Kasalitiwa baada mke wake kusafiri

Kasalitiwa baada mke wake kusafiri

Saad30

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2020
Posts
2,737
Reaction score
5,464
Habari wakuu.

Iko hivi Kuna mchizi wangu yeye Ni msafiri wa nje ya Nchi kwajili ya hustle zake.Safari yake yeye Ni Italy Tu alianza kusafiri 2009 huyu jamaa.Miaka ikasogea akapa mchumba 2018 Na wakafunga ndoa.

Mwaka huo WA 2018 aliondoka akamuacha mke wake Na ujauzito akarudi 2020 kutoka Italy kaukuta mke wake Na mtoto wao wa Kwanza WA kiume.Jamaa akafanya mambo yake Na mke wake akasepa 2021 huku akimucha mke wake Na mimba nyingine ya pili kidume kingine kikaja.

Sasa Bana jamaa akamvuta mke wake 2023 huko Italy mji wa Roma wakakaa Kwa muda kama mwezi hivi jamaa ikabidi apekuwe simu ya mke wake asee alikuta mke wake amechati Na mwanaume mwingine Na ikaonekana kabisa Ni meseji Za mapenzi.Basi jamaa ikabidi amuulize mke wake Na akakili ni Kweli alikuwa anachati nae Kwa Tamaa ya pesa Tu lakini hajawahi kulala nae.

Hivi wamerudi juzi kusuruhisha hayo matatizo na wamekaa familia Za Pande mbili Za Mume Na mke wayamalize na Kweli wameyamaliza wamesamehana.

Lakini mchizi ameniambia "Ndugu yangu Saad Mimi naumia kila nikikumbuka zile meseji alafu kumuacha huyu mwanamke naona uzito sababu watoto wangu bado ni wadogo na huyu mwanamke nilikuwa namwamini Sana Wala sikuwahi kufikiria kama atakuja kunisaliti yaani kaniharibia Maisha yangu yote kaka"

Mimi nimemwambia atulize Wenge Kwanza asichukuwe maamuzi ya haraka kumuacha mke wake sababu inaonekana jamaa bado anapenda mke wake Sana.

Leteni ushauri ili nizidi kumshauri huyu jamaa naona anaweza akadata mana wanaume tunasumbuliwa na Afya ya akili Sana hasa tukisalitiwa na wanawake tulio wapenda.

Xi Jinping Natafuta Ajira Half american min -me KENZY DR HAYA LAND
 
Asimuache ...mbona Sisi hatuwaachi tunakomaa na nyie
Sisi wanaume tu hivi,tukienda kugonga nje lazima turudi nyumbani Kwa heshima zote na hata kama ukijua kama nimegonga nje nitakuomba msamaha wa dhati sio kwamba sitaendela Kula nje nitaendelea kama kawaida lakini nitakuja Na mbinu kubwa ili usijue na hiyo hunogesha upendo Sana.

Mchepuko akizingua Tu unajua huna cha kupoteza kwake unarudi Kwa mke Kwa furaha zote.Na kitu ambacho hukijui Sisi hata mchepuko wakituuzi vipi hatuwezi kukasirika zaidi ya kuwachukulia mchepuko kama Malaya Tu.

Nyinyi mnapo saliti mnakuwa mnatuumiza Sana sababu Sisi ndio hutafuta pesa Sana ili nyinyi mfurahi kwahiyo mkifanya hivyo tunaona mmefanya kosa kubwa na dharau iliyovuka mipaka.
 
Habari wakuu.

Iko hivi Kuna mchizi wangu yeye Ni msafiri wa nje ya Nchi kwajili ya hustle zake.Safari yake yeye Ni Italy Tu alianza kusafiri 2009 huyu jamaa.Miaka ikasogea akapa mchumba 2018 Na wakafunga ndoa.

Mwaka huo WA 2018 aliondoka akamuacha mke wake Na ujauzito akarudi 2020 kutoka Italy kaukuta mke wake Na mtoto wao wa Kwanza WA kiume.Jamaa akafanya mambo yake Na mke wake akasepa 2021 huku akimucha mke wake Na mimba nyingine ya pili kidume kingine kikaja.

Sasa Bana jamaa akamvuta mke wake 2023 huko Italy mji wa Roma wakakaa Kwa muda kama mwezi hivi jamaa ikabidi apekuwe simu ya mke wake asee alikuta mke wake amechati Na mwanaume mwingine Na ikaonekana kabisa Ni meseji Za mapenzi.Basi jamaa ikabidi amuulize mke wake Na akakili ni Kweli alikuwa anachati nae Kwa Tamaa ya pesa Tu lakini hajawahi kulala nae.

Hivi wamerudi juzi kusuruhisha hayo matatizo na wamekaa familia Za Pande mbili Za Mume Na mke wayamalize na Kweli wameyamaliza wamesamehana.

Lakini mchizi ameniambia "Ndugu yangu Saad Mimi naumia kila nikikumbuka zile meseji alafu kumuacha huyu mwanamke naona uzito sababu watoto wangu bado ni wadogo na huyu mwanamke nilikuwa namwamini Sana Wala sikuwahi kufikiria kama atakuja kunisaliti yaani kaniharibia Maisha yangu yote kaka"

Mimi nimemwambia atulize Wenge Kwanza asichukuwe maamuzi ya haraka kumuacha mke wake sababu inaonekana jamaa bado anapenda mke wake Sana.

Leteni ushauri ili nizidi kumshauri huyu jamaa naona anaweza akadata mana wanaume tunasumbuliwa na Afya ya akili Sana hasa tukisalitiwa na wanawake tulio wapenda.

Xi Jinping Natafuta Ajira Half american min -me KENZY DR HAYA LAND
Kitu kinawamaliza vijana wengi ni hiyo kauli
"Watoto wangu Bado wadogo"

Huu ujinga sishauri ufanyike ili kuhalalisha ushenzi ndoani
 
Njia bora au nzuri ya kumshauri MTU Kama huyo mwambie afanye philosophy (Falsafa)

Mfano
Endapo nikiendelea na huyu mwanamke , ataathiri Afya yangu ya akili na akili yangu ikiathirika nitapoteza ufanisi kazini na ufanisi kazini ukipotea naweza kuatarisha usalama wa kazi yangu, mahausiano and everything.

Endapo nikimsamehe -watoto wataendelea kupata malezi ya baba na mama , familia itaimarika na Mimi sitokuwa na hatia yoyote guilty.

Na endapo nisipo msamehe -itabidi tuachane , watoto hawatolelewa baba na mama n.k

So hapo mwambie aaangalie faida za yeye kusamehe na mwambie aangalie na faida za yeye kuachana then aangalie na hasara pia na huku aangalie na future ya watoto wake.

Ni vizuri ukamchambulia mambo Kama hayo ili yeye mwenyewe afanye maamuzi na sio we we kumfanyia maamuzi.

Yaani unamuondolea mabano katika mambo yanayomsibu then yeye anafanya maamuzi .

"Watu hubadilika na watu hawatabiriki do what can make you happy "
 
Back
Top Bottom