Kashfa nzito: Zitto vs Amina Chifupa

Status
Not open for further replies.

Mswahili,
Naona jina lako linasanifu sana maandiko yako pia...teh teh teh
 
sasa hapa unaharibu Mafuchila uswahili au mswahili si jina baya tunajifagharisha sana kwa jina hilo.

tafadhali sana rekebisha kauli yako
 
Kaka mkandara salama lakini...nini kinakusibu?

Tanzanianjema
 
Du mwakijiji wewe kweli ni chadema, inakuwaje mtu waanze kumshangilia hata swali lenyewe hajauliza???????? halafu wewe useme inawezekana swali lilikuwa zuri sana?????? Mimi naona walimshangilia kwa sababu ya ukidume wake wa kusadikiwa kuvunja ndoa na watu.
 
kawaida timu hushangiliwa na washabiki wake,nadhani walioshangilia pia ni wanomuunga mkono katika tuhuma zake
asilimia kubw ya wabunge ni wazinzi ndo maana walikuwa wakimshangilia muwakilishi wao
hasa kwa kufanikiwa kuvunja ndoa ya mwenzao
kwani hata majimboni kwetu wanazivunja sana ndoa
 

Sasa wewe unaleta "mambo binafsi" ktk forum
 
Habari za kuwa Mbunge wa viti Maalum Bi. Amina Chifupa kwamba ni mgonjwa zilikuwa ni habari za kutarajiwa na siyo ngeni. Kutotokea kwake Bungeni na kuwa huru kuzungumza ni kitu ambacho tulikipigia kelele mwanzoni mwa saka hili na tukaonekana wazandiki. Kuna watu wanaojifanya wanaonesha huruma sasa hivi wakati tulipopiga kelele mara ya kwanza wao walikaa kimya. Nitawakumbusha:

Niliandika kuhusu hali ya Amina mara ya kwanza tarehe 9 Mei Hapana kuripoti ifuatavyo:



Kesho yake nikawaandikia ifuatavyo tena Hapa


Na nikapiga kelele hapa kuwa wamuachilie Amina Huru na nikajenga hoja ya Kikatiba: Hapa


Nikimjibu Kakalende nikaandika hivi kuhusu hizi jitihada za kumnyamazisha Amina Hapa


Na wakati namjibu Mnyalu nikasema:


Mwishoni nikasema hivi:


Nini kinaandaliwa?
 
Ulifanya kazi nzuri sana. mimi nilikuunga mkono ndio maana hujaweka jina langu hapo kuonesha nilikupinga.

sasa hikii U-TURN yako ya kumtetea Zitto ambaye ndiye sababu ya kumvunjia ndoa mwenzake, na sasa hataki kwenda kumpa pole, ina maana Zitto ni rafiki wa raha tu kwenye shida hamjui mtu?

siku wazungu wakisimamisha pesa Chadema atarudi CCM? kashindwa kumfariji mtu aliyekuwa nae shuka moja atatujua sisi au Mbowe? walifikia kuvaliana nguo bungeni leo hamjui, kwani hafahamu hujafa hujaumbuka? haoni mifano halisi kwenye familia yake?

Nawashauri dada zangu mnapotafuta mume mpitie background zao kwanza, wengine watawapenda mkiwa wazima likija lolote baya hawapo na nyinyi Amina sasa amejua kuwa Mpakanjia ndiye mtu aliyekuwa na nia naye njema.

Hongera Mpakanjia kuonesha utu.pamoja na yote uliyofanyiwa bado una msaidia Amina,

naamini una akili timamu na si limbukeni wa maisha, umetoka kwenye mifupa ya watu, wewe ni mtoto wa watu, unajua nini ihsani. unajua kabisa uovu na usaliti uliofanyiwa kwa njama ya ZITTO KABWE,haulingani na mazuri aliyokufanyia AMINA ikiwa kukupatia na mtoto.

kwenda kumsaidia Amina umefanya uungwana sana. huo ni ustaraabu ambao nadra kuupata kwa watu wenye asili ya nchi za jirani tena hawakupata malezi ya baba na mama, wamejipenyeza kwenye chama ambacho hakiko makini na kutuingizia bungeni watu wahuni na raia wa nchi za jirani zenye asili ya vurugu.

Mpakanjia usijali malipo ni hapa hapa duniani, na ukitaka nikupe mikakati ya kumtoa nishai huyu Zitto nitafute, atashughulikiwa vizuri na atastarehe na roho yake.

MEDI tuko nawe kaka yetu.
 
Mswahili,
Mwanzoni nilikuwa nashangaa na pengine kutokuelewa maudhui ya michango yako ktk JF. Lakini sasa ndio nimekuelewa ni mtu wa aina gani kutokana na kile unachokiandika.
Unahalalisha kabisa tuhuma za upande mmoja na kuchanganya mambo yasiyohusiana nayo kwa maslahi yako binafsi.
Acha hizo.
 
Mnakumbuka mambo ya Anna Nicole Smith? Amina is a tragedy waiting to happen... mark my words.
 
Ubovu Mungu hafuati wishes zetu binadamu, ni binadamu tunaotakiwa kufuata wishes za Mungu.
 


Huyu Mungu pia atunusuru na viongozi hatari, na wananchi wanafiki
!


Ubovu Mungu hafuati wishes zetu binadamu, ni binadamu tunaotakiwa kufuata wishes za Mungu.

Mmmhhhhh ! JF kutamu ....
 
NYIE MNAANDIKA KWA MASLAHI YA NANI? KAMA SI CHADEMA NA MBOWE?
KILA ANAYEANDIKA ANAANDIKA KWA MASLAHI YAKE AU KUNDI LAKE.KWA BAHATI MBAYA CHIFUPA AU MEDI HAWANA WATU. INABIDI TUWAJIBIE.
CHADEMA WAMEAJIRI WASEMAJE KABISA HAPA. KAMA HAO WAKINA MWANAKJJ,KICHUGUU. MKANDARA N.K
 
Mzee Mwanakijiji,

You really have time for this stuff. Mpaka mavifungu ya katiba, ma-cross reference, na mazagazaga mengine. Heshima yako mkubwa!
 
Mzee Mwanakijiji,

You really have time for this stuff. Mpaka mavifungu ya katiba, ma-cross reference, na mazagazaga mengine. Heshima yako mkubwa!
Kaka mugongo.
hujui ni full time staff wa Mbowe? yupo kazini kaka.
Makamba anapiga usingizi tu, seif yuko kwenye kahawa. cheyo kwenye biashara waambie waje humu. hukuona mbowe alivyokuwa Mwanza aliisifu Jambo forum kuwa ni kitengo cha chama chake kwenye kampeni ya 2010.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…