Karugendo aonya: Acheni kumchafua Bashiru

Mbona anaongea 'kinganga njaa' kama waganga njaa wengine
 
Mhaya anamtetea mhaya mwenzake..

Tayari hapa kuna ukabila, Karugendo afunge domo lake kashindwa kanisa kaanza kula waumini, kaoa, sasa kaanza siasa, siasa yenyewe hafai, hajui.. Akae kimya.

Kwani vyombo vya uchunguzi si vipo, wasiwasi wa nini?
 
Kama yeye Karugendo anashirikiana na wezi na mafisadi ni kwa upande wake yeye, sisi asituambie huo upuuzi
Kama una ushahidi wa huo wizi jitokeze hadhalani uupeleke mahakamani wacha kujificha na kuchafua watu.
 
🖐🖐
 
Bashiru amehudumu kwenye ofisi hiyo kwa siku ngapi?
Kipindi cha Meko kulikuwa hakuna utaratibu wowote ule kwa taarifa yako. Simu ya Meko,Dotto au Bashiri alikuwa inatosha kutoa Trillions of money.
 
Kuna wimbi la kutaka kumchafua Katibu Mkuu Kiongozi Dr. Bashiru.

Kimsingi hakuna ushahidi wa moja kwa moja kuhusika kwa Dr.Bashiru na wizi wowote uliofanyika kama upo kweli.

Nakuomba sana Mh. Rais usikurupuke kuchukua maamuzi yeyote kwa Chief Secretary bila kufanya uchunguzi wa kina maana naona propaganda zinaanza tena nchi hii.
 
Tuwe na subira. Mama anasubiri ripoti ya CAG ya kuanzia January hadi March 2021...

Tuweni na subira, tuache viherehere kama wastaafu
 
Kama alishindwa kuishi matamshi yake,tumuamini kwa lipi labda? hana msimamo yuko cheap sana!!
 
Kwahiyo unataka kutuambia mwizi ni nani? Au na wewe umeamua tu kujitoa akili kama ulivyo?
 
Mm kwa kweli wanasiasa kuwaamini hua siwaamini sana niko 50/50.Inawezekana kweli kapiga ama anachafulia.Mleta mada pia acha achunguzwe sio na ww unakuja kumsafisha huku hujui chochote ..au ww ndo bashiru mwenyewe,[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kama amekutuma kumtetea mwambie apambane na hali yake
 
Kuhusu wa bandari umesikia au bado kama aliweza kusimamia mitambo haramu ya uchaguzi atashindwaje kuiba hela
 
Mm kwa kweli wanasiasa kuwaamini hua siwaamini sana niko 50/50.Inawezekana kweli kapiga ama anachafulia.Mleta mada pia acha achunguzwe sio na ww unakuja kumsafisha huku hujui chochote ..au ww ndo bashiru mwenyewe,[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bahati nzuri Bashiru mwenyewe hajawahi kukanusha
 
Rais anajua taratibu na atafanya kadri ya ukweli wa mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…