajana!. Kiongozi mmoja mkubwa wa chama kikubwa cha siasa, juzi kati, aliubuka nakutoa siri ya wasiojulikana wa chama chake.

Kiongozi huyu hadi ametaja tukio, aliyefanyiwa uhalifu na mhalifu alitetenda uhalifu huo, badala ya kiongozi huyo kuripoti polisi, kiongozi huyo ameuzungumza uhalifu huo kwa vyombo vya habari.

Swali moja tuu kwa Jeshi letu makini na adilifu la polisi, linasubiri nini kumhoji asiyejulikana huyu ambaye sasa amejulikana awataje wenzie?!. Tukisema Tanzania tuna jeshi la polisi very hopeless, tutakuwa ni tunaliionea Jeshi la polisi?.

Kama 'asiyejulikana' Huyu, amewataja wasiojulikana wenzake, jee Jeshi letu la polisi, linangoja nini kumhoji asiyejulikana huyu?. Do we really have, such a hopeless Police Force in Tanzania, or ni mimi ndio hopeless in my thinking?.

Paskali
 
Huyo Mzee ni mchumia tumbo tuu. Amepoteza relevance kwa jamii so anakuja na nitoke vipi.

Hata hivyo back to the topic, huyo Mzee anastahili kuburutwa Kituoni na kutoa maelezo yaliyonyooka lakini pia kutoa maelezo kwa nini amekaa kimya siku zote hizo?
 
wasiojulikana ni kundi la ccm ndio lilopo madarakani unazunguka wapi.
ukitaka kujua fanya wewe hayo kama kesho itafika polisi wajakutia kunguvuni.
mengine tunajaza kitabu bila vituo wala nukta
 
Sasa hao polisi si watakuwa wanapoteza tu muda kumhoji mtu ambaye anaonekana yuko confused!

Mtu mzima na akili zake asingeshikiliwa masikio na wanamke, kiasi cha kupoteza kabisa mwelekeo wa maisha.

Mimi naona huyo Mwanasiasa ndiyo hopeless! Na siyo Polisi.
 
Wanabodi,

Naomba kuanza bandiko hili Kwa msisitizo, nimeuliza swali, " Do we have a Hopeless Police Force?. Sijasema "We have a Hopeless Police Force!". Nimeanza na angalizo hilo, maana kule nyuma niliwahi kuuliza "Jee Bunge Letu Linajipendekeza Kwa Serikali?", niliitwa mpaka Dodoma na kuhojiwa na Kamati ya Bunge eti nimetoa statement ya kulikashifu na kulidhalilisha Bunge kwa kusema "Bunge Linajipendekeza Kwa Serikali!", nikawaambia sikutoa statement, bali niliuliza swali,na alama ya kuuliza.

Ni Kwa muda mrefu taifa letu limekuwa linahangaika na kundi la watu wanaitwa "wasiojulikana", wanaofanya vitendo vya utekaji, utesaji, na mauaji, na kuiweka miili kwenye viroba, na kuitupa mtoni, ziwani au baharini, baadhi ya miili iliyofungwa vibaya, huibuka juu ya maji.

Miongoni vya watu waliofanyiwa uhalifu huo ni pamoja na kiongozi wa mgomo wa madaktari, Dr. Ulimboka, Mhariri wa Gazeti la Mtanzania, Absolom Kibanda, Mwandishi wa habari wa Mwananchi, Azory Gwanda, mwna JF maarufu Ben Saanane, na vitendo hivi vilifika peak, Mnadhimu Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni Tundu Lissu aliposhambuliwa kwa kupigwa marisasi mchana kweupe akiwa katika makazi ya Wabunge jijini Dodoma.

Hakuna mtu yoyote aliyewahi kushukiwa, kukamatwa au kuhojiwa kutokana na matukio hayo, wala jeshi letu makini na adilifu la polisi, halikuwahi kutoa taarifa yoyote ya uchunguzi wa matukio hayo.

Hali hiyo ilipelekea huku kwenye mitandao ya kijamii, watu kuanza kunyoosheana vidole, kwa kuwataja baadhi ya watu na baadhi ya Taasisi.

Taasisi ya kwanza kunyooshewa vidole ni Jeshi letu la polisi, lilishutumiwa kwa uzembe wa kushindwa kufanya chochote kuzuia matukio hayo na baada ya matukio kutofanya uchunguzi wowote na kama walifanya uchunguzi kimya kimya hawakutoa taarifa yoyote ya maendeleo ya uchunguzi.

