Magazeti leo Bongo yameripoti kwamba Mhe. Kabwe alishangiliwa kwa nguvu jana Bungeni aliposimama kuuliza swali la nyongeza katika swali la msingi alilouliza Mhe. Serukamba, Mbunge wa Kigoma Mjini. Haikufahamika mara moja ni kwanini Mhe. Kabwe, ambaye ilibidi asubiri kuuliza swali lake hadi vifijo vitulie, alipokelewa kwa namna hiyo.
--------------
Mimi ningekuwepo ningempa "standing ovation" kabisa kidume huyu. I reckon midume mingine mle ndani ilikuwa inamuonea gere. Lakini seriously, wabunge wetu wamekuwaje tena? Are they that stupid?