Karma Sio Mchezo!, Hatimaye 'Wasiojulikana' Hawa!, Waanza Kutajana!. Asiyejulikana Mmoja Awataja Wenzake!. Do We Have, a Hopeless Police Force?

Trying so hard to 'twist' the truth, wasiojulikana wanajulikana.
Ukijiuliza kwa nini polisi huwa hawafanyi uchunguzi baadhi ya matukio serious utapata jibu, njia simple nyingine toa ushauri wa international investigators(credible organizations kama MI6 ya Scotland Yard) au FBI uone watu watakavyotoa visingizio ili hilo lisiwezekane. The guilty are always afraid.
Kitu kingine very straightforward ni kuwa CCTV cameras huwa zina records kwenye servers, lile tukio la Lissu nani anazuia records za footage za tukio zima zisitumike kubaini waliomshambulia? Nani alisababisha security guards na polisi wasiwepo eneo la tukio siku ya shambulizi? Kama kweli nia ya si kuupindisha ukweli mbona vitu vya wazi kabisa kama hivyo haujaviweka kwenye post yako? Unajaribu kulinda mtu/watu?
 
Tuboteshe sifa za kujiunga na jeshi la polisi.
Jeshi la polisi liwe na watu wenye sifa at least kama Idara ya Usalama wa Taifa.
Hapa namaanisha ngazi ya elimu.
Jeshi lisiwe la watu waliofaulu kidogo.
Liwe la watu kama Taasisi zingine za umma.
Kwanini vyombo vyetu vya dola waajiri vilaza ?(with exception of TISS).
 
Police wa Tanzania hawana uwezo wa kuchunguza chochote.

Na huyo Mzee alifika bei kipindi Cha dikteta.

Sasa anahitaji pa kitokea TU. Ni mpumbafu Hana lolote
 
Juzi ulikuja na kauli Polisi hawawezi kufanyia kazi taarifa ambazo hazijaripotiwa kwao ukatoa na mifano wewe Mwanasheria kwamba polisi wakikuta mlango wako umevunjwa hawawezi kufanya chochote mpaka ukaripoti, na wakikuta mwanamke anapigwa hawawezi kufanya kitu mpaka mwanamke akashitaki? Umepigwa za uso umekuja kivingine? Anayekuelewa wewe alishakufa.
 
Una uhakika na ulichokiandika hapa, kwa hiyo hata Mama Samiah atakuwa anawafahamu maana kila kilichokuwa kinatendeka na Magufuli huyu pia alikuwa akifahamu 🤔🤔
 
29 April 2022
Bunge la Bajeti
Dodoma, Tanzania

MBUNGE AIBUA HOJA KUWA TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA TANZANIA NI TUME-MFU, IMEGOMA KUFUATILIA MATUKIO YA UVUNJIFU WA HAKI ZA BINADAMU?


mbunge atoa mifano hai jinsi chombo hiki kilivyotelekezwa na serikali kikibaki ombaomba kusubiri fedha za wafadhili wa nje ili kiweze kufanya majukumu yake muhimu ya kuhakikisha haki za binaadamu na utawala bora nchini mwetu unafuatiliwa.

Raia wanatekwa na kuachiliwa mfano Mo Dewji, Roma Mkatoliki kwa kuwataja kwa uchache, Tundu Lissu kushambuliwa pia mauaji kule Mtwara na Tanga lakini hatujasikia Tume ikikemee wahusika wasiojulikana au kuzitaka na kuzisaidia taasisi na idara husika au maofisa kutoa taarifa nini wamefanya kuwafahamu watu wasiojulikana na pia kusaidia mfumo wa Jinai Haki (Criminal Justice System) kuweza kuwezeshwa kifedha, rasilimaliwatu na utashi haki itendeke.

