Karolina leavit Tumeongeza ushuru kwa uchina kutoka 125% hadi 145%

Khanji kapoor

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2024
Posts
3,861
Reaction score
9,909
Yule dada mrembo press wa white house karolina leavit.amesema ushuru kwa vita zinazotoka uchina zitaongezeka kwa 20% kutoka 125% na kufikia 145% kwa sasa lkn sio mwisho.

Tunataka turudishe ajira nyumban wamefaidika na sisi kwa muda mrefu hawataweza tena

Naye Trump's akiongea na baraza la mawaziri amewaambia tutapitia kipindi kigumu kidogo wakat tunarekebisha mambo lazima tukubali hili

Aliendelea hatutaki bidhaa za bei ya chini kuendelea kutawala soko letu kutoka china wamekuwa watu wabaya Sana kwetu

Haya wakuu ikumbukwe uchina alijikaza mpaka alipofika 84% akanyuti ghafla

Tuuone wezi wa teknolijia wataendelea kubana msuli au watachutama

Credit Fox
 
Eti wezi wa technology km rahisi kuiba technology mbona nyinyi mnashindwa kuiba hyo technology hzo tarrif anazoweka usa hata hazitomsaidia kurudisha viwanda ndani ya usa ndio kwanza iphone wanataka kuhama china wahamie india
Tanzania iibe technology ya wapi? Watawala wa CCM hawana mda huo. Labda kama kuiba kura
 
Eti wezi wa technology km rahisi kuiba technology mbona nyinyi mnashindwa kuiba hyo technology hzo tarrif anazoweka usa hata hazitomsaidia kurudisha viwanda ndani ya usa ndio kwanza iphone wanataka kuhama china wahamie india
Ukweli mchungu , zipo tutorial videos nyingi youtube ila watu anashindwa ..Wachina wamejaaliwa kwa kweli.
 
Watoto wa kichina wanafundishwa kwa vitendo wakiwa shule
Watajifunza mambo mengi sana kwa vitendo.

Tatizo letu sisi hata viwanja vya michezo vimeuzwa.

Nchi ambazo zimegoma kujiendeleza na sisi tumo.

Ukiwaweka vijana wa vyuo vikuu kwenye general knowledge tu, nina uhakika wengi watafeli kwa mambo ya kawaida sana

Hatuna faida na dunia hii bora hata mchwa
 
Yule dada mrembo press wa white house karolina leavit.amesema ushuru kwa vita zinazotoka uchina zitaongezeka kwa 20% kutoka 125% na kufikia 145% kwa sasa lkn sio mwisho.

Tunataka turudishe ajira nyumban wamefaidika na sisi kwa muda mrefu hawataweza tena

Naye Trump's akiongea na baraza la mawaziri amewaambia tutapitia kipindi kigumu kidogo wakat tunarekebisha mambo lazima tukubali hili

Aliendelea hatutaki bidhaa za bei ya chini kuendelea kutawala soko letu kutoka china wamekuwa watu wabaya Sana kwetu

Haya wakuu ikumbukwe uchina alijikaza mpaka alipofika 84% akanyuti ghafla

Tuuone wezi wa teknolijia wataendelea kubana msuli au watachutama

Credit Fox
Nyie India nani anawaibia teknolojia yenu ?
 
Hizo ajira haziwezi kurudi

Na zikirudi hizo ajira Trump atawekwa kwenye kundi la kina George Washington, Abraham Lincoln, FDR, Thomas Jefferson, Benjamin Franklin...

Hafikirii mambo kwa mkumbo mkumbo. Kuna mambo anajiuliza toka kijana.

Kwa nini nchi haina ajira wakati vichwa na research na magunduzi ya kutengeneza hayo mavifaa yanatoka kwenu ?????

China wamezoea kunyea Waafrka wenye mende vichwani. Sasa pambaneni na hilo zungu lenye uchungu na uthubitu na nchi yake.
 
Viwanda haviwezi kurudi hata yeye mwenyewe ana fahamu kuhusu hilo.
 
