Kasheshe vituko na vitimbwi vya mimba

Mmh katika umri huu nimeshafunga hesabu ila kuna pahala Kuna malalamiko ndio maana nikaamua kuweka post kamili
cc: Evelyn Salt sister

Dah, Kachumbali sintasahau, yaani unaweza hamshwa usiku wa manane utengeneze kachumbali na sio kila kachumbali bali iliyotengenezwa na mimi tu, nilishanunua kisu, sahani na vifaa vya kachumbari katikati ya jiji, nililipwa kwa kupewa twins
 
Dah, Kachumbali sintasahau, yaani unaweza hamshwa usiku wa manane utengeneze kachumbali na sio kila kachumbali bali iliyotengenezwa na mimi tu, nilishanunua kisu, sahani na vifaa vya kachumbari katikati ya jiji, nililipwa kwa kupewa twins
Yani hii kitu inashangaza mno lazima kuwe na sharti
.ubuyu sharti uwe wa fulani
.vitumbua lazima viwe vya mama fulani
.mbilimbi udongo nk lazima vitoke sehemu fulani
 
Mimba zina mambo.Unaeza ingia hotelini umepanga kula kitu flani ukifika ukakutana na mtu anakula kitu kingine unaagiza hicho ulichoona.
Kuna sabuni ya kuogea nlikua natumia vzuri tu na naipenda.Nlivobeba mimba sikuzitaka tena.Manake ilikua nkiingia bafuni nkaskia tu ile harufu yake naskia kichefuchef.Siku iyo Mr.karudi kazini anaingia bafuni anauliza sabuni iko wapi nkamwambia nimeitupa nkaweka ya kipande.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
nilishafungishwa safari za kwenda kula kitimoto na bia karibu kila siku,ole wangu nichelewe kurudi ntaulizwa maswali hayo kazi itatukanwa hiyo ila nikifika home tu ghafla unageukwa tena kunawakati nilishafanywa house boy kabisaaa,mpaka wakumougesha..!!!sema kwa sehemu kubwa nilikuwa na enjoy hivi vituko but sometime ilikuwa too much unaweza kufatwa pahala uko na washkaji ukaamuliwa kama mtoto "wewe haya inuka haraka tangulia nyumbani"tena mtu kafura balaa hata washkaji hakuna anaeguna ila kesho ndio story na utani kweli kweli
 
Hahhahahaaaa daily kavu na ndizi 3 kachumbari kwa wingi pilipili na limao kwa sana
 
Kumbee! nilikuwa najiuliza hivi kwa nini wanawake wenye mimba huwa wananipenda, salamu kibao,kila nikiongea hata mzaha tu wanacheeeka,wakishajifungua tu hata kuniangalia hawataki.Kumbee!
 
Hahahaa hey, he is not me.

And you so silly...did your mom drop you on your head when you were little?

Coz when it comes to silly you take the cake.

NB: Do you have a bun in the oven?

I know it's not you..... what I thought is may be he is a new member....


Silly....!!??? That's another Kasie's name..... In all her veins it's filled with silliness. .......
NB: nooup
 
I know it's not you..... what I thought is may be he is a new member....


Silly....!!??? That's another Kasie's name..... In all her veins it's filled with silliness. .......
NB: nooup

So 'silly' is your middle name huh..?

It fits you to a tee!

Btw, fcuk you.
 
mi wangu mimba ina miezi saba sasa kashaniambia kitambo hana hamu na mimi wala na hicho kitendo kwa hiyo nisimsumbue kwa vyovyote,mbaya zaidi kasema nikitaka kwenda nje niende tu yeye hana habari na mimi kabisa..
 
And he loves you back with all his heart and soul and there's nothing you can do about it.

Mmmhhh Chikundeeee. ... you made a big smile on my face dadiiii. ......

For love.... for sweet.... For good....

I will love you with every beat of my heart. .. and I swear....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…