nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,946
- 2,932
Kundi la jiwe mmepoteana Sasa mmeanza kutetea weziMwenye uhakika kuwa Bashiru kachukua pesa aende mahakamani , Raisi kasema hazina ichunguzwe , tusubiri majibu ...kama atakuwa anatuhuma it is Okey awajibishwe , kama hajachukua basi hekima ya Raisi itende vyema ....kumtuhumu mtu bila Ushahidi ni ujuha mwingine
Zamu yenu ya kulia imefikasiasa za fitna hazinaga maisha marefu.
Mwambieni Karugendo tumefile hii twiter yake, baadaye tutamuuliza alipata wapi ujasiri wa kuandika hizi pumbaView attachment 1736895
Naungana na Karugendo kukemea siasa za kundi la 'mama '.
Tusirudi kwenye siasa za kuchafuana mwisho wa siku tutagawana chama. Kama unaunda timu yako unda hii ni serikali yako usiwachafue watu kwa kuwa unawaona threat kwa siasa zenu za kishkaji na kuganga njaa.
Watu wapo clean na awana haja ya kufanya kazi na 'incompetent'.
Mwisho wa siku iwe isiwe kazi itaendelea. Muda ndio utazungumza.
BoT apewe Prof Assad,atatusaidia sana pale,ccm mchwa ni wengi.
Mama ana nia njema sana
Nmekumbuka siasa za maji taka miaka hiyoNaiona vita ya umakamu ikichukua next step full kuchafuana...
Bashiru hawezi kuwa fisadi na kamwe hatowahi kuwa hivyo....watu wenye staili na mbinu za kuchafua wenzao wanajulikana toka 2005....
They are back with a full force...
Mhaya mwenzakeView attachment 1736895
Naungana na Karugendo kukemea siasa za kundi la 'mama '.
Tusirudi kwenye siasa za kuchafuana mwisho wa siku tutagawana chama. Kama unaunda timu yako unda hii ni serikali yako usiwachafue watu kwa kuwa unawaona threat kwa siasa zenu za kishkaji na kuganga njaa.
Watu wapo clean na awana haja ya kufanya kazi na 'incompetent'.
Mwisho wa siku iwe isiwe kazi itaendelea. Muda ndio utazungumza.
Naunga hoja ila ninatofautiana na wanaodai kuwa hiyo ni hoja ya mama.View attachment 1736895
Naungana na Karugendo kukemea siasa za kundi la 'mama '.
Tusirudi kwenye siasa za kuchafuana mwisho wa siku tutagawana chama. Kama unaunda timu yako unda hii ni serikali yako usiwachafue watu kwa kuwa unawaona threat kwa siasa zenu za kishkaji na kuganga njaa.
Watu wapo clean na awana haja ya kufanya kazi na 'incompetent'.
Mwisho wa siku iwe isiwe kazi itaendelea. Muda ndio utazungumza.
Wewe unacheza ngoma usiyoijua, moyo wa mtu ni msitu mnene kubadirika ni sekunde.Naiona vita ya umakamu ikichukua next step full kuchafuana...
Bashiru hawezi kuwa fisadi na kamwe hatowahi kuwa hivyo....watu wenye staili na mbinu za kuchafua wenzao wanajulikana toka 2005....
They are back with a full force...
Ni mtu mmoja asiye na maadili kabisa. Aliapa kwamba ataishi Maisha ya upadri lakini ndani ya kiapo aliwala kondoo. Karugendo sio mtu wa kumuamini hata kwa Senti tano.
Mwenye uhakika kuwa Bashiru kachukua pesa aende mahakamani , Raisi kasema hazina ichunguzwe , tusubiri majibu ...kama atakuwa anatuhuma it is Okey awajibishwe , kama hajachukua basi hekima ya Raisi itende vyema ....kumtuhumu mtu bila Ushahidi ni ujuha mwingine
Yes.. Hilo la dini ndiyo kubwaNafasi ya Gavana BOT nayo tayari inawinda safari hii tumpe mzenji mwenzetu ama niwa dini yetu.
Kama yuko safi au chafu CAG na Takukuru watasema na Rais atatendaHuyo kagurunyendo atulie vyombo vya uchunguzi vitatoa majibu soon.
Kawaida hata Katibu Mkuu wa Hazina ni vigumu kutoa fedha Benki Kuu bila ridhaa ya Gavana na ndiyo maana ya Benki Kuu kuwa huru
BoT apewe Prof Assad,atatusaidia sana pale,ccm mchwa ni wengi.
Mama ana nia njema sana