Ficha Huo ujinga wakoKwakweli Kiburi hakijengi.... Kiburi cha Magufuli kitatucost!! Kagame ni dictator lakini hana Kiburi that's why Rwanda inapaa!!
Kenya ni creative na hawana Kiburi sababu wanatafuta na hii itawasaidia sana!!
Wacha sisi tule jeuri ya Magu
Wameishiwa nguvu. Kwa sasa wamenyon'gonyea.
Endelea kujiliwaza.Sababu za kunyong'onyea zinajulikana na msababishaji anajulikana.
Ukweli utabaki kuwa kweliEndelea kujiliwaza.
Ukweli kwako. Uongo kwangu. Sawa?Ukweli utabaki kuwa kweli
Lowasa amemwakilisha mbowe du dharau zingine