Karugendo aonya: Acheni kumchafua Bashiru

Karugendo aonya: Acheni kumchafua Bashiru

Mdogo Mdogo tutafika. Mafao mafao yetu...mifuko ya jamii imefilisika
 
Hizo stories zinabuniwa na upinzani kupitia outlets zao kama kigogo nk. Lengo ni kuongesha Magufuli hafai, kwa hiyo by extension legacy yake haifai na wengi walioonekana watiifu kwake wanachafuliwa.

Lakini haitadumu sababu huwezi tenganisha legacy ya Magufuli na uhai wa CCM, na huwezi ukawaconvince watz kwa idadi kubwa kwamba Magufuli alifanya madudu mengi kama project yao ilivyolenga.

Kitakachotokea Mama atajibainisha bila woga kwamba anafuata misingi ya Magufuli, na hapo wapinzani watahamishia hasira zao na mikakati kwa mama.
📌📌📌📌📌
 
Manung'uniko ya Watanzania kama ni ya kweli uwa yanaleta athari, tujitahidi kuepuka kuwatetea wanaowaumiza watu wengi ili tuweze kuishi salama na kwa amani.
 
View attachment 1736895

Naungana na Karugendo kukemea siasa za kundi la 'mama '.

Tusirudi kwenye siasa za kuchafuana mwisho wa siku tutagawana chama. Kama unaunda timu yako unda, hii ni serikali yako usiwachafue watu kwa kuwa unawaona threat kwa siasa zenu za kishkaji na kuganga njaa.

Watu wapo clean na hawana haja ya kufanya kazi na 'incompetent'.

Mwisho wa siku iwe isiwe kazi itaendelea. Muda ndio utazungumza.
Ukiwatetea wachafu HUTOBOI kamwe. Wapi Padri Karugendo?
 
Huyu alifukuzwa upadri baada ya kula waumini.

Bashiru waa kipindi ya JK ni tofauti na wa kipindi cha meko.
Karugendo apige kimya
Takukuru wakipeleka report ya bOt ajue kabis Bashiru anaenda lock up
Ripoto ya CAG imeshatoka!
Sasa atapekekwa 'lock up' ipi na kwa tuhuma zipi!?
 
Back
Top Bottom