Karugendo aonya: Acheni kumchafua Bashiru

Karugendo aonya: Acheni kumchafua Bashiru

Mwenye uhakika kuwa Bashiru kachukua pesa aende mahakamani , Raisi kasema hazina ichunguzwe , tusubiri majibu ...kama atakuwa anatuhuma it is Okey awajibishwe , kama hajachukua basi hekima ya Raisi itende vyema ....kumtuhumu mtu bila Ushahidi ni ujuha mwingine
Kundi la jiwe mmepoteana Sasa mmeanza kutetea wezi
 
View attachment 1736895

Naungana na Karugendo kukemea siasa za kundi la 'mama '.

Tusirudi kwenye siasa za kuchafuana mwisho wa siku tutagawana chama. Kama unaunda timu yako unda hii ni serikali yako usiwachafue watu kwa kuwa unawaona threat kwa siasa zenu za kishkaji na kuganga njaa.

Watu wapo clean na awana haja ya kufanya kazi na 'incompetent'.

Mwisho wa siku iwe isiwe kazi itaendelea. Muda ndio utazungumza.
Mwambieni Karugendo tumefile hii twiter yake, baadaye tutamuuliza alipata wapi ujasiri wa kuandika hizi pumba
 
Bila kujali matokeo ya uchanguzi wa BOT Bashiru hastahili kuwa KMK; uteuzi wake ni mfano hai wa matumizi mabaya ya ofisi. Isitoshe, Bashiru analo doa la kusimamia ununuzi wa wanasiasa wa vyama vya upinzani.
 
BoT apewe Prof Assad,atatusaidia sana pale,ccm mchwa ni wengi.

Mama ana nia njema sana

Huyu aliyejitoa akili akihojiwa na Radio uno. Akawa outsmarted na Supika kwenye hujuma zake uchwara kwa JPM. Endeleni kumvuruga Mama ili mbune mlichopanda.
 
Naiona vita ya umakamu ikichukua next step full kuchafuana...
Bashiru hawezi kuwa fisadi na kamwe hatowahi kuwa hivyo....watu wenye staili na mbinu za kuchafua wenzao wanajulikana toka 2005....
They are back with a full force...
Nmekumbuka siasa za maji taka miaka hiyo
 
Karugendo ndio alishirikiana na Methodius Kilaini kuiba hela za Escrow akapewa 27m akampa Bashiru 13m leo atakaataje uchafu wa Bashiru?
 
Majizi kwa kuteteana hayajambo! Basihiru ni Mnyarwanda huyo.
 
Ss ukiulizwa nani kamchafua achukuliwe hatua utamtaja nani?
 
View attachment 1736895

Naungana na Karugendo kukemea siasa za kundi la 'mama '.

Tusirudi kwenye siasa za kuchafuana mwisho wa siku tutagawana chama. Kama unaunda timu yako unda hii ni serikali yako usiwachafue watu kwa kuwa unawaona threat kwa siasa zenu za kishkaji na kuganga njaa.

Watu wapo clean na awana haja ya kufanya kazi na 'incompetent'.

Mwisho wa siku iwe isiwe kazi itaendelea. Muda ndio utazungumza.
Mhaya mwenzake
 
Naunga hoja ila ninatofautiana na wanaodai kuwa hiyo ni hoja ya mama.
 
Naiona vita ya umakamu ikichukua next step full kuchafuana...
Bashiru hawezi kuwa fisadi na kamwe hatowahi kuwa hivyo....watu wenye staili na mbinu za kuchafua wenzao wanajulikana toka 2005....
They are back with a full force...
Wewe unacheza ngoma usiyoijua, moyo wa mtu ni msitu mnene kubadirika ni sekunde.
 
Kwan Huyu Karugendo ndio nani

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Ni mtu mmoja asiye na maadili kabisa. Aliapa kwamba ataishi Maisha ya upadri lakini ndani ya kiapo aliwala kondoo. Karugendo sio mtu wa kumuamini hata kwa Senti tano.
Bashiru hata mumtetee vipi Hana nafasi Tena kule juu.
Huyu ni Kati ya watu walioshiriki wazi wazi kuibia wapinzani Kura na kuleta maumivu ndani ya mioyo ya watanzania wengi.
Eti hawezi kuachia Dola. Shit, Dola imemtema Kama "shit"
 
Mwenye uhakika kuwa Bashiru kachukua pesa aende mahakamani , Raisi kasema hazina ichunguzwe , tusubiri majibu ...kama atakuwa anatuhuma it is Okey awajibishwe , kama hajachukua basi hekima ya Raisi itende vyema ....kumtuhumu mtu bila Ushahidi ni ujuha mwingine

Wewe kwa akili yako; watu wazima wanaweza kuja na tuhuma kuwa Katibu Mkuu kiongozi amehusishwa na wizi wa fedha bila kuwa na Ushahidi? Fedha zimetolewa BOT na yeye akiwa signatory; tunachohitaji kama Wananchi ni kuambiwa hayo mabilioni yaliyochotwa kwa saini yake baada ya Magufuli kufaliki yalikwenda kumtibu nani kama sio wizi?
 
Mama ameagiza ukaguzi ufanywe upya kuanzia Jan mpaka March mwaka huu,sasa kelele na vidole vyanini? Tulieni akina Karugendo msubili matokeo,ninyi ndo mnaanza kuanzisha taharuki nakugawa chama wala si mama. Acheni mamlaka zifanye kazi
 
Kawaida hata Katibu Mkuu wa Hazina ni vigumu kutoa fedha Benki Kuu bila ridhaa ya Gavana na ndiyo maana ya Benki Kuu kuwa huru

You must be dreaming; aliyekwambia Benki Mkuu ya Tanzania ina Uhuru nani? It is just independent on paper; Jiwe alikuwa anamuamulisha Gavana Luoga kutoa fedha na fedha inatoka bila hata waziri wa fedha kujua!!! Waliokuwa wanatoa fedha BOT ni Katibu Mkuu wa hazina na Rais mwenyewe!!! Sasa baada ya tarehe 10/3/2021, Bashiru akajifanya Rais na kushirikiana na Dotto wakakwapua!!!
 
BoT apewe Prof Assad,atatusaidia sana pale,ccm mchwa ni wengi.

Mama ana nia njema sana

Umesahau ufisadi alioufanya NSSF na mwenzie Ramadhani Dau? Akae huko huko afundishe chuo kikuu cha waislam Morogoro!!
 
Back
Top Bottom