Lambardi
Platinum Member
- Feb 7, 2008
- 18,813
- 21,830
Ile sheria ya tiss 2023....kazi tunayo !! Kisasina mtu wa tiss ..unatekwa gang lao na uvccm wanakusingizia unampinga malkia mitandaoni na wanakuua kukutupa ....hakuna kesi wala kuulizwa...tuko pabaya sanaaaNo ya Azory Gwanda sikusikia,ila landcruiser nyeupe ya mkonga ni za wale jamaa zetu wa mikoani,walifuata ufunguo wa nyumba shambani kwa mkewe akawapa, wakaenda nae kufanya search nyumbani kwake,wakaondoka nae kimoja!。
Unaweza kuta by now, karma iliisha washughulikia wahusika wakuu wote!。
P