King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Acha tu hawa jamaa wameumiza sana watu na fedha za NSSF/PSSSF.Usinikumbushe machungu.
Yani usinikumbushe machungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha tu hawa jamaa wameumiza sana watu na fedha za NSSF/PSSSF.Usinikumbushe machungu.
Yani usinikumbushe machungu
Ninazo huko zaidi ya m60 PSSSFAcha tu hawa jamaa wameumiza sana watu na fedha za NSSF/PSSSF.
📌📌📌📌📌Hizo stories zinabuniwa na upinzani kupitia outlets zao kama kigogo nk. Lengo ni kuongesha Magufuli hafai, kwa hiyo by extension legacy yake haifai na wengi walioonekana watiifu kwake wanachafuliwa.
Lakini haitadumu sababu huwezi tenganisha legacy ya Magufuli na uhai wa CCM, na huwezi ukawaconvince watz kwa idadi kubwa kwamba Magufuli alifanya madudu mengi kama project yao ilivyolenga.
Kitakachotokea Mama atajibainisha bila woga kwamba anafuata misingi ya Magufuli, na hapo wapinzani watahamishia hasira zao na mikakati kwa mama.
Matumbo nyamaza unanuka mavi.Chama kipo salama shida ni miluzi imekuwa mingi mpaka anaepaswa kuunganisha watu anachagua upande.
MmhNani mwizi? Kaiba nini?
Ukiwatetea wachafu HUTOBOI kamwe. Wapi Padri Karugendo?View attachment 1736895
Naungana na Karugendo kukemea siasa za kundi la 'mama '.
Tusirudi kwenye siasa za kuchafuana mwisho wa siku tutagawana chama. Kama unaunda timu yako unda, hii ni serikali yako usiwachafue watu kwa kuwa unawaona threat kwa siasa zenu za kishkaji na kuganga njaa.
Watu wapo clean na hawana haja ya kufanya kazi na 'incompetent'.
Mwisho wa siku iwe isiwe kazi itaendelea. Muda ndio utazungumza.
Hujaiona riport mkuu. Jaffar ameshatoa summary yake .Kwa nini ripoti ya CAG kuhusu BOT haitoki tumalize ubishi?
Hatujaiona ripoti, naona wewe umeiona tunaomba tuwekee hapa tuisome!!!!!!Hujaiona riport mkuu. Jaffar ameshatoa summary yake .
Ripoto ya CAG imeshatoka!Huyu alifukuzwa upadri baada ya kula waumini.
Bashiru waa kipindi ya JK ni tofauti na wa kipindi cha meko.
Karugendo apige kimya
Takukuru wakipeleka report ya bOt ajue kabis Bashiru anaenda lock up
PSSSF?Ninazo huko zaidi ya m60 PSSSF
na 16 NSSF
Niache brother.
Hawa watu watuelewe tu vile we feel nothing kwa maumivu yao.
Yani umenitonesha kidonda.