Mbunge anasema kwa hali ilivyo ni kuwa Tume hiyo inafufuka tu wakati wa kusomwa bajeti ya wizara mama ya Katiba na Sheria lakini baada ya hapo inarudi kusinzia bila kufanya majukumu yake muhimu ya kuhakikisha haki za binadamu na utawala bora nchi unaimarishwa kwa vitendo, kwa kukemea, kuelimisha na kufuatilia kisha kutoa majibu kwa uwazi kwa umma wa waTanzania ili imani irudi kuwa haki za binadamu na utawala bora upo nchini.
 
25 April 2022

TANZANIA KUPIMWA , HIVYO TUME YA UMOJA WA MATAIFA (UN) HAKI ZA BINADAMU YATUA TANZANIA
View attachment 2201304
Kamisheni ya Haki za Binaadamu ya UN yatua nchini; hiki ndio wanachofanya kufuatilia ahadi ilizotoa Tanzania, pia serikali yabanwa na UN kuwa iwe wazi waTanzania wafahamu serikali yao iliridhia nini ktk masuala 252 iliyosaini na kuikubali kwa niaba ya wananchi


Timu ya umoja wa mataifa ainayoshughulikia Haki za Binaadamu na utawala bora imekuja nchini kujadiliana na Tume ya Haki za Binaadamu na utawala bora juu ya masuala mbalimbali yanayohusu haki za binaadamu ikiwemo haki za binaadamu katika wananchi kufahamishwa ni mikataba gani inayohusu haki za binadamu iliyoridhiwa na serikali ya Tanzania iliyoridhia huko Geneva Uswisi Ofisi za Kamishina wa UN wa Haki za Binadamu kama anavyotueleza Katibu Mtendaji wa Tume ya Haki za Binaadamu na Utawala bora Nchini Tanzania Human Rights Council Adopts Outcomes of Universal Periodic Review of Saint Vincent and the Grenadines, Papua New Guinea, Tajikistan and Tanzania


TOKA MAKTABA :

Mikataba 252 ambayo Tanzania iliridhiani inayogusa haki za binadamu ni kama ifuatayo


23 March 2022
Geneva, Switzerland

The Human Rights Council in a midday meeting adopted the Universal Periodic Review outcomes of Tanzania

Consideration of Outcome of Universal Periodic Review of Tanzania

Presentation by Tanzania


GEORGE B. SIMBACHAWENE, Minister of Constitutional and Legal Affairs of Tanzania, said Tanzania was a strong proponent of the Universal Periodic Review mechanism which brought together State actors, civil society and development partners. As the Government pursued the goal of realisation of human rights for all Tanzanians, the recommendations were given the highest consideration. All 252 recommendations were disseminated to State and non-State actors, including the National Human Rights Institution as well as civil society, in both mainland Tanzania and Zanzibar. As a result of broad-based consultations, Tanzania had accepted to implement 167 recommendations, which were in compliance with the Constitution of the United Republic of Tanzania and the Constitution of Zanzibar.

The recommendations aligned with policies, laws and programmes which called for the promotion and protection of civil, political, economic, social and cultural rights, emerging human rights issues, anti-corruption efforts, environmental conservation and development priorities of Tanzania. The Government affirmed its commitment to implementing all the accepted recommendations, which had been deemed strategic and effective interventions for the promotion and protection of human rights. 65 recommendations had been noted; those were recommendations that were not in alignment with the Constitutions, policies, laws, traditions, beliefs and culture of Tanzania, or which required further consultations before making a conclusive decision. The Government strived to ensure that all Tanzanians were provided with equal civil, political, economic, social and cultural human rights.

Discussion

Speakers applauded the Government of Tanzania for progress made in strengthening its institutional frameworks for the promotion and protection of rights and fundamental freedoms. Strides had been made in the area of social development, including the introduction of fee-free primary education and remote learning during the COVID-19 pandemic. Speakers further commended Tanzania on the establishment of the National Commission for Human Rights, which was in accordance with the Paris Principles. Speakers noted steps taken to curb child labour, as well as the measures taken by the Government toward ensuring freedom of expression and the right to information, which included entering into dialogue with media practitioners and amending some pieces of legislation. Tanzania’s acceptance of close to 75 percent of the recommendations showed real commitment to further promoting and protect the rights of all persons on its territory. The acceptance of recommendations prioritised expenditures in health including specialised care and services for people living with albinism, as well as scaling up investment in education.

