MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 28,064
- 31,401
Ficha Huo ujinga wakoKwakweli Kiburi hakijengi.... Kiburi cha Magufuli kitatucost!! Kagame ni dictator lakini hana Kiburi that's why Rwanda inapaa!!
Kenya ni creative na hawana Kiburi sababu wanatafuta na hii itawasaidia sana!!
Wacha sisi tule jeuri ya Magu
kila nchi inautaratibu wake
na Hatufanyi kisa fulani kafanya
Never