Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Mkuu Mpwayungu Village sema neno kwa chama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umeongea ukweli lakini hao viongozi wanatoka kwenye familia zetu. Familia zenye maadili zitajenga taifa zenye maadili.Tatizo linaanza na kiongozi wa juu, utakuwaje wewe mzalendo huku boss wako siyo mzalendo? ukionekana mwadilifu utaundiwa zengwe hata kufukuzwa kazi, taasisi za umma zimejaa TISS wanakazi gani kama wanashindwa kuzuia ufisadi? PM 2021 alikuta jamaa(Wizara ya fedha) wamepiga Extra duty 2B kwenye Mei mosi, akaaunda tume mpk leo umepewa mrejesho? kuna Afisa anaweza kutoa pesa nyingi hivyo bila KM na Waziri kujua? chain ya wizi inaanzia juu kushuka chini.
Tunatakiwa kujenga mifumo imara, kipindi cha Magu watu wengi walianza kuogopa kuiba maana walikuwa wanapigwa uhujumu uchumi, toka amekufa nani amekamatwa kwa uhujumu uchumi? Leo hii ninaweza kumuona DC anafanya vitendo vya hovyo na sina la kumfanya mpk Rais apende, TAKUKURU ipo ajii ya kukimbizana na VEOs na WEOs. Serikalini kuna wizi mkubwa sn report ya CAG hata robo ya wizi huwa haitaji huwa inawataja tu ambao wamegoma kutoa rushwa, nilifanya kazi ya kujitolea halmshauri Idara ya mipango watu wa CAG ni wala rushwa kupita kiasi.Mkuu umeongea ukweli lakini hao viongozi wanatoka kwenye familia zetu. Familia zenye maadili zitajenga familia zenye maadili.
Kwenye CCM elimu ni sifa ya ziada. Wenye elimu wamewahi kufeli vibaya sana walipokabidhiwa hatamu za kichama. Wajinga CCM wana matokeo makubwa sana ya kazi za chama kuliko werevu. Elimu siyo sifa ya msingi CCM tangu waasisi wake. Kukuthibitishia, wafuatao wamesoma vyuo vikuu vipi duniani hapa? Kama iko tanbihi yao tupe.CWT ni laana!!
Walimu wapo darasani wana Masters kiongozi wao mkuu kama Katibu mkuu ni form four grade 3A?
Tena anateuliwa kuwa mkuu wa Wilaya akaringa!!
Kuna wabunge standard 7CWT ni laana!!
Walimu wapo darasani wana Masters kiongozi wao mkuu kama Katibu mkuu ni form four grade 3A?
Tena anateuliwa kuwa mkuu wa Wilaya akaringa!!
Mshahara wa mwalimu wa certificate unagotea daraja E hio million mbili umetoa wap??Mwalimu Mwandamizi Daraja la A ni daraja IA na siyo 3A kama huyu mrusha post anavyowadanganya kwa sababu ya umbumbumbu amwake wa kuelewa. Mwalimu Mwandamizi maana yake ni Senior Teacher na mshara wake wa Mwalimu mwandamizi daraja la IA unaanzia 2, 800,000 plus. Kwa hiyo mpuuzeni huyu mtoa post kwani yeye alipoona mwamimu mwandamizi IA akakurupuka haraka akidhani ni 3A ambao ni mshahara anaoanza na mtumishi awe nwalimu au siyo mwalimu.
Duh, kunguni machoni tena😂Ni kweli hakujiendeleza au wameamua kumsiginia kunguni machoni tu?