Other speakers took note of the challenges faced by Tanzania in implementing some of its human rights obligations under Article 12(3) of the African Charter which recognized the right to seek and obtain asylum in other countries, as well as the 1951 Convention relating to the Status of Refugees. Speakers regretted that Tanzania did not receive any recommendations on the rights of sex workers, urging the Government to repeal the Penal Code provisions criminalising acts associated with sex work, place a moratorium on the arrest and harassment of sex workers under vagrancy laws, and revise and harmonise national legislation in line with regional and international human rights instruments. Tanzanian authorities continued to weaponise the law to target the opposition and critical voices, using non-bailable offence provisions under the Criminal Procedure Act to detain people for unreasonable periods of time. The State should ensure accountability for election-related human rights violations and guarantee post-election human rights reforms to reverse the Government’s increasing repression and crackdown on civic space.

The Vice-President of the Council informed that out of 252 recommendations received, 167 enjoyed the support of Tanzania, while 65 had been noted. Additional clarification was provided on 20 recommendations, indicating which parts of the recommendations were supported and which parts were noted

Concluding Remarks

GEORGE B. SIMBACHAWENE, Minister of Constitutional and Legal Affairs of Tanzania, said Tanzania continued to accord great significance to the Universal Periodic Review, as it played a key role in the promotion and protection of human rights in the country. Tanzania was committed to implementing the accepted recommendations, as they would have a direct impact on the realisation of human rights and sustainable development of the country. The Universal Periodic Review was a continuous process, and the Government would continue to address the remaining challenges through dialogue, in collaboration with all stakeholders. It would also continue to strengthen its internal mechanisms and promote engagement with all non-State actors and development partners. The Government, under the stewardship of Tanzania’s first female President, would meet the aspirations and objectives of the Universal Periodic Review mechanism during the coming fourth cycle.



Link: Conseil des droits de l’homme : Examen périodique de Saint-Vincent-et-les-Grenadines, de la Papouasie-Nouvelle-Guinée, du Tadjikistan et de la Tanzanie | ONU GENEVE
 
Katika miongo zaidi ya miwili kukaa na waamerika sijawahi kuwa na shaka juu ya uwezo wao kwenye nyanja mbalimbali.

Wakikuambia hakuna kuingia humu ujue wewe ni "threat " kweli kweli sijawahi kuwa na shaka kuhusu hili tangu 9/11

Nachoshukuru waliojaribu "kutanguliza" walitangulia wao hahaha.

Adíos.
 
Wew ni Sukuma gang hukupata teuzi bado unajikomba komba tuu. Mbona Aliyekuwa mwenyekiti UVCCM Khery James mpwa wa Magufuli alitamka hadharani kuwa tulimkosa kosa kumuua Tundu Lissu kwa Risasi safari hii hatuta mkosa tutatumia sumu. Kwa nini hukuja hapa jukwaani kuanzisha mada kuwa Sasa wasio julikana wameanza kujulikana?

Wew mzee ni mzandiki shetani ana nafuu na ni sehemu ya mateso ya Watanzania kwa unyoka wako. Mikono yako ina harufu ya damu na machozi ya Watanzania.
Mbona hutuelezi ujambazi wa Sabaya na Makonda? Mpaka Sabaya anahukumiwa?
Una roho mbaya sana wewe na mzee,unatamani kupata utajiri kupitia damu za wenzako.
Halafu umezeeka vibaya sana.
 
🙄
 
Paschal Mayalla:

Uwafundishe viongozi kazi? Na hao viongozi watoe agizo kwa viongozi husika? Kiongozi huyo huyo ainyooshee kidole Taasisi kwa kutoa maagizo yafanyiwe kazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…