Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Amini mkuu , hakuna bwege kama huyoUnadangwanywa hakuna mwanaume anaweza msema mama yake vibaya
Hongera πJana, nilikua sijisikii vizuri sikwenda kazini, na baba watoto akasema na yeye haendi atabaki na mimi afanyie kazi nyumbani, hali yangu haikua mbaya kivile, so nikashangaa ila nikashukuru basi, siku ikawa poa, ikaisha.
Jioni hii tumekaa tunapunga upepo, out of nowhere, kaanza kusema ikibidi achague mlo mmoja maisha yake yote kati ya chakula ninachopika mimi au kile cha mama yake mzazi basi atataka kula chakula changu mimi maisha yake yote maana ni kitamu zaidi ya mapishi yoyote na ya mtu yeyote.
Niko hapa nawaza, mbona haya mahaba ghafla sana. Wanaume, hivi kuna wakati mnaamua kutuonyesha mapenzi mapya au kuna tukio takatifu nakaribia kupigwa, nikae mkao wa kujiandaa.
View attachment 3315402
Hajamsema vibaya au kipi hapo ni kibaya?Unadangwanywa hakuna mwanaume anaweza msema mama yake vibaya
Kwanini mnatudanganya sasa, na mbususu huwa hatuwanyimi?Uwongo ni kawaida yetu.. ili tu tuichape
Hahahahaaaa! Angalia sana. Kama siyo tukio basi kuna siku mtoto wako wa kiume atamwambia hivyohivyo mke wake kwamba anapika vzr kuliko wewe!Jana, nilikua sijisikii vizuri sikwenda kazini, na baba watoto akasema na yeye haendi atabaki na mimi afanyie kazi nyumbani, hali yangu haikua mbaya kivile, so nikashangaa ila nikashukuru basi, siku ikawa poa, ikaisha.
Jioni hii tumekaa tunapunga upepo, out of nowhere, kaanza kusema ikibidi achague mlo mmoja maisha yake yote kati ya chakula ninachopika mimi au kile cha mama yake mzazi basi atataka kula chakula changu mimi maisha yake yote maana ni kitamu zaidi ya mapishi yoyote na ya mtu yeyote.
Niko hapa nawaza, baada ya miaka yote hiyo, mbona haya mahaba ghafla sana.
Wanaume, hivi kuna wakati mnaamua kutuonyesha mapenzi mapya au kuna tukio takatifu nakaribia kupigwa, nikae mkao wa kujiandaa.
View attachment 3315402
Ndiyo nimemuamini, huwa hadanganyiNaww ukaamini haswa.
Chakula ni tungo tata...Jana, nilikua sijisikii vizuri sikwenda kazini, na baba watoto akasema na yeye haendi atabaki na mimi afanyie kazi nyumbani, hali yangu haikua mbaya kivile, so nikashangaa ila nikashukuru basi, siku ikawa poa, ikaisha.
Jioni hii tumekaa tunapunga upepo, out of nowhere, kaanza kusema ikibidi achague mlo mmoja maisha yake yote kati ya chakula ninachopika mimi au kile cha mama yake mzazi basi atataka kula chakula changu mimi maisha yake yote maana ni kitamu zaidi ya mapishi yoyote na ya mtu yeyote.
Niko hapa nawaza, baada ya miaka yote hiyo, mbona haya mahaba ghafla sana.
Wanaume, hivi kuna wakati mnaamua kutuonyesha mapenzi mapya au kuna tukio takatifu nakaribia kupigwa, nikae mkao wa kujiandaa.
View attachment 3315402
Mimi sina shida kabisa, nitataka kujifunza kutoka kwa wakwe zangu, na kama wanapika vizuri kuliko mimi inamaanisha watoto wangu wanakula vizuri.Hahahahaaaa! Angalia sana. Kama siyo tukio basi kuna siku mtoto wako wa kiume atamwambia hivyohivyo mke wake kwamba anapika vzr kuliko wewe!
Asante babes πHongera π
Daah nimesikitika sana πPole dada kwa kupewa uongo mtamu
Sawa, acha nipambanue.Chakula ni tungo tata...
Anyway wewe shangazi pambanuwa utamuelewa vizuri sana πππ
Yaonekana shangazi uko vizuri idara zote!
Mwenzetu kwisha habari kabisa kabisa!