Kasema napika vizuri kumzidi mama yake mzazi

Binti wa zamani

Platinum Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
15,052
Reaction score
36,866
Jana, nilikua sijisikii vizuri sikwenda kazini, na baba watoto akasema na yeye haendi atabaki na mimi afanyie kazi nyumbani, hali yangu haikua mbaya kivile, so nikashangaa ila nikashukuru basi, siku ikawa poa, ikaisha.

Jioni hii tumekaa tunapunga upepo, out of nowhere, kaanza kusema ikibidi achague mlo mmoja maisha yake yote kati ya chakula ninachopika mimi au kile cha mama yake mzazi basi atataka kula chakula changu mimi maisha yake yote maana ni kitamu zaidi ya mapishi yoyote na ya mtu yeyote.

Niko hapa nawaza, baada ya miaka yote hiyo, mbona haya mahaba ghafla sana.
Wanaume, hivi kuna wakati mnaamua kutuonyesha mapenzi mapya au kuna tukio takatifu nakaribia kupigwa, nikae mkao wa kujiandaa.

download (3).gif
 
Niko hapa nawaza, mbona haya mahaba ghafla sana. Wanaume, hivi kuna wakati mnaamua kutuonyesha mapenzi mapya au kuna tukio takatifu nakaribia kupigwa, nikae mkao wa kujiandaa.

View attachment 3315402
Hongera 😁
 
Jana, nilikua sijisikii vizuri sikwenda kazini, na baba watoto akasema na yeye haendi atabaki na mimi afanyie kazi nyumbani, hali yangu haikua mbaya kivile, so nikashangaa ila nikashukuru basi, siku ikawa poa, ikaisha.

Jioni hii tumekaa tunapunga upepo, out of nowhere, kaanza kusema ikibidi achague mlo mmoja maisha yake yote kati ya chakula ninachopika mimi au kile cha mama yake mzazi basi atataka kula chakula changu mimi maisha yake yote maana ni kitamu zaidi ya mapishi yoyote na ya mtu yeyote.

Niko hapa nawaza, baada ya miaka yote hiyo, mbona haya mahaba ghafla sana.
Wanaume, hivi kuna wakati mnaamua kutuonyesha mapenzi mapya au kuna tukio takatifu nakaribia kupigwa, nikae mkao wa kujiandaa.

View attachment 3315402
Hahahahaaaa! Angalia sana. Kama siyo tukio basi kuna siku mtoto wako wa kiume atamwambia hivyohivyo mke wake kwamba anapika vzr kuliko wewe!
 
Chakula ni tungo tata...
Anyway wewe shangazi pambanuwa utamuelewa vizuri sana 😋😋😋
Yaonekana shangazi uko vizuri idara zote!
Mwenzetu kwisha habari kabisa kabisa!
 
Hahahahaaaa! Angalia sana. Kama siyo tukio basi kuna siku mtoto wako wa kiume atamwambia hivyohivyo mke wake kwamba anapika vzr kuliko wewe!
Mimi sina shida kabisa, nitataka kujifunza kutoka kwa wakwe zangu, na kama wanapika vizuri kuliko mimi inamaanisha watoto wangu wanakula vizuri.
 
Hilo sio jambo la kupingwa na kushangaza kuna baadhi ya wanawake hata kama ni mama zetu hawajui kupika kabisa.mfn mama yangu mm nifundi wa kupika ila dada zangu hakuna mfumo na wameolewa tyr nao ni mama.
 
Back
Top Bottom