Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama una ushahidi wa huo wizi jitokeze hadhalani uupeleke mahakamani wacha kujificha na kuchafua watu.Kama yeye Karugendo anashirikiana na wezi na mafisadi ni kwa upande wake yeye, sisi asituambie huo upuuzi
🖐🖐Mwenye uhakika kuwa Bashiru kachukua pesa aende mahakamani, Rais kasema hazina ichunguzwe, tusubiri majibu... kama atakuwa ana tuhuma it is Okey awajibishwe, kama hajachukua basi hekima ya Rais itende vyema ....kumtuhumu mtu bila Ushahidi ni ujuha mwingine
Kipindi cha Meko kulikuwa hakuna utaratibu wowote ule kwa taarifa yako. Simu ya Meko,Dotto au Bashiri alikuwa inatosha kutoa Trillions of money.
Eeee wastaafu muache vihere hereTuwe na subira. Mama anasubiri ripoti ya CAG ya kuanzia January hadi March 2021...
Tuweni na subira, tuache viherehere kama wastaafu
Kama alishindwa kuishi matamshi yake,tumuamini kwa lipi labda? hana msimamo yuko cheap sana!!Kuna wimbi la kutaka kumchafua Katibu Mkuu Kiongozi Dr.Bashiru likiongozwa na mtu anayejiita Kigogo 2014 huko tweeter.
Kimsingi hakuna ushahidi wa moja kwa moja kuhusika kwa Dr.Bashiru na wizi wowote uliofanyika kama upo kweli. Nakuomba sana Mh.Rais usikurupuke kuchukua maamuzi yeyote kwa Chief Secretary bila kufanya uchunguzi wa kina.maana naona propaganda zinaanza tena nchi hii.
Kwahiyo unataka kutuambia mwizi ni nani? Au na wewe umeamua tu kujitoa akili kama ulivyo?Kuna wimbi la kutaka kumchafua Katibu Mkuu Kiongozi Dr. Bashiru likiongozwa na mtu anayejiita Kigogo 2014 huko tweeter.
Kimsingi hakuna ushahidi wa moja kwa moja kuhusika kwa Dr.Bashiru na wizi wowote uliofanyika kama upo kweli. Nakuomba sana Mh. Rais usikurupuke kuchukua maamuzi yeyote kwa Chief Secretary bila kufanya uchunguzi wa kina maana naona propaganda zinaanza tena nchi hii.
Anaogopa mawe kule anakuja kujaza server ya jfNenda kule Twitter kamjibu kigogo usikimbilie huku JF
Kama amekutuma kumtetea mwambie apambane na hali yakeKuna wimbi la kutaka kumchafua Katibu Mkuu Kiongozi Dr. Bashiru.
Kimsingi hakuna ushahidi wa moja kwa moja kuhusika kwa Dr.Bashiru na wizi wowote uliofanyika kama upo kweli. Nakuomba sana Mh. Rais usikurupuke kuchukua maamuzi yeyote kwa Chief Secretary bila kufanya uchunguzi wa kina maana naona propaganda zinaanza tena nchi hii.
Yaani asitusumbueAnaogopa mawe kule anakuja kujaza server ya jf
Bahati nzuri Bashiru mwenyewe hajawahi kukanushaMm kwa kweli wanasiasa kuwaamini hua siwaamini sana niko 50/50.Inawezekana kweli kapiga ama anachafulia.Mleta mada pia acha achunguzwe sio na ww unakuja kumsafisha huku hujui chochote ..au ww ndo bashiru mwenyewe,[emoji1787][emoji1787][emoji1787]