Kasema napika vizuri kumzidi mama yake mzazi

Na bado mnawaendea wawachune vizuri, ila wanaume jamani 😂
Wala usiwe na hofu

Mwanaume anaejielewa hawekezi kwa hawala hili ni kwetu sisi wa vipato vidogo ,ni mara chache sana ikitokea

To be honest hawala huwezi mkotrol kama ni mume wa mtu sababu hata ukimkuta na bwana mwingine huwezi mind sana,watu watakushangaa unagimbania mwanamke na wako yuko home!
 
Sawa, nimekuelewa
 
Ni asili na raha yenu kudanganywa.

14 Wala Adamu hakudanganywa, ila mwanamke alidanganywa kabisa akaingia katika hali ya kukosa.
1 Timotheo 2:14
Adamu naye si alidanganywa na mwanamke akashawishika au?
 
Hapana, Adamu hakudanganywa, bali alisikiliza sauti ya mke wake akimpa maelezo kuwa amekula. Akaona bora tu wafe wote. Kwani alimpenda sana akajua nisipokula nitamkosa huyu. Maana hafanani na mimi tena.

Kwahiyo Adamu aliamua. Zingatia hapo👇👇

14 Wala Adamu hakudanganywa,

Halafu hapo👇👇

ila mwanamke alidanganywa kabisa akaingia katika hali ya kukosa.

Kwahiyo Adam alitenda dhambi na kuyakacha maagizo ya Mungu kwa sababu alimpenda sana Eva.

Kumbe hizi mbususu zetu zilianza kuwachanganya tangu mwanzo wa dunia, basi hamna namna, mtaendelea kuwa mkate laini tukiwaloweka kwenye chai zetu 😂 😂 😂 ndiyo asili yenu.
 
Kwahiyo Adam alitenda dhambi na kuyakacha maagizo ya Mungu kwa sababu alimpenda sana Eva.

Kumbe hizi mbususu zetu zilianza kuwachanganya tangu mwanzo wa dunia, basi hamna namna, mtaendelea kuwa mkate laini tukiwaloweka kwnye chai zetu 😂 😂 😂
We acha tu, kuna wanaume kwenye mbususu hawajitambui.

Adamu alipuuza maagizo ya Mungu kisa mbususu ya Eva.
Samson nae chali kwa Delila.

Ila kiboko ni Lutu, mkewe alipogeuka wala jamaa hakuhangaika. Alisikiliza maelekezo akasonga mbele.🤣
 
Mapenzi ni kumfanya mwenza wako awe na furaha isiyo kifani, na hiyo furaha inatoka kwa mtu spesho wa kuitwa mwandani, na furaha yenyewe ni kitu spesho kutoka kwa mtu spesho na kwamba huwezi kuipata kwa mtu mwingine yeyote asiyekuwa spesho tena unaipata kwa wakati spesho, ktk mazingira spesho yaani sijui hata najaribu kuelezea nini ambacho ni spesho. Cha muhimu ni uje tu kwamba jamaa alikuwa anatimiza wajibu wake spesho mlipokuwa ktk mazingira spesho ili kukufanya ujihisi wewe ni spesho hata kama ilikuwa ni uongo lakn ni uongo spesho uliotumika kwa sababu spesho na hayo ndio mapenzi yenyewe ambayo ni spesho!
 
Nimependa
 
We acha tu, kuna wanaume kwenye mbususu hawajitambui.

Adamu alipuuza maagizo ya Mungu kisa mbususu ya Eva.
Samson nae chali kwa Delila.

Ila kiboko ni Lutu, mkewe alipogeuka wala jamaa hakuhangaika. Alisikiliza maelekezo akasonga mbele.🤣
Adamu ndiye aliyekua mwanaume wa kwanza na alidhihirisha hiyo ndiyo asili yenu.
Udhaifu wenu upo kwenye viungo mnapotokea, tunayaona hayo kila iitwayo leo.
 
Unajua Adam alipoletewa mwanamke na Mungu alichanganyikiwa hata hakukumbuka kumshukuru Mungu kwa kumpa mwanamke mzuri. Jamaa akaanza kujisifia yeye tu, HUYU NI NYAMA KATIKA NYAMA ZANGU......

Matokeo yake ndio hayo.... Akili yote aliwekeza huko kasahau hata maelekezo na kajitoa kafara kwa mwanamke😂😂🤣. Akili ilisimama kufanya kazi
 
Hadithi za kufikirika hizi, mzungu huko vichwani kawaacha watupu kabisa kama waumini wa Gwajima wanaosubiri safari ya Birmingham
 
Back
Top Bottom