Karma Sio Mchezo!, Hatimaye 'Wasiojulikana' Hawa!, Waanza Kutajana!. Asiyejulikana Mmoja Awataja Wenzake!. Do We Have, a Hopeless Police Force?

Karma Sio Mchezo!, Hatimaye 'Wasiojulikana' Hawa!, Waanza Kutajana!. Asiyejulikana Mmoja Awataja Wenzake!. Do We Have, a Hopeless Police Force?

No ya Azory Gwanda sikusikia,ila landcruiser nyeupe ya mkonga ni za wale jamaa zetu wa mikoani,walifuata ufunguo wa nyumba shambani kwa mkewe akawapa, wakaenda nae kufanya search nyumbani kwake,wakaondoka nae kimoja!。

Unaweza kuta by now, karma iliisha washughulikia wahusika wakuu wote!。
P
Ile sheria ya tiss 2023....kazi tunayo !! Kisasina mtu wa tiss ..unatekwa gang lao na uvccm wanakusingizia unampinga malkia mitandaoni na wanakuua kukutupa ....hakuna kesi wala kuulizwa...tuko pabaya sanaaa
 
Task Force iliundwa imetoa report kwa Govt acha nicheke.....!! Baso sawa ......au basiiii
baada ya kifo cha Mzee Kibao,Maza alikasirika kweli,akataka uchunguzi, wachunguzi wakamdanganya!。
P
 
Daaaaa task force wamekula hela ya bureee....walikuwa obey pale siku 14 .....bure kabisaaa....kweli wamemdanganya......na kumtisha...
Wanamdanganya mama kirahisi kwasababu wanaijua intellect yake, kitu ambacho wasinge fanya kwa chuma angewabalasa!。
P
 
Back
Top Bottom