Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 10,703
- 11,816
Acha tufikirie, haikuhusu. Kila mtu afikirie anachoona kinamfaa haijalishi kinatoka wapi.Hadithi za kufikirika hizi, mzungu huko vichwani kawaacha watupu kabisa kama waumini wa Gwajima wanaosubiri safari ya Birmingham
Hizo nguo ulizovaa na simu unayotumia bila kusahau herufi unazochapa umeachiwa na mzungu.
Rudi kuvaa magome ya miti na ngozi za wanyama kama unajihisi upo kiwango cha chini kwa wazungu.😎