Karma Sio Mchezo!, Hatimaye 'Wasiojulikana' Hawa!, Waanza Kutajana!. Asiyejulikana Mmoja Awataja Wenzake!. Do We Have, a Hopeless Police Force?

Kuwa mwizi hakukufanyi kuwa mjanja zaidi ya wale unaowaibia, kuna wezi wengi sana sana mitaani huiba kuku wa watu, simu na hata nguo zilizoanikwa kwenye kamba(Uswazi) lakini wizi wao hauwafanyi kuwa werevu zaidi ya wale wanaowaibia.

Na rest my case.Kama unalinganisha wizi wa kuku
na wizi advanced kwenye Data Base unaofanywa na hao unawaita "wajinga" kama mnavyodai.Huku kila mwenye akili timamu akijua wazi chama kisichokuwa na glassroot base hakiwezi kushinda uchaguzi Tanzania.Chama kilicho na wafuasi mijini kitaendelea kulalamika kuibiwa kura ili kujiridhisha.
Mimi naamini kuibiwa kura ni kuji comfort tu na kunapingana na kauli ya Mwenyekiti wenu hivi karibuni aliposema na nakuu"tumeshindwa 2020 kwa kuweka wagombea wasiokubalika"Mwisho wa kunukuu.
 
Eti leo na wewe una ujasiri wa kulaani hivi vitendo. Yaani Wabongo kwa undumilakuwili hamjambo. Mnabadilika kulingana na rangi ya mazingira!!
 
Safi sana Paskali kw auandishi wako mahili. Kwa kupitia Kauli ya Dr Slaa iundwe Tume maalum ya majaji wastafu na tume za haki za kibinadamu wachunguze matukio yoote hayo ukweli ujulikane🤣🤣🤣🤣
 
Tatz pia tunawatukuza sana hao wanaojiita wasiojulikana, mm naona hao wanajulikana lkn tunawaficha TU
 
Saf San paskal, lakini hoja hii ya kusema wasiojulikana ni logic ya kuwafanya wasijulikane, Hawa watu wanatambukika kabsa mana matukio yanajieleza vzr TU
 
PUMBA TUPU
 
Jasiri haachi Asili...
Naona pamekushinda huko upande wa pili.....
Haya karibu tena.....
 
Kwa kweli alitakiwa kuwa amehojiwa muda mrefu sana yaani siku ile tu alivyosema kwamba kuna tukio la kuteka lilitokea. Tena akaenda mbali zaidi na kusema kwamba aliwatuhumu Polisi lakini baadaye akaja kuambiwa kuwa kikundi chake (alikuwa mtendaji mkuu wa Taasisi yenye kikundi) ndicho kilifanya tukio la utekaje na kujeruhi. Lakini pia akaongelea juu ya watu kupatikana kwenye viroba. Huyu ni key witness, ahojiwe hataka huenda ana mengi moyoni!!
 
Wasiojulikana lilikuwa genge la wasukuma makatili wakiwa na baraka zote za marehemu mwehu. Sukumagang msitupotoshe
 

Humo kwenye vyama kuna mabedui yamejificha nyuma ya mgongo wa demokrasia.

Na ndio hawa walikuwa wanaichafua serikali iliyoongozwa na Dr Magufuli ili aonekane dikteta.

Na si ajabu deep state ndio imejichimbia pale.
Vyama vipi?
 
Hadithi nzuri iliyojengwa kutokana na matamshi ya mtu ambaye kiwango chake cha kutoaminika na usaliti kinalinganishwa na shetani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…