Taasisi ya pili kunyooshewa kidole ni Idara yetu nyeti ya Usalama wa Taifa. Akina sisi tuliozaliwa kwenye familia za wana usalama wa Taifa Kwa Baba na Mama, tunaukumbuka uadilifu wa wazazi hivyo tukashauri.

Ili tusizidi kunyoosheana vidole vya kushikana uchawi kutafutana mchawi, kwanza nijitolea kuwafungua macho watu kuhusu watu "wasiojulikana" na 'wasiojulikana', nikasema "wasiojulikana" waendelee kutafutwa, ipo siku watapatikana na watajulikana, Ila 'wasiojulikana', kamwe hawatajulikana Ila kitu kinachoitwa karma kuwashughulikia.

Kwa vile mimi sio polisi bali tasnia yetu ya habari, ni Mhimili wa Nne, usio rasmi ambao una baadhi ya waandishi wenye uwezo wa kuandika stori za uchunguzi, Investigative Journalism, hivyo tunaweza kusaidia, na mimi ni mmoja wa waandishi wa kundi hili, hivyo tukajitolea kuwapa polisi lead ya pakuanzia.

Kisha tukahamasishana kuisaidia serikali yetu pale inaposhindwa.

Na kweli baada ya muda sii mrefu, karma ilianza Kula vichwa vya baadhi ya walionyooshewa vidole!, Ila hawajaisha.

Kuna baadhi ya vyama vya siasa kutokana na kauli za viongozi wake kuhamasisha vurugu, vilivyooshewa vidole. Video za kupanga utekaji zikanaswa na kupandishwa YouTube. Baadhi ya viongozi wakashikwa na kushitakiwa, Ila DPP akaamua kufuta kesi.

Kwenye hizo tuhuma za vyama vya siasa kutishia amani, hatukunyamaza tulionya.

Na tukawaelimisha the consequences ya vitendo vya uhalifu wa vyama vyao.

Kiongozi yoyote wa chama chochote au taasisi yoyote anapopata tip yoyote kuhusu uhalifu wowote, anapaswa kuripoti polisi.

Kitendo cha kiongozi yoyote wa chama chochote kupokea taarifa yoyote ya uhalifu wa aina yoyote na kuinyamazia, kiongozi hiyo ni mashirika wa uhalifu!

Kama amepokea taarifa ya mipango ya uhalifu kabla haujatendeka na kuunyamazia bila kuuripoti, kiongozi ni mhalifu aitwae accessories before the fact.

Na kama kiongozi yoyote amepokea taarifa yoyote ya uhalifu wowote ulikwisha tendeka, na akaunyamazia, kiongozi huyu ni mhalifu aitwae accessories after the facts.

Sasa baadhi ya wasiojulikana hawa wameanza kutajana!. Kiongozi mmoja mkubwa wa chama kikubwa cha siasa, juzi kati, aliubuka nakutoa siri ya wasiojulikana wa chama chake.

Kiongozi huyu hadi ametaja tukio, aliyefanyiwa uhalifu na mhalifu alitetenda uhalifu huo, badala ya kiongozi huyo kuripoti polisi, kiongozi huyo ameuzungumza uhalifu huo kwa vyombo vya habari.

Swali moja tuu kwa Jeshi letu makini na adilifu la polisi, linasubiri nini kumhoji asiyejulikana huyu ambaye sasa amejulikana awataje wenzie?!. Tukisema Tanzania tuna jeshi la polisi very hopeless, tutakuwa ni tunaliionea Jeshi la polisi?.

Kama 'asiyejulikana' Huyu, amewataja wasiojulikana wenzake, jee Jeshi letu la polisi, linangoja nini kumhoji asiyejulikana huyu?. Do we really have, such a hopeless Police Force in Tanzania, or ni mimi ndio hopeless in my thinking?.

Paskali
Pascali, Pascali, Pascali...nimekutaja mara ngapi? Unataka huyo padri muasi afe kwa presha?

Hata polisi wanajua huyo jamaa bado anaishi kwenye era za mwendazake, ambazo kushambulia upinzani na hasa kuitusi au kuisingizia chadema na hasa mbowe, ilikuwa ticket ya uteuzi....ndiyo sababu wamempuuza

Inasemekana mwanaume asipopata sex kwa muda mrefu akili huwa inarukaruka. Huyo mwanasiasa atafutiwe demu tu. Hutasikia uropokaji wake. Maana inasemekana yule demu wake aliyemuiba kwa mume wa ndoa naye ameibiwa.

Pia Kumbuka ana laana nne kubwa ambazo hazitakaa zimuache:
1- Kukimbia madhabahu
2-kutelekeza watoto
3-kuiba mke wa mtu
4-usaliti kwa chama kilichomlea
 
Back
Top Bottom