Khanji kapoor
JF-Expert Member
- Oct 19, 2024
- 3,861
- 9,909
Tanzania iibe technology ya wapi? Watawala wa CCM hawana mda huo. Labda kama kuiba kuraEti wezi wa technology km rahisi kuiba technology mbona nyinyi mnashindwa kuiba hyo technology hzo tarrif anazoweka usa hata hazitomsaidia kurudisha viwanda ndani ya usa ndio kwanza iphone wanataka kuhama china wahamie india
Ukweli mchungu , zipo tutorial videos nyingi youtube ila watu anashindwa ..Wachina wamejaaliwa kwa kweli.Eti wezi wa technology km rahisi kuiba technology mbona nyinyi mnashindwa kuiba hyo technology hzo tarrif anazoweka usa hata hazitomsaidia kurudisha viwanda ndani ya usa ndio kwanza iphone wanataka kuhama china wahamie india
Hizo ajira haziwezi kurudiTunataka turudishe ajira nyumban wamefaidika na sisi kwa muda mrefu hawataweza tena
Nyie India nani anawaibia teknolojia yenu ?Yule dada mrembo press wa white house karolina leavit.amesema ushuru kwa vita zinazotoka uchina zitaongezeka kwa 20% kutoka 125% na kufikia 145% kwa sasa lkn sio mwisho.
Tunataka turudishe ajira nyumban wamefaidika na sisi kwa muda mrefu hawataweza tena
Naye Trump's akiongea na baraza la mawaziri amewaambia tutapitia kipindi kigumu kidogo wakat tunarekebisha mambo lazima tukubali hili
Aliendelea hatutaki bidhaa za bei ya chini kuendelea kutawala soko letu kutoka china wamekuwa watu wabaya Sana kwetu
Haya wakuu ikumbukwe uchina alijikaza mpaka alipofika 84% akanyuti ghafla
Tuuone wezi wa teknolijia wataendelea kubana msuli au watachutama
Credit Fox
Hizo ajira haziwezi kurudi
Viwanda haviwezi kurudi hata yeye mwenyewe ana fahamu kuhusu hilo.Na zikirudi hizo ajira Trump atawekwa kwenye kundi la kina George Washington, Abraham Lincoln, FDR, Thomas Jefferson, Benjamin Franklin...
Hafikirii mambo kwa mkumbo mkumbo. Kuna mambo anajiuliza toka kijana.
Kwa nini nchi haina ajira wakati vichwa na research na magunduzi ya kutengeneza hayo mavifaa yanatoka kwenu ?????
China wamezoea kunyea Waafrka wenye mende vichwani. Sasa pambaneni na hilo zungu lenye uchungu na uthubitu na nchi yake.
Viliondoka kwa saab ilikuwa ni cheaper kuvitengenezea China, India, Philipines, etc etcViwanda haviwezi kurudi hata yeye mwenyewe ana fahamu kuhusu hilo.
gharama za uzalishaji China,India na Marekani zinawiana ?Viliondoka kwa saab ilikuwa ni cheaper kuvitengenezea China, India, Philipines, etc etc
Sasa ni gharama mara mbili kuvitengenezea nje. Kwa nini visirudi ndani?
[emoji23][emoji23]Watoto wa kichina wanafundishwa kwa vitendo wakiwa shule
Watajifunza mambo mengi sana kwa vitendo.
Tatizo letu sisi hata viwanja vya michezo vimeuzwa.
Nchi ambazo zimegoma kujiendeleza na sisi tumo.
Ukiwaweka vijana wa vyuo vikuu kwenye general knowledge tu, nina uhakika wengi watafeli kwa mambo ya kawaida sana
Hatuna faida na dunia hii bora hata mchwa
Viongozi wa serikali yako ya CCM hawana akili ya maendeleo, wana akili za (WAGOGO) kuomba msaada.Eti wezi wa technology km rahisi kuiba technology mbona nyinyi mnashindwa kuiba hyo technology hzo tarrif anazoweka usa hata hazitomsaidia kurudisha viwanda ndani ya usa ndio kwanza iphone wanataka kuhama china wahamie india
gharama za uzalishaji China,India na Marekani zinawiana ?
Unaelewa unavyo viandika ?Gharama za ushuru wa kuingiza zinazidi gharama za kuzalishia Marekani
Na zamani wakati Trump ana grow up aliviona hivyo viwanda. Ilikuwa inawezekanaje ?
Cheaper alternatives zilipatikana nje, vikaondoka. Sasa nje kuna ushuru, sio cheaper tena. Kwa nini visirudi ?
Tuone apple 17 itauzwaje mwak huu kama sio million 7gharama za uzalishaji China,India na Marekani zinawiana ?
Kuna bidhaa hazihitaji wingi wa watu bali uwezo wa watu wa kununua.Hivi kati ya China yenye watu 1.4 b.
Na Marekani yenye watu 340 m.
Ni soko gani hasa la kuvutia wazalishaji?
Soko lolote linategemea watu.
Nadhani China ijikite zaidi barani Afrika yenye watu 1.5 b na ijipanue zaidi kwenye bara lake lenye watu 4.9 b kuepukana na masoko yenye utata kama Marekani.
Teknolojia ya uzalishaji viwandani inakwenda kwenye full automation level; hizo mambo za ajira ni stori.Na zikirudi hizo ajira Trump atawekwa kwenye kundi la kina George Washington, Abraham Lincoln, FDR, Thomas Jefferson, Benjamin Franklin...
Hafikirii mambo kwa mkumbo mkumbo. Kuna mambo anajiuliza toka kijana.
Kwa nini nchi haina ajira wakati vichwa na research na magunduzi ya kutengeneza hayo mavifaa yanatoka kwenu ?????
China wamezoea kunyea Waafrka wenye mende vichwani. Sasa pambaneni na hilo zungu lenye uchungu na uthubitu na nchi yake.