Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uko wapi we dada..?????Mnachopaswa kujua na sisi ni binadamu vishawishi vipo, mbona nyie mnachepuka sana tu huku mkisingizia nature,hamuwezi kudumu na mtu 1, na sisi ni watu tuna mioyo kuteleza kupo. Siyo vizuri ndiyo ila kusamehemana kupo
Ndio mana mnafanya kama malipizoMnachopaswa kujua na sisi ni binadamu vishawishi vipo, mbona nyie mnachepuka sana tu huku mkisingizia nature,hamuwezi kudumu na mtu 1, na sisi ni watu tuna mioyo kuteleza kupo. Siyo vizuri ndiyo ila kusamehemana kupo
Nipoo umepotea sana au umeoa?uko wapi we dada..?????
sijaoa nipo single wewe je umeolewa..?Nipoo umepotea sana au umeoa?
Huko ni kujifariji tu huyo mwamba aliyemla mke wa jamaa ni mume mwenzaHakuna Mabwana wawili ila kuna wake wenza hata 1000
Pole sana mkuu.. Japo umetumia lugha wanayotumiaga wengi kwamba unamwombea ushauri jamaa yako😄 ila wenye D mbili washa elewa.Habari wakuu.
Iko hivi Kuna mchizi wangu yeye Ni msafiri wa nje ya Nchi kwajili ya hustle zake.Safari yake yeye Ni Italy Tu alianza kusafiri 2009 huyu jamaa.Miaka ikasogea akapa mchumba 2018 Na wakafunga ndoa.
Mwaka huo WA 2018 aliondoka akamuacha mke wake Na ujauzito akarudi 2020 kutoka Italy kaukuta mke wake Na mtoto wao wa Kwanza WA kiume.Jamaa akafanya mambo yake Na mke wake akasepa 2021 huku akimucha mke wake Na mimba nyingine ya pili kidume kingine kikaja.
Sasa Bana jamaa akamvuta mke wake 2023 huko Italy mji wa Roma wakakaa Kwa muda kama mwezi hivi jamaa ikabidi apekuwe simu ya mke wake asee alikuta mke wake amechati Na mwanaume mwingine Na ikaonekana kabisa Ni meseji Za mapenzi.Basi jamaa ikabidi amuulize mke wake Na akakili ni Kweli alikuwa anachati nae Kwa Tamaa ya pesa Tu lakini hajawahi kulala nae.
Hivi wamerudi juzi kusuruhisha hayo matatizo na wamekaa familia Za Pande mbili Za Mume Na mke wayamalize na Kweli wameyamaliza wamesamehana.
Lakini mchizi ameniambia "Ndugu yangu Saad Mimi naumia kila nikikumbuka zile meseji alafu kumuacha huyu mwanamke naona uzito sababu watoto wangu bado ni wadogo na huyu mwanamke nilikuwa namwamini Sana Wala sikuwahi kufikiria kama atakuja kunisaliti yaani kaniharibia Maisha yangu yote kaka"
Mimi nimemwambia atulize Wenge Kwanza asichukuwe maamuzi ya haraka kumuacha mke wake sababu inaonekana jamaa bado anapenda mke wake Sana.
Leteni ushauri ili nizidi kumshauri huyu jamaa naona anaweza akadata mana wanaume tunasumbuliwa na Afya ya akili Sana hasa tukisalitiwa na wanawake tulio wapenda.
Xi Jinping Natafuta Ajira Half american min -me KENZY DR HAYA LAND
Mapenzi ni kitu kidogo sana lakini mnayakuza tuHabari wakuu.

Hee nna wajukuu mkuusijaoa nipo single wewe je umeolewa..?
No siyo malipizo, ila kuteleza inatokea mkuuNdio mana mnafanya kama malipizo