Kashfa nzito kwa Amunike na wabunge,matusi na kupanga matokeo kwahusishwa huko Misri

Kashfa nzito kwa Amunike na wabunge,matusi na kupanga matokeo kwahusishwa huko Misri

Write your reply...
mmh haya ma buku 7 yapo kazini
huu mchezo amunike karushiwa mpira!
eti alimuita yondani mwanamke! hivi yondani huyu huyu tunaemjua?
mbona wangetafutana humo ndani?
niombe radhi mimi siyo buku 7 halafu wachezaji wa taifa stars ni binadamu kama sisi wanaishi mitaani ndug na jamaa zao tunajuana nao nafikiri ni bora kwa muda wako ungefatilia kuhusu hilo,huyo yondani unayemuona muhuni alichofanya ni kulia na kipindi cha pili akajifanya kaumia na mechi ya algeria akasusa baada ya hapo akatangaza kustaafu kuchezea team ya taifa hadi bashite alipoingilia kati huoni connection ya matukio?
muhuni ni banda tu aliyejibishana na amunike baada ya kuitwa mwanamke kule lesotho
 
Najiuliza tu Yondani baada ya kutukanwa akalia!?
hahahahaaa chezea mpopo wewe kaona hawa majamaa wanaenda kuifunga kenya hela ya kamari atakosa akaona awatoe kwenye mood ni mitusi tu dakika kumi nzima ,Yanga hawaamini muhuni wao alilia kwa dakika na nusu akajifanya kaumia kipindi cha pili baada ya hapo akatangaza kustaafu kabisa
 
Chanzo :blog ya saleh jembe

***kabla ya mechi ya Algeria kuna jamaa wa kiarabu anayesemekana ni wakala wa Emanuel Amunike aliingia kambini kwa Taifa stars na ali demand Tanzania ifungwe kwa idadi kubwa ya magoli,inadaiwa clip ipo kuna afisa wa Tff aliirekodi

**Wabunge walioenda Misri walidai walipwe posho( hili maafisa wa TFF wanaogopa kuliongelea wasije wakaitwa kwenye kamaati ya kushughulikiana kule DOM)
**Kwenye mechi ya kenya wakati TZ ikiongoza 2-1 half time badala ya Amunike kuwaongezea maarifa wachezaji yeye alitumia muda huo kuwatukana haswa Kelvin Yondani aliyemuambia kwamba anacheza kama mwanamke hali iliyopelekea yondani kulia kwa dakika moja na nusu huku wachezaji wengine wakikasirishwa na maneno hayo ,ilimlazimu mbwana samata kuingilia kati kuwatuliza wachezaji

Kipindi cha pili kenya wakasawazisha na kuongeza jingine huku yondani akijifanya kaumia na kukataa kuendelaa na mchezo.Tusi hilo la wewe ni mwanamke inadaiwa ndilo alilopewa Abdi banda kule lesotho na Amunike na Banda hakumkopesha akamjibu kwamba yeye ni mwanaume siyo mwanamke akawa frozen kwenye team kwa madai ya utovu wa nidhamu

***Amunike huyohuyo baada ya kuona wachezaji hawampendi ndiye aliyeanzisha mgogoro wa kupandisha posho toka dollar 75 hadi 300 per day bila kuwasiliana na TFF,alifanya hivyo ili wachezaji wawe side yake

INAVYOONEKANA BWANA AMUNIKE ANAHUSIANA NA MAGENGE YA KAMARI maana hiyo issue ya wakala wake kutaka stars igongwe magoali mengi na Algeria plus alivyowatoa wachezaji kwenye mood dhidi ya kenya wakiwa wanaongoza 2-1 ni dhahiri hakutaka washinde.
Wabongo kwa ramli hamjambo
 
Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu, ukweli tunatafuta kila sababu na mahali pa kuficha udhaifu wetu kuwa hatukuwa tumejiandaa kushindana AFCON, na hata kupita kushiriki ilikuwa ni bahati tu.

Tunafawanya wachezaji, TFF na bechi lao la ufundi waone kwamba wamefanya vema kumbe ndio wamezingua zaidi.
 
Huyo mwandishi ni mhariri wa magazeti ya udaku, umbea, fitina na uchonganishi.

Tusimlaumu Amunike Tanzania bado sana kisoka.
 
niombe radhi mimi siyo buku 7 halafu wachezaji wa taifa stars ni binadamu kama sisi wanaishi mitaani ndug na jamaa zao tunajuana nao nafikiri ni bora kwa muda wako ungefatilia kuhusu hilo,huyo yondani unayemuona muhuni alichofanya ni kulia na kipindi cha pili akajifanya kaumia na mechi ya algeria akasusa baada ya hapo akatangaza kustaafu kuchezea team ya taifa hadi bashite alipoingilia kati huoni connection ya matukio?
muhuni ni banda tu aliyejibishana na amunike baada ya kuitwa mwanamke kule lesotho
mkuu sijamaanisha we ni buku 7.
halafu hili la kina yondani kustaafu ghafla linatia mashaka!
duh so yondani nae alilia nini sasa?
ila banda walimuondoa wakidai kakosa nidhamu lakini hawataji kosa lake eti?
 
Mbaazi Ukikosa Maua Husingizia Jua
Zilongwa Mbali, Zitendwa Mbali
 
mkuu sijamaanisha we ni buku 7.
halafu hili la kina yondani kustaafu ghafla linatia mashaka!
duh so yondani nae alilia nini sasa?
ila banda walimuondoa wakidai kakosa nidhamu lakini hawataji kosa lake eti?
banda alilalamika upangaji team kule lesotho wakabiashana na amunike akaitw mwanamke inaonekana ndiyo tusi kubwa la amunike banda hakukubali na yeye akaja juu kwa upande wa yondani yeye alilia kwa hasira na kudanganya kaumia kipindi cha pili inasemekana hata manula na nyoni pia ni kama walifanya vile kususia mechi ya algeria
 
muwe mnaelewa basi watu wengine...kha?huyo ni wakala wa Amunike aliyetaka hivyo maana yake alitaka walau goals 7 hadi 10 kuna magenge ya kamari yatakuwa yaliweka labda odd ya Tanzania kufungwa 10 au 15-0 hapo ikitokea kuna mtu anakula hela nyingi kila mtu algeria alijua angeshinda ila ingetokea 15 -0 huoni ni wehu huo?
hiyo issue siyo ndogo ni kamari kabisa hiyo.
mkuu sisi tunaojua fixed game nakuelewa unachomaanisha...ila kuna FUNZA HAPA WATAKUBISHIA ILIHALI HATA MATCH FIXING HAWAJUI..MAMAEEE
 
banda alilalamika upangaji team kule lesotho wakabiashana na amunike akaitw mwanamke inaonekana ndiyo tusi kubwa la amunike banda hakukubali na yeye akaja juu kwa upande wa yondani yeye alilia kwa hasira na kudanganya kaumia kipindi cha pili inasemekana hata manula na nyoni pia ni kama walifanya vile kususia mechi ya algeria
Inaonyesha hili suala unalifahamu peke yako!!
 
Back
Top Bottom