KASARANI, KENYA: Yaliyojiri Sherehe za kuapishwa Rais mteule, Uhuru Kenyatta na William Ruto

KASARANI, KENYA: Yaliyojiri Sherehe za kuapishwa Rais mteule, Uhuru Kenyatta na William Ruto

Tayari asha Dodge! Huyu mzee sijui ana nini yaan
 
Kama ambavyo wengi wetu mnavyofuatilia sherehe za kuapishwa kwa rais Uhuru.

kuna kitu cha kutia moyo kinaendelea kwa Mc mkuu wa shughuli nzima kumtajataja mara kwa mara Mh Lowasa, kuwa anatambua uwepo wake huku camera nyingi zikielekezwa kwa mh Lowasa mara kwa mara kuliko mgeni yeyote yule je hii inaleta picha gani katika medani za siasa.......

Ndo maana magu hakwenda, alilijua hili!
 
Wana East Africa mnaruhusiwa kumiliki mali bila kikazwo chochote Kenya. Karibuni Kenya bila passport ,kitambulisho tu kinaruhusu kusafiri Kenya.
 
Basi msijazane huku... Usione ni fursa hio ya kuja Kenya wakati we all know what your people are doing in Kenyan streets.
 
Kwakweli Kiburi hakijengi.... Kiburi cha Magufuli kitatucost!! Kagame ni dictator lakini hana Kiburi that's why Rwanda inapaa!!

Kenya ni creative na hawana Kiburi sababu wanatafuta na hii itawasaidia sana!!

Wacha sisi tule jeuri ya Magu
 
Kama ambavyo wengi wetu mnavyofuatilia sherehe za kuapishwa kwa rais Uhuru.

kuna kitu cha kutia moyo kinaendelea kwa Mc mkuu wa shughuli nzima kumtajataja mara kwa mara Mh Lowasa, kuwa anatambua uwepo wake huku camera nyingi zikielekezwa kwa mh Lowasa mara kwa mara kuliko mgeni yeyote yule je hii inaleta picha gani katika medani za siasa.......
wasingemtaja uwepo wake ingeleta picha gani!
 
Siku Magu akienda Kenya atapokelewa kama mfalme. Ana sababu ya msingi ya kutokwenda leo
 
Back
Top Bottom