Kashfa nzito kwa Amunike na wabunge,matusi na kupanga matokeo kwahusishwa huko Misri

Bado umelala?amka kumekucha acha kumsingizia Amnike.
 
CCM walii vuruga taifa star alafu leo wana-anzisha fitna za kitoto ili kuficha kile walicho kifanya, walipo anza kuingia wanasiasa wa CCM tulijua timu inakwenda kubugizwa magoli ya kutosha, na hili haliitaji hata kuliundia tume!
 
Mimi nimefarijika tu huyo kocha kuondolewa kwenye hicho kibarua chake. Na wakati mwingine ni vyema TFF ikafuata taratibu za kawaida kabisa kuajiri kocha wa Timu ya Taifa badala ya kupeana ajira kishkaji.
 
Yondani angemrukia vichwa
Write your reply...
mmh haya ma buku 7 yapo kazini
huu mchezo amunike karushiwa mpira!
eti alimuita yondani mwanamke! hivi yondani huyu huyu tunaemjua?
mbona wangetafutana humo ndani?
 
Wabongo kwa majungu tu! Hamjambo
 
Taifa stars ni mali ya ccm; kwa nini usipeleke hili shauri kwa wenye mali wakaamue wenyewe? BAK, njoo nisaidie kutilia mkazo
 
Reactions: BAK
eti katukanwa kabla ya mechi... Akakubali kucheza.... Afu akaumia mchezoni...
mkuu unajua mpira? unajua kitu kinaitwa half time ,mapumziko? unajua maana ya dressing room? au wewe ni kama wale imbeciles spin doctors wa buku 7 lumumba?tukio lililtokea half time,kipindi cha pili akajifanya kaumia na mechi ya lageria hakucheza hata nyoni akajifanya kaumia akatoka baada ya hao wawili kutoka uliona kilichotokea na baada ya hapo wote wawili wakatangaza kustaafu hadi Daudi Albert bashite alipoingilia kati wakabadili maamuzi
 
Hii timu Watanzania wengi tunaojitambua tumeishasusa. Maccm wameamua kuipora na kuifanya ni timu yao. Mpaka hapa Bashite mfoji vyeti atakapofuta kauli yake hii hapa chini au TFF kukanusha kauli ya Bashite mfoji vyeti wengi tutaendelea kuisusa. Sijawahi hata siku moja kuacha kuishangilia timu ya Taifa la Tanzania na Watanzania wengi pia ni hivyo hivyo, lakini hawa wahuni waporaji wa kila kitu nchini wamesababisha kwa mara ya kwanza tuione ni ccm stars badala ya Taifa Stars.


Taifa stars ni mali ya ccm; kwa nini usipeleke hili shauri kwa wenye mali wakaamue wenyewe? BAK, njoo nisaidie kutilia mkazo
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Mbuzi ameishatolewa kafara,sasa hivi anakatiwa nyanya,vitungu,chumvi... ili aliwe vizuri
 
Msitafute kisingizio, team ilipewa jina la chama badala ya la taifa.
 
Kwahyo ulitaka umfunge Senegal na Algeria ?? Kwa mpira upi ??
 
Ewaaa hapo ndio nakuaminia maana unakujaga na full evidence; hebu tuwaachie ccm timu yao na Amunike ni mali yao pia watajuaa nae wenyewe
 
Reactions: BAK
πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½ Shukrani sana. Bila evidence jamaa wanaweza kukwambia acha uzushi hahahahaha lol!

Ewaaa hapo ndio nakuaminia maana unakujaga na full evidence; hebu tuwaachie ccm timu yao na Amunike ni mali yao pia watajuaa nae wenyewe
 
Hawakawii kusema hii video ni ya kutengeeza na aliehusika kuitengeza anatafutwa na vyombo vya dola[emoji3][emoji3]
[emoji1431][emoji1431][emoji1431] Shukrani sana. Bila evidence jamaa wanaweza kukwambia acha uzushi hahahahaha lol!
 
Reactions: BAK
Write your reply...Majungu Tanzania au Afrika hayaishi bora Amunike akajipumzikie huko kwao ...kwa akili zenu nyie mlitarajia Tanzania achukue kombe ...hio kushiriki tu kwa msaada wa jirani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…