Kashfa nzito: Zitto vs Amina Chifupa

Kashfa nzito: Zitto vs Amina Chifupa

Status
Not open for further replies.
Kumbe unachagua wa kuwaonea?

La hasa sichagui ila siwezi kujadiiana na mtu kitu ambacho sioni faida yake kusema kuwa mrema wa tlp ni mwenye uwezo wa kuw katibu mkuu wa CHADEMA kwangu siwezi kujiingiza kwenye mjadala kama huo kwani huyo mrema tayari ameshachoka ni bora sasa akapumzika .
 
Nimesoma kwa kina mjadala huu unaoendelea yapata mwezi mmoja sasa, hivi Mheshimiwa Zitto uko wapi ututanabaishe PUMBA na MCHELE kuhusu ukweli wa suala hili? Waumiza vichwa vya watu kwani wewe ni miongoni mwa wajumbe/wanachama wa BARAZA hili.
 
Mjadala ulikufa "kifo cha mende" baada ya wazee wazima kugundua janja ya nyani,...si unaelewa jinsi ilivyo rahisi kupembua chuya katika mchele.

Anyway, kwa taarifa labda niseme isiyo rasmi waweza ipata toka hapa...

www.ippmedia.com/ipp/alasiri/2007/05/24/91106.html

Mheshimiwa Mw'kiti wa chama amesema atawashushia rungu hivi karibuni, na tutege masikio!
 
Hii thread vipi? ni zaidi ya wiki hakuna jipya!

au khabari yentewe uzushi?
 
JAMANI huyu Zitto si muathirika? ndio maana Mpakanjia aliposikia Zitto kapita akaona hakuna msalie tena.
 
mnaizimisha mjadala uendelee? tafuteni issue nyingine hii mmenoa!
 
Magazeti leo Bongo yameripoti kwamba Mhe. Kabwe alishangiliwa kwa nguvu jana Bungeni aliposimama kuuliza swali la nyongeza katika swali la msingi alilouliza Mhe. Serukamba, Mbunge wa Kigoma Mjini. Haikufahamika mara moja ni kwanini Mhe. Kabwe, ambaye ilibidi asubiri kuuliza swali lake hadi vifijo vitulie, alipokelewa kwa namna hiyo.

--------------

Mimi ningekuwepo ningempa "standing ovation" kabisa kidume huyu. I reckon midume mingine mle ndani ilikuwa inamuonea gere. Lakini seriously, wabunge wetu wamekuwaje tena? Are they that stupid?
 
Inawezekana lilikuwa ni swali zuri sana!

Ukisoma niliyoandika, kama ilivyoripotiwa na magazeti, utagundua kwamba alishangiliwa kabla hata hajauliza swali lenyewe. Ndo maana nasema Wabunge wanakuwa kama watoto sasa. Labda Zitto aeleze how it was manake magazeti yana mtindo wa ku-sensationalise mambo.
 
Kweli Mwana wa Kijiji ni swahiba wa Zitto au ni muumini mzuri wa CHADEMA kwa jinsi alivyorukia utetezi wa Zitto maana swali zuri haliwezi kushangiliwa kabla halijaulizwa.
 
Yale Yale, kutanguliza dhana zetu mbele. Hivi Zitto anaweza vipi kuiingia vichwani mwa watu na kujua hasa sababu iliwafanya hawa wabunge wampigie makofi?... yawezekana kuwa aliwafurahisha kum-challenge rais ktk swala la jimbo lake maanake hakuna Mbunge alowahi kufanya hivyo, pia yawezekana kuwa ni jinsi alivyotulia ktk swala la AC... n.k
Lakini pamoja na yote haya tusianze kulaumu bila kufahamu kilichokuwa kichwani mwa hawa Wabunge!...
 
Nimecheka majibu ya Mwanakiji, wala hata hakusoma vizuri ujumbe wa Mugongo Mugongo.
 
Mtoto wa Mkulima, Mtanzania

Hata mimi lately naanza kuwa worried about our friend Mzee Mwanakijiji, kwamba ushabiki na u-CHADEMA unampunguzia jamaa yetu hadi uwezo wa kusoma kilichoandikwa wazi wazi!

Hata hivyo, hawa jamaa wanahitaji utetezi zaidi manake kibao sasa kimewageukia hapa JF: you can fool some people some of the time, but you cannot fool all the people all the time.
 
nyinyi mko serious sana.. that was supposed to be a joke! hii yote ni kutaka kuanza tena kampeni ya "aje hapa aseme!"....
 
Hata mimi nakupa tano Mzee: kwa kuchemsha, then kusema you are joking. You can't go wrong with that. Ha ha ha!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom