Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Manyimbo,
Labda nikuulize, jee unajua chochote kuhusu kitu kinachoitwa Kuchafuka kwa hali ya hewa ya kisiasa Zanzibar?!.
Aboud Jumbe ndie rais aliyempokea Karume baada ya kuuwawa, nini kilimtokea?!. alifanya nini?!, na akafanywa nini?!.
Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, enzi hizo ilikuwa ni Wolfgang Dourado!, find out, aliandaa document gani, kuhusu muungano ambayo Jumbe alikuwa aipeleke UN, jee document hiyo ilikuwa na nini, na huyo Dourado nini kilimkuta?!.
Find out wakati wa mchafuko huo, Waziri Kiongozi wa SMZ alikuwa nani na alifanya nini?!.
Pasco
Wanabodi,
Wakati sintofahamu kuhusu Hati Halisi za Muungano, ikiendelea, nawaomba Watanzania wenzangu tufike mahali tuambiane ukweli halisi kuwa Hati Halisi za Muungano", hazipo popote!, nakala iliyowasilishwa kwenye Bunge Maalum la Katiba, yenye saini ya Nyerere na Pius Msekwa!, ile sio hati ya muungano (Articles of The Union" bali ile ni Sheria ya Muungano!, "The Act Of Union!" iliyotungwa na Bunge la Tanganyika, ku ratify the "Artcles of Union", ambayo imesainiwa na Nyerere, Speker wa Bunge na Msekwa kama Katibu wa Bunge wa Wakati Huo!.
Msekwa was never a signatory kwenye Artcles of The Union!".
Signatories kwenye "Artcles of The Union" ni
Hati Hizi hazipo Idara ya Nyaraka na kumbukumbu za Taifa Nimezungumza na Mtanzania wa Kwanza kuwa mkuu wa Idara ya Kumbukumbu, Mzee Mongela, hakuwahi kuziona hati hizo wala hata copy yake!.
- Mwalimu Julius Nyerere-Rais wa Jamhuri ya Tanganyika
- Sheikh Abedi Amani Karume- Rais wa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar
- Mwanasheria Mkuu wa Tanganyika -Fifthfoot
- Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar (Wolfgang Dourado-Alipewa likizo ya lazima nje ya nchi, Akaletwa mwanasheria wa Ghana kuusimamia muungano, ukasainiwa na Mwanasheria Mkuu wa Tanganyika pekee!)
Nikazungumza na Mkurugenzi wa Nyaraka aliyepita Bwana Mlyansi, pia amekiri kutoziona hati hizi!. Nikazungumza na Mkurugenzi wa Nyaraka aliyeko sasa Bw. Magai!, hati hizo hazipo!.
Ule uongo wa kuwa eti hati ziko UN, nimewahi kuzifuatilia mpaka huko UN hati hizo hazipo!.
Kipindi hiki cha Bunge Maalum sasa ndicho kipindi muafaka tuelezane ukweli bayana kuwa hati hizo are no where to be seen!, tuelezwe vizuri tuu kuwa kwa bahati mbaya zililiwa na mchwa hivyo zimetoweka zote kwa pamoja!.
Hili suala la hati halisi za Muungano nimelizungumza
- Nakala halisi ya Serikali ya Tanganyika, imetoweka!
- Nakala halisi ya SMZ, imetoweka!
- Nakala halisi ya Bunge la Tanganyika-imetoweka!
- Nakala halisi ya BLW nayo imetoweka!
- Nakala halisi ya Mwanasheria Mkuu -imetoweka!.
- Nakala halisi ya Nyerere-imetoweka
- Nakala halisi ya Karume -imetoweka!
Hapa-Swali: Hivi Muungano Tanzania Upo Kweli?! au ni Dhana Tuu?!
Na Hapa-Jee Wajua Kuwa Tanzania Hatuna Mkataba wa Muungano?. Kilichopo ni Makubaliano Tuu?!.
Na Hapa-Je, wajua kuwa Zanzibar haikuridhia Muungano? Ina Maana Gani?!.
Na Hapa-Jee Wajua Kuwa Kuna Uwezekano Tanzania Sii Nchi Halali Kisheria?!.
Kwa kuanzia jee Nakala Halisi za Muungano ziko wapi?.
Pasco
Its a waste of time and resource, I think, to doubt the regitimacy of the Union 50 years of its existance.
Footages are awash showing abeid karume and julius nyerere signing the articles of the union before cameras, and was followed by the formation of the union government.
the best option now is to focus on the ways to improve the state of the union to fit current needs and expectations of the new generation. so Trivial allegations that it was not 'ratified' is both time-barred and un-fruitfull to both parties.
in conclution...the most dangerous enemy of our time are the greeedy and selfish politicians, whose motives are to divide and confuse people to create avenues for self-enrichment! They are of all colours and are found everywhere....BEWARE
Wanabodi,Wanabodi,
Wakati sintofahamu kuhusu Hati Halisi za Muungano, ikiendelea, nawaomba Watanzania wenzangu tufike mahali tuambiane ukweli halisi kuwa Hati Halisi za Muungano", hazipo popote!, nakala iliyowasilishwa kwenye Bunge Maalum la Katiba, yenye saini ya Nyerere na Pius Msekwa!, ile sio hati ya muungano (Articles of The Union" bali ile ni Sheria ya Muungano!, "The Act Of Union!" iliyotungwa na Bunge la Tanganyika, ku ratify the "Artcles of Union", ambayo imesainiwa na Nyerere, Speker wa Bunge na Msekwa kama Katibu wa Bunge wa Wakati Huo!.
Pasco
Mkuu Mazindu Msambule , Pasco ni Pasco na Lissu ni LissuKwa maandishi haya nina hakika Pasco ndio Tundu Artipas Lissu, mbunge wa Singida na mwana sheria wa CHADEMA, kuanzia sasa nitakua nazisoma makala zako kwa ukaribu sana kuliko nilivyokua nikifanya huko nyuma.