Kasema napika vizuri kumzidi mama yake mzazi

Kasema napika vizuri kumzidi mama yake mzazi

Hilo sio jambo la kupingwa na kushangaza kuna baadhi ya wanawake hata kama ni mama zetu hawajui kupika kabisa.mfn mama yangu mm nifundi wa kupika ila dada zangu hakuna mfumo na wameolewa tyr nao ni mama.
Kabisa siyo jambo la kuishangaza. Si kweli kwamba kuwa mzazi kunakufanya automatically ujue kupika, na nasema pia kama mzazi wa watoto wa kiume.
 
Code imezingatiwa...

Mjomba dot com amejua kukupanga, nawe umepangika. Mambo murua kabisa.
 
Jana, nilikua sijisikii vizuri sikwenda kazini, na baba watoto akasema na yeye haendi atabaki na mimi afanyie kazi nyumbani, hali yangu haikua mbaya kivile, so nikashangaa ila nikashukuru basi, siku ikawa poa, ikaisha.

Jioni hii tumekaa tunapunga upepo, out of nowhere, kaanza kusema ikibidi achague mlo mmoja maisha yake yote kati ya chakula ninachopika mimi au kile cha mama yake mzazi basi atataka kula chakula changu mimi maisha yake yote maana ni kitamu zaidi ya mapishi yoyote na ya mtu yeyote.

Niko hapa nawaza, baada ya miaka yote hiyo, mbona haya mahaba ghafla sana.
Wanaume, hivi kuna wakati mnaamua kutuonyesha mapenzi mapya au kuna tukio takatifu nakaribia kupigwa, nikae mkao wa kujiandaa.

View attachment 3315402

Hiyo ni aina flani hiv ya "pain kiler" si umesema ulikuwa na homa kidogo.Hopeful umepata ka-relief,no?
 
He is a simp hamna mtu anayejua chakula kizuri kuliko mama yake mzazi kwaiyo usijichukulie matawi ya juu your just dating a simp
 
Back
Top Bottom