Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuachie yanga yetu sisi tunajua tunachofanya wewe nenda huko mbeya
Barthez, Dida , Kaseja, Yondan, na Chuji kweli Yanga ni SIMBA VETERANS siku mkifungwa na Simba msiseme Wamehujumu timu wakati Mnajihujumu wenyewe
Napenda kuwapongeza sana viongozi wetu wa yanga kwa kuangalia mbele na hasa ligi ya mabingwa, nadhani kama kuna sehemu imepwaya sana ndani ya kikosi chetu linapokuja suala la ligi ya mabingwa ni golini, pia ninashauri pia tusajili beki wa kati mmoja na nimemwona beki wa Liberty professional ya Ghana ambaye ni kapten wao anavaa jezi no:20, huyu angetufaa sana akicheza na Yondani. Nadhani tuna tatizo la kufungwa magoli ambayo hata huwezi elewa yanapitaje nadhani pia tunahitaji kiungo mkabaji mfano wa Jerry Santo na hapo tutakuwa na kikosi imara ambacho naamini tutafika mbali kwenye ligi ya mabingwa. Mwisho naomba kuuliza hali ya mwenyekiti wetu wa baraza la wadhamini mzee Kifukwe je kweli anaugua? Mwenye kujua tafadhali anijulishe.
Uko kwenye kimataifa mnaishia round ya kwanza, labda utoe sabubu nyingine
Simba wasimpate kivipi! Kwani wanamtaka?
Mara ngapi washabiki tumelalamika juu ya kumtema Kaseja lakini hawajatusikia?
Sasa acha tule jeuri yatu kwa kukiacha kifaa kama Kaseja.
bora kushabikia Mbeya City! Yani yanga wanasijiri upuuzi bila kujali mahitaji ya timu! Ni kweli tatizo la yanga Kipa?
Utafiti wa Kichini chini Ulifanywa Karibu Mikoa Yote Ya Tanzania Bara na Visiwani na Ikajulikana Kuwa ktk Kila WENDAWAZIMU 15 Unaokutana Nao 14 ni Mashabiki Wakubwa na Wanazi wa Yanga na Wa Pili Ulifanyika Ni Kuangalia Kati Ya Mashabiki Wa Simba na Yanga Wepi ndiyo Wana IQ Nzuri na Kubwa na Wasomi Wa Ukweli Ikajulikana Kuwa ni Mashabiki wa Simba na Mwisho Ulifanyika Ushabiki wa Timu gani Inaongoza Kuwa na Mashabiki na Wanachama Matajiri Kuliko Nyingine Jibu Likawa ni Timu Ya Simba. Sasa Kwa Matokeo tu Ya Utafiti Huo wa Chini Chini Uliofanywa na Taasisi Moja Maarufu Jina Linahifadhiwa ili (KUEPUSHA KUVULIWA KOFIA NA WAZEE WASHIRIKINA NA WACHAWI WANAOGANGA NJAA PALE KLABUNI NA KUISHIA TU KUOMBA HELA KWA WACHEZAJI NA VIONGOZI) Sishangai Kwa Yanga Kumsajili Tena Golikipa Ambaye ni MLA RUSHWA MKUBWA HAPA NCHINI ambaye Kazi Yake ni Kuoa na Kisha Watoto wa Mjini WANAMGONGEA TU KAMA HAWANA AKILI NZURI. Na Hizo Hela Alizopewa Mwambieni Ampelekee Pia na Demu Wake Mtoto wa Mchungaji Anayeishi Kawe ambaye Kila Kukicha Anaumwa tu Kisichojulikana na Mwili Wake UNAKONGOROKA Siku hadi Siku. Muda Wowote Barthez Anarudi Kundini Nyumbani!
Tatizo la yanga ni kucheza sana na akili ya simba!mi hua nashangaa sana hua hawafanyi vitu kwa mapungufu yao,si watu wakujiangaisha hupenda sana mteremko na huo ni udhaifu mkubwa sana!wana timu imara sana na ndio maana wako kileleni, lakini haikua timu yao akilini,timu kubwa ya yanga ni macho ya simba!kuna tatizo lakufanyia kazi hapo na si kulipotezea!
Hapo suala la simba linatoka wapi? Hoja ni kwamba yanga wamemsajili kaseja na ni mchezaji huru sasa ninyi inawasumbua nini?
Bhaeleze.....Mtasema yote lakini hakuna kama Kaseja
YANGA si walisikia SIMBA wanamtaka tena KASEJA wamemuongezea DAU. hivi unadhani YANGA wanashida ya kipa?
Kaseja mchawi sana analoga sana wenzake