Viliondoka kwa saab ilikuwa ni cheaper kuvitengenezea China, India, Philipines, etc etc

Sasa ni gharama mara mbili kuvitengenezea nje. Kwa nini visirudi ndani?
gharama za uzalishaji China,India na Marekani zinawiana ?
 
Watoto wa kichina wanafundishwa kwa vitendo wakiwa shule
Watajifunza mambo mengi sana kwa vitendo.

Tatizo letu sisi hata viwanja vya michezo vimeuzwa.

Nchi ambazo zimegoma kujiendeleza na sisi tumo.

Ukiwaweka vijana wa vyuo vikuu kwenye general knowledge tu, nina uhakika wengi watafeli kwa mambo ya kawaida sana

Hatuna faida na dunia hii bora hata mchwa
[emoji23][emoji23]
 
Eti wezi wa technology km rahisi kuiba technology mbona nyinyi mnashindwa kuiba hyo technology hzo tarrif anazoweka usa hata hazitomsaidia kurudisha viwanda ndani ya usa ndio kwanza iphone wanataka kuhama china wahamie india
Viongozi wa serikali yako ya CCM hawana akili ya maendeleo, wana akili za (WAGOGO) kuomba msaada.
 
gharama za uzalishaji China,India na Marekani zinawiana ?

Gharama za ushuru wa kuingiza zinazidi gharama za kuzalishia Marekani

Na zamani wakati Trump ana grow up aliviona hivyo viwanda. Ilikuwa inawezekanaje ?

Cheaper alternatives zilipatikana nje, vikaondoka. Sasa nje kuna ushuru, sio cheaper tena. Kwa nini visirudi ?
 
Unaelewa unavyo viandika ?
 
Hivi kati ya China yenye watu 1.4 b.
Na Marekani yenye watu 340 m.
Ni soko gani hasa la kuvutia wazalishaji?
Soko lolote linategemea watu.
Nadhani China ijikite zaidi barani Afrika yenye watu 1.5 b na ijipanue zaidi kwenye bara lake lenye watu 4.9 b kuepukana na masoko yenye utata kama Marekani.
 
Kuna bidhaa hazihitaji wingi wa watu bali uwezo wa watu wa kununua.

Mfano, uzalishaji mali wa Afrika yote kwa mwaka 2024 ulikuwa around $2.8T -3.4T wakati USA pekee alizalisha $29.7T .

Pia inakadiriwa kwa mwaka huo 2024 China ilipata around $580B kwa kufanya biashara na USA huku USA akipata $140B akifanya biashara na China kwa mwaka.

China alifanya biashara na Afrika yenye wakazi zaidi ya 1+B isiyofika $300B

Kwa uchache unaona soko bora liko USA kidogo na Ulaya kuliko maeneo mengine
 
Na zikirudi hizo ajira Trump atawekwa kwenye kundi la kina George Washington, Abraham Lincoln, FDR, Thomas Jefferson, Benjamin Franklin...

Hafikirii mambo kwa mkumbo mkumbo. Kuna mambo anajiuliza toka kijana.

Kwa nini nchi haina ajira wakati vichwa na research na magunduzi ya kutengeneza hayo mavifaa yanatoka kwenu ?????

China wamezoea kunyea Waafrka wenye mende vichwani. Sasa pambaneni na hilo zungu lenye uchungu na uthubitu na nchi yake.
Teknolojia ya uzalishaji viwandani inakwenda kwenye full automation level; hizo mambo za ajira ni stori.
Lengo ni kumshisha Mchina, na hiyo mbinu Mchina anaijua vizuri (kwa kuwa ndiyo iliyomkuza).
Kuhamisha kiwanda si lelemama - hizo harakati zilianza kitambo - Bado hazijaonyesha mwanga.
US (labda kadiri ya hesabu zake) alikosea kitendo cha kuiachia mwanya China kuwa na brand zake - mpaka zinatamba, kama Huawei, n.k
 
Back
Top